Search results

  1. J

    Msaada jamani, naumia sana

    @all, nimeongea na yule dada frndly, kanieleza mambo mengi, kamwambia akome kunisumbua na me ndo mke wake mtarajiwa, pamoja na hayo kadai anawanawake wengine watatu mitaa tofauti huko wanakoishi, huyu dar now yupo dar, me mwanza, na yule boy kagera, yule dada katoka bukoba ndo karudi dar, na...
  2. J

    Msaada jamani, naumia sana

    Preta nifafanulie kidogo hapo
  3. J

    Msaada jamani, naumia sana

    mimi49 ndio kugombana kwao ndo ivo, nimejua
  4. J

    Msaada jamani, naumia sana

    Toka kumaliza yeye alijiajiri mimi nikatafuta ajira ndo nimepata pamanent ajira, nakuanza kuangalia suala zima la kuoana, ndo hivo majanga sasa, real heartz me!
  5. J

    Msaada jamani, naumia sana

    Hiyo miaka mitano sote tulikuwa shule, nabaada ya shule ndo tulikuwa tunapanga kuoana mwakani december
  6. J

    Msaada jamani, naumia sana

    Sijakuelewa hapo kiongozi
  7. J

    Msaada jamani, naumia sana

    Nimcheki nani sasa?
  8. J

    Msaada jamani, naumia sana

    Japo nampenda sana dats y naumia nakupata wkt mgumu, nashukru kwa mawazo yenu
  9. J

    Msaada jamani, naumia sana

    Arafu hicho kipindi chote ni long distance, nahapa mimi npo mkoa mwingine na yeye mkoa mwingine
  10. J

    Msaada jamani, naumia sana

    Jaman, huyo dada wamefarakana, ila source n mimi, na mimi npo mbali japo mawasiliano yalikuwa active, hata kwa wazazi, ndugu na jamaa, na wametumiana sms za matusi nyingi sana, japo mimi nimepata tarifa toka kwa rafiki yetu,
  11. J

    Msaada jamani, naumia sana

    Msaada jaman nahc kuchanganyikiwa, nimekuwa na mpnz wangu zaid ya 5yrz mpaka kutambulishana, ila ndan ya 2yrz nimekuwa nikmsadia kadl ya uwezo wangu anapokuwa nashida kipesa, na mengne, binafsi ndan ya hcho kpnd nikiwa na shida huwa haishiwi sababu, kilichonichanganya zaid n baada yakupigiwa...
  12. J

    Wanafunzi zaidi ya 50 UDSM wafukuzwa moja kwa moja!

    Hilo ndo jibu walilopewa kipindi wapo SEGEREA, wakidai mulizomea MKUU naametoa ANGALIZO hakuna kupewa mzamana.. nakuweka kiwango kikubwa sana cha PESA pale utakapotaka kutoa mzamana........ yale ya BABU SEYA yamefika ktk chuo kikuu cha taifa.. tunaelekea wapi jamaniiiiiiiiiiiiiiii
  13. J

    Wanafunzi zaidi ya 50 UDSM wafukuzwa moja kwa moja!

    mkuu hili suala ni toka juzi na watu walishatupia sana humu kwaiyo mimi nilichokifanya nikutoa update ya leo.. wakati tamko la VC lajuzi baada yakugoma na kuzuia UTAWALA alitoa tamko lakuwarudisha wale 35 na kuwasuspend wale 8, vijana walizidi kushinikiza mgomo wakitaka hata wale 8 warudi...
  14. J

    Wanafunzi zaidi ya 50 UDSM wafukuzwa moja kwa moja!

    mkuu nimekujibu hapo tayari pitia comentz hapo utapata jibu
  15. J

    Wanafunzi zaidi ya 50 UDSM wafukuzwa moja kwa moja!

    mkuu hili suala ni toka juzi na watu walishatupia sana humu kwaiyo mimi nilichokifanya nikutoa update ya leo.. wakati tamko la VC lajuzi baada yakugoma na kuzuia UTAWALA alitoa tamko lakuwarudisha wale 35 na kuwasuspend wale 8, vijana walizidi kushinikiza mgomo wakitaka hata wale 8 warudi...
  16. J

    Wanafunzi zaidi ya 50 UDSM wafukuzwa moja kwa moja!

    sad newz... utawala wa chuo umefanya maamuz ya kutisha!!!! 1.wanafunz 8 waliokuwa-suspended wamefukuzwa chuo kabisa.... 2.wanafunzi 35 wenye kesi mahakamani wamefukuzwa chuo kabisa... 3.wanafunz waliofukuzwa chuo kutodahiliwa chuo chochote cha umma na kunyimwa mkopo maishan mwao mwote...
  17. J

    msahada wa haraka jamani

    duh kitu kimetiki jamani wadauuuuuuuuuuu..... nimetumia maujanja mengine Just simple like these... nimehack email kwanza na kuchange email pswd kitu kikatiki... nikaingia facebook ma pcwd fake email correct wakadai forgot pcwd nikakubali wakadai naweza send requst either kupitia email au...
  18. J

    msahada wa haraka jamani

    nina email ya mtu nataka kuhack facebook yake, maujanja
  19. J

    Version of TV vs. MOBILE

    binafsi nimecheka sana pia, ikanibidi nifikishe janvini!!!!!!!! teh teh teh
  20. J

    Version of TV vs. MOBILE

    Wife is like a TV, Girlfriend is like a mobile, At home you watch TV , but when you go out u take your mobile. Sometimes you enjoy TV, but most of the time you play with your mobile, TV is free for life, but for the MOBILE if you don't pay, the services will be terminated, TV is big except...
Back
Top Bottom