Search results

  1. Luse msomba

    Tetesi: Wema athibitisha ujumbe wa sauti kati yake na Mbowe ni wa kweli

    Ccm bana. Kuna ile ya ugaid ya rwakatale na mama aliyezalishwa na gwajima sijui zimeishia wapi. . Tatizo Skendo zenu za akili ndogo mnalenga akili kubwa you chicken brain
  2. Luse msomba

    Tetesi: Wema athibitisha ujumbe wa sauti kati yake na Mbowe ni wa kweli

    Ivi ile mama alozalishwa na gwajima iliishaje? ?
  3. Luse msomba

    Prof. Muhongo ndio unaondoka na umeme!

    Wadau za jumapili. Stability ya umeme Morogoro (sijui huko kwingine) tangu huyu muheshimiwa ajiuzulu imekuwa shida. Swali je hii inaleta picha gani. Ni kweli kuna hujma za makusudi kukata umeme TANESCO ambazo muheshimiwa alipiga pin. Ukweli tulisha sahau kukatika kwa umeme tatizo ambalo...
  4. Luse msomba

    Tundu Lissu: Tutanyolewa bila maji suala la mchanga wa madini, tusikurupuke

    Kweli wewe standard three. Unaleta mipasho ya uswaz kwenye issue serious
  5. Luse msomba

    Rais Magufuli anahangaika na watanzania wasioipenda nchi yao na rasilimali zao

    watu wamenyanyaswa sana bungeni kwa kupinga uwiz huo kipindi hicho. Tatizo ccm mnadharau na maji yakifika shingoni ndo mnakumbuka nchi ni yetu sote. Wakati wa kuingia mikataba mnaneglect hoja ya mtu mwingine yeyote nje ya chama chenu. Chochote kinacho tokea sasa ikiwemo mgawanyiko mmekipanda...
  6. Luse msomba

    Suala la ACACIA funzo kubwa kwa wabunge wa CCM

    Suruhisho ni katiba mpya. Mfano kile kipengele mbunge akivuliwa uanachama na chama chake abaki na ubunge wake, ingeondoa uoga wa wabunge kuwa na fikra huru. Kwa sasa wabunge wa ccm wameshikiwa akili na chama
  7. Luse msomba

    Usiliamshe dudeee..ishiwa damu ila usiishiwe bando jpili..

    Stop talking nonsense just demaging your reputations for your stomach
  8. Luse msomba

    Sakata la Vyeti: Waziri Palamagamba Kabudi atajwa kuwasilisha vyeti pungufu

    Upande mwingine hili zoezi lilikua la kipumbavu. Unataka professor asubmit chet cha form 4 ili iweje ? Na je mtawatafuta wote walio simamiwa naye PhD na masters for disqualification .? Narudia tena hili zoezi halina maana
  9. Luse msomba

    Jinsi ya kufuatilia simu iliyoibwa

    Nashauli wenye smartphone ku install hii kitu xfi locator itakusaidia kutrack sm yako siku ikiibiwa
  10. Luse msomba

    CCM imesema itajenga Chuo Kikuu cha Uongozi

    Bora wafanye hivyo hima maana wamekua wakituletea watu wa ajabu ajabu at nao ndo viongoz wanao waaminia
  11. Luse msomba

    Waziri Angela Kairuki: Uhakiki wa vyeti haujafanywa kwa Viongozi walio katika nafasi za kisiasa!

    Hahaha angekua mikononi mwa siro huku media zikihabarishwa kila siku
  12. Luse msomba

    Mtazamo wa Rais unaiangamiza Sekta Binafsi

    Japan ina universities zaidi ya 900
  13. Luse msomba

    Karate

    Mtafute scorpion
  14. Luse msomba

    Kwa mpango huu shule binafsi zianze kufugia kuku madarasa

    Japan inchi ndogo kabisa ina universities zaidi ya miatisa 900
  15. Luse msomba

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Kuna vidonge vinaitwa "Anuso sappostories ". Unaviingiza huko viwili. Then kinapotea. Hivyo vidonge vyauza pharmacy
  16. Luse msomba

    Mwenyekiti wangu, Mfukuze Nape Uanachama Mara Moja

    Ina maana CCM mwwnyekit ndo anaye endesha timua timua
Back
Top Bottom