Search results

  1. Candid Scope

    William Ruto has urged his citizens to get rid of U.S. Dollars because soon the Dollar will be worthless

    Vyombo vya habari CNN na Fox News ni independence news media sio za serikali, ni huru sana sio kama TBC au KBC
  2. Candid Scope

    William Ruto has urged his citizens to get rid of U.S. Dollars because soon the Dollar will be worthless

    UBABE WA MAREKANI KIUCHUMI DUNIANI Tuko nyuma sana kiuchumi, kisiasa na kimaendeleo, twajadili kinadharia kuliko hali halisi ilivyo. Tunapiga kelele sana, wakati huo wamarekani wapo kimya na kutumia akili na teknklojia. Uwekezaji mkubwa wa Marekani katika mtandao wa kiuchumi duniani sio wa...
  3. Candid Scope

    Fahamu desturi za makabila kabla hujaoa/olewa

    Mazoea hujenga tabia ambazo zikiendekezwa huwa desturi, tukifanya utafiti na kuelewa yawahusuyo wenzi wetu kwa mila, tabia na desturi zao, hatutakwazwa wala kushangaa kwa yanayojilia, Kwamba tutakuwa tumeyaelewa na kuyapokea kwa moyo na kuyaishi yatakayojitokeza kutokana na desturi zao kwa...
  4. Candid Scope

    Fahamu desturi za makabila kabla hujaoa/olewa

    Situation hii yaweza kutokea kama utafiti wa kutosha ungefanyika kubla ya kuanza mahusiano ya karibu zaidi
  5. Candid Scope

    Fahamu desturi za makabila kabla hujaoa/olewa

    Makabila hayatofautiani lugha pekee, ila mila na desturi pamoja na mahusiano kwenye ndoa zao pia huwa ni jamii inayojitofautisha na jamii ya kabila au makabila mengine. Kuchepuka kwa wanandoa kwa baadhi ya makabila ni jambo la kawaida na wala halileti misukosuko mikubwa kwenye mahusiano katika...
  6. Candid Scope

    Safari ya Dongobesh Wilayani Mbulu

    Ukata na hali mgumu za kiuchumi huchangia akina dada wasio na kipato maeneo mbalimbali nchini kujigeuza kuwa bidhaa za kuwastarehesha wageni tofauti na maeneo ambayo hsli ya uchumi sio tete
  7. Candid Scope

    Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

    Pesa itumikayo kupima thamani ya uchumi duniani ni dollar, na pesa mama itumikayo to convert thamani ya Sarafu duniani ni dollar. Soko kuu la pesa lipo New York, hata pesa za bongo zinapobadilishwa na kuhamishiwa kwa bank nyingine hupitia financial institute ya New York , Marekani. Pesa pekee...
  8. Candid Scope

    Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

    UNITED STATES OF AMERICA NDIO NCHI INAYOONGOZA KWA UBORA Mimi nimeshangaa pia anavyozipamba nchi za pembezoni badala ya USA the SuperPower. Ukiona nchi inalinganishwa kimaisha a kibiashara kama uswshilini Kariakoo basi yajieleza halisi ilivyo. Nchi ambayo ni ngumu sana kupata visa ni...
  9. Candid Scope

    Matumizi sahihi ya neno mheshimiwa

    MATUMIZI YA NENO MHESHIMIWA (HONORABLE) Yahusu kuheshimisha nyadhifa na majukumu kwa majina ya nyadhifa na kazi zao. Waliosoma vyuo vikuu na kuchukia kozi ya rhetorical language watakuwa wamejifunza pia kipengere hiki na tungetazamia watumie jina mheshimiwa kwa usahihi na mahali pake. Pia...
  10. Candid Scope

    Kuwa na akiba ya foreign currency

    Ni jambo zuri kwa vile hela yetu huporomoka gharama kila mwaka, no gain. Kuweka akiba kubwa kwa madafu ya hapa kwetu ni kupoteza thamani yake kila mwaka. Vinginevyo kuhifadhi kwa pesa ya kigeni au kuihifadhi kwa njia ya assets.
  11. Candid Scope

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mazingira; yeye asema ameyapokea mabadiliko kwa moyo mweupe

    Historia ya KANU kenya kujirudia Tanzania kwa mpasuko huu wa CCM? Huu mpasuko sio wa kudharau, pale uvumilivu na ustahimilivu wa kushindwa kujibu hoja matokeo ni mpasuko. Ukweli mabavu ya kutunisha misuli hatima haiunganishi watu ila kuzidi kupanua ufa.
  12. Candid Scope

    Mbowe kisiki cha mpingo CHADEMA?

    Kama Mbowe rahisi kununuliwa CCM wasingeingia gharama kubwa za kuwatumia akina Zitto Kabwe
  13. Candid Scope

    Mbowe kisiki cha mpingo CHADEMA?

    *MBOWE KISIKI CHADEMA* *Chadema* ilianza kuja juu zaidi baada ya Slaa kujiunga. Slaa alipogombea Urais Chadema ikafikia kimo cha kuwa CHAMA KIKUU CHA UPINZANI. Kukua na kuimarika kwa Chadema hakuwezi kulinganishwa na NCCR Mageuzi ya Mrema wakati ile, maana NCCR haikufurukuta majaribu hatimaye...
  14. Candid Scope

    USA shooting at the airport

    Walioadhirika na shambulio sio polisi bali abiria waliokuwa wanasubiria mizigo yao baada ya kufika airport. Polisi hii ndio taarifa yao kwa vyombo vya habari na umma baada ya kuthibiti tukio hilo la mauaji. Jaribuni kusoma kwa makini habari na kuielewa.
  15. Candid Scope

    USA shooting at the airport

    A gunman opened fire in the baggage claim area at the Fort Lauderdale airport Friday, killing five people and wounding eight before being taken into custody in an attack that sentiment panicked passengers running out of the terminal and onto the tarmac, authorities said. Authorities gave no...
  16. Candid Scope

    Uenyekiti wa CCM ni wa kurithishana kifalme

    Mfumo huu wa ccm wa kubebana bila ushindani wa uchaguzi madhara yake ni kuibuka na kushamiri hali ya kujipendekeza kwa kila njia ili kupata ridhaa ya upendeleo wa uteuzi chamani na serikalini.
  17. Candid Scope

    Uenyekiti wa CCM ni wa kurithishana kifalme

    UENYEKITI CCM WA KURITHISHANA KIFALME NI DEMOKRASIA? Kitendawili cha uenyekiti CCM kitaifa kurithishana bila uchaguzi uchaguzi, bali kuachiana madaraka kama urithi wa kifalme kuna haja ya kutathmini upya. Mazoea hujenga tabia kutokana na kuvunja Katiba. Hata hivyo inafaa kama kipengere cha...
  18. Candid Scope

    Yatokeayo Marekani yana Historia

    Hao Mkutufafanulia, jaribu kutufafanulia.
Back
Top Bottom