Search results

  1. thereitis

    Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

    Asante kwa ushauri. Kozi ipi ya afya anaweza kusoma?
  2. thereitis

    Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

    Matokeo yake ya Form four mwaka 2016 Civics - 'C' History - 'C' Geography - 'C' Kiswahili - 'B' English Language - 'B' Physics - 'D' Chemistry - 'C' Biology - 'C' B/Maths - 'F'
  3. thereitis

    Wahudumu Sabilo(ZACI) Dispensary ni shida!!

    Hats Mimi kuna siku nilienda hapo walinikera sana. Kwa kifupi hawajui Sawasawa Kazi yao. Madokta wapo powa.
  4. thereitis

    Uenyekiti wa CCM ni wa kurithishana kifalme

    Ewe Mwenyezi Mungu, muumba wa mbingu na nchi, utuangalie kwa jicho la huruma sisi waja wako ili nchi na vyama vyetu vya siasa viongozwe kwa mujibu wa katiba. Amina
  5. thereitis

    Jeshi la polisi latangaza kuwasaka BAVICHA popote walipo, wananchi wanaowaficha nao watakamatwa

    Mbowe alishawaambia BAVICHA waachane na mpango wao wa kwenda Dodoma kuzuia mkutano mkuu wa CCM. Naamini watamtii mwenyekiti wao (Mbowe).
  6. thereitis

    RPC Dodoma: Viongozi wa BAVICHA kufikishwa Mahakamani Jumatatu kwa kumkashifu Rais

    Kwa taarifa yako mimi sina chama; wala siegemei upande wowote ninapochangia humu. umesisitiza makamanda wasilalamike; unataka wafanye nini?
  7. thereitis

    Magufuli atumia lugha ya Kiswahili kwenye hotuba ya kumkaribisha PM wa India

    Hata kiswahili hatukiwezi; lugha yetu ni Kiswa-english.
  8. thereitis

    RPC Dodoma adai hawakuzuia mkutano wa CHADEMA, walichozuia ni bendera

    Mnapokataza mikutano ya kisiasa kinyume cha sheria mnakusudia nini?
  9. thereitis

    RPC Dodoma: Viongozi wa BAVICHA kufikishwa Mahakamani Jumatatu kwa kumkashifu Rais

    Unataka wafanye nini zaidi ya kusema kile wanachoona ni sahihi?
  10. thereitis

    RPC Dodoma adai hawakuzuia mkutano wa CHADEMA, walichozuia ni bendera

    Na wewe unafikiri CHADEMA ni bendera? Kama una fikiri hivyo unakosea. CHADEMA ni watu wanaunganishwa na itikadi; siyo viongozi wala bendera.
  11. thereitis

    John Mnyika: "All is well in CHADEMA"

    Kamwe hawatashinda
  12. thereitis

    Tuwajue Ma-DED waliopoteza majimbo na wamebakizwa!

    Siku zote ni muhimu sana kutenda haki; Hata ukitoswa au kusema vibaya, daima ukweli utabaki kuwa kweli.
  13. thereitis

    John Mnyika: "All is well in CHADEMA"

    Chama kife kwa sababu ya mwanachama mmoja kuhama?
  14. thereitis

    John Mnyika: "All is well in CHADEMA"

    CHADEMA hakuna fursa ya kuteuliwa kuwa DC au DAS; Ni mapenzi mema waliyonayo watu ndio huwafanya waendelee kuwa wanachama.
  15. thereitis

    Daktari wa binadamu kuteuliwa kuwa katibu tawala wa Wilaya, imekaaje hii?

    Huyo wa chadema ameamua mwenyewe kufanya siasa. Huyo DAS ameteuliwa na mamlaka ya serikali kwenda huko; hiyo ndiyo priority?
  16. thereitis

    Iringa mjini chini ya Msigwa na Meya wake, yaongoza kwa Usafi Kitaifa

    Hata Moshi iliwahi kuwa ya kwanza kitaifa kwa usafi; chini ya CHADEMA. Hongereni ukawa. Kamwe msikate tamaa, chapeni kazi kwa bidii Mungu atawasaidia mtashinda
  17. thereitis

    Dr. Mashinji (Katibu Mkuu wa CHADEMA) yupo kama hayupo

    Na hilo ni faida kwa chama cha mapinduzi. Tusherehekee hakuna haja ya kuhofia mikutano yao.
  18. thereitis

    Dr. Mashinji (Katibu Mkuu wa CHADEMA) yupo kama hayupo

    Umesahau shughuli za siasa zimezuiwa kwa sababu za kiintelijensia?
Back
Top Bottom