Search results

  1. M

    Kijue kisiwa cha Ukerewe kwa undani. Kisiwa cha kifahari kilichopo pembezoni mwa jiji la Mwanza

    Asante kwa kuweka andiko kuhusu Kisiwani cha ukerewe. Lakini ungerekebisha kuhusu Aya inayosema 'Ukerewe ni Kisiwa' ambapo umesema ina visiwa 38 na Kisiwa kikubwa ni ukara na kwamba visiwa vingine 'havikariwi na watu'. Mm kwetu ni Kisiwa cha Irugwa na Kuna pia visiwa vya Lyegoba, Kulazu na...
  2. M

    Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mwenye kazi na kipato kizuri

    Mwanamke msomi anamheshimu mmewe na wanapanga mambo ya maendeleo pamoja. Hao munaowasema c wasomi maana hawajaelimika.
  3. M

    Aliyekuwa Padre Kanisa Katoliki, Privatus Karugendo afunga ndoa!

    Daraja la upadri huwa halifutiki ila kama padri aliacha kutoa huduma anaweza kuomba kibali kwa askofu wake na kwa Baba Mtakatifu aruhusiwe kuoa. Hata mashemasi wa kikatoliki huomba vibali ikitokea kuacha au kuachishwa kutoa huduma ya kichungaji.
  4. M

    Prof. Kitila Mkumbo kugombea ubunge Afrika Mashariki

    Kitila ana uzee gani wakti 45 ndo anatimiza? Bunge linatakiwa like na watu wenye uelewa tofauti na hasa bunge la Africa mashariki ambalo wawakilishi wa nakwenda kutetea sera na maslahi ya nchi zao. Kwa hiyo wasomi wanaweza kutuwakilisha vizuri. Kwani ni Tanzania tu mbao wasomi huge ukiangalia...
  5. M

    Kuhamia Dodoma kulivyovuruga ndoa yangu hadi najuta sasa

    Enyi watu ushauri wenu ni mzuri lakini una walakini. Mnashauri mke aache kazi ili aanzishiwe biashara. Hiyo biashara isipolipa iakuaje. Mme akifa ghafla familia itaendeshwaje. Wanandoa wanatakiwa wake na kujaddili na si kushinikiza mke aache kazi. Kwani biashara hazihamishiki?
  6. M

    Wachungaji mnaofungisha ndoa ambazo mwanamke ana umri mkubwa kuliko mwanaume mnamkosea Mungu, tubuni

    Mkuu mtoa mada nafikiri tafsiri yako kuhusu andiko hilo si sahihi. Maana halisi ni kuwa hata mwanamke aliumbwa sawa na binadamu. Biblia iliandikwa kwa lugha ya kiyahudi na neno Adam (Adamah) ili maana ha mtu mme na Eva mtu mke. Kwa maana hiyo Mungu aliumba watu wanaume ana wanawake. Waliobobea...
  7. M

    Kwa aliewahi kumpenda sister

    Wewe mleta mada una utoto na ujinga. Sasa kama kakutumia picha za mapozi unatuambia ili iweje
  8. M

    Msaada: Nimempiga kibao sasa kazira hataki kula wala kuongea

    Mwambie aende kwao hasira zikiisha arudi.
  9. M

    Rais Magufuli: Mimi ni mzilankende muyango

    Bayango wapo na ukerewe
  10. M

    Maelfu wajitokeza Tabora kuupokea mwili wa Marehemu Sitta

    Sidhani kama issue ni chama. Issue ni wadhifa wa mtu. Sita alikuwa kiongozi mkuu wa moja ya mihimili ya dola (Bunge). Speaker ni mkubwa kuliko Waziri. NI sawa na Jaji Mkuu (Mkuu wa Mhimili mwingine wa dola-Mahakama).
  11. M

    Nahitaji ushauri, mume aliniacha kwa dharau na matusi, sasa anajirudi, nifanyeje?

    Naona watu wameshauri sana ingawa on the negative side. Dada piga magoti na mwombe Mungu akuonyeshe. Wakti mwingine hao wachepukaji wanafanyiwa madawa na hivyo ufahamu unawatoka. Fikiria watoto wako na kama bado unaumri mdogo jiulize ni vizuri kuwa na watoto wa baba tofauti tofauti? Nikushauri...
  12. M

    Mrejesho: Binti wa Sengerema aliyepotea

    Wewe ndg nimekushangaa mgeni hata hujamjua vizuri unamkabidhi kulala na wtt? Uko sawa ww eti huna ubaguzi du. Unajua maana ya ubaguzi? Hiyo ni kukosa umakini. Hata kama angekuwa ni ndg yako toka kijijini wanao hawatakiwi kufanyiwa hivyo.
  13. M

    Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

    Wewe Msalala kitendo ulichofanya si kizuri. Sasa kama umeishalipa kisasI kwa nini uendeleze kumtoa mwenzio miaka yote hiyo? Nafikiri yanatosha na muanze upya. Hakuna binadamu mkamilifu.
  14. M

    Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Uongo ni dhambi. Prof Ndalichako hana upendeleo wowote. Mme wake mislay yeye mkatoliki. Tusubiri maboresho katika elimu.
  15. M

    Niliwaambia kumfunga Algeria haiwezekani

    Umesoma ukweli sijui watanzania wengine wakoje yaani wana maoni hasi tu kwa nchi yao. Ndo maana hata sense ya kujiamini hakuna.
  16. M

    Rai yangu kwa kijana HENRY KILEWO

    Tatizo lako na wengine either hamsomi au uwezo wa kuelewa ni mdogo. Mtoa mada katoa ushauri mzuri tu. Hivi ni sawa mke wa mgombea kuwaza kuwa mmewe akipata nafasi basi shopping zitakuwa makuu na kujenga ma ghorofa. Hiyo ndo mmewe alimwambia ndo sababu ya kugombea ubunge?
  17. M

    Elections 2015 Mbowe, Sababu za kushindwa kwa UKAWA hizi hapa

    Mbona wabunge ccm 188 kati ya 264? Hiyo tu ni kiashilio tosha kuwa ushindi wa Ccm ni halali. Mkubali kushindwa.
  18. M

    Kwa namna hii Mabadiliko Tanzania ni ndoto

    Tatizo ambalo linawapata viongozi wa upinzani ni jinsi ya kuwashawishi wananchi ili waapigie kura. Maneno kama atakayekipigia ccm akapimwe akili, na kwamba wasiotaka mabadiliko ni wajinga si maneno mazuri ya kutumia unapoomba kura. Huwa yanawagharimu waombaji. Lugha za matusi wananchi hawazipendi.
  19. M

    Sasa ndo nimemwelewa Mbowe kuhusu UKAWA kutangaza matokeo yao wenyewe

    Jiweke kimbelembele utakuwa kweli.Acha upuuzi fuata sheria.
Back
Top Bottom