Search results

  1. Greek

    This Damned Country!: Nyerere's Forgotten Speech

    Inspiring indeed..! Thnx Mwanakijiji.
  2. Greek

    The 9 Types of Intelligence

    Interesting indeed....
  3. Greek

    Uliponiambia kuwa hawezi kazi niliamini lakini sikujua kuwa hawezi kwa kiwango hiki!

    Umenikumbusha mbali sana mkuu, siku nilipojua kuwa hicho chama kimekufa rasmi walipompoteza salim wakamchagua mtu kwa kufuata ushabiki, na sasa wenye akili wanaelewa na kujuta, naam na bado watajuta sana tu. Coz its too late.
  4. Greek

    Namfagilia mhe mama Salma Kikwete

    Mkufu jaribu kuwa great thinker na sio cheap thinker. WAMA inafanya vizuri that is good and thank you 4 the gud newz. Swali linakuja je ni nani yupo responsible for th success behind WAMA? Hapa ndio umeshindwa kutudhihirishia, inawezekana ni management team ya WAMA na wala sio hao board of...
  5. Greek

    The West Policy on Libya Vs Putin

    Wewe mwerevu hebu tunaomba utuambie ni wapi na lini US waliwalazimisha UN wapeleke hiyo mada barazani na kulazimisha mataifa yote ya umoja huo ya kubali kupitisha no fly zone.
  6. Greek

    Kiongozi bila aibu unajisifia kutibiwa nje ya nchi?

    Inaudhi sana. Kiongozi bila aibu unadai kuwa ni haki yako kutibiwa nje ya nchi? Badala ya kutoa wazo la kujenga hospitali ili wote tutibiwe hapa. Alafu kesho utasema hata wewe haujui kwani Tanzania ni masikini, haiendelei na maisha yanazidi kuwa magumu. Au ndio tutaishia kusema western...
  7. Greek

    The West Policy on Libya Vs Putin

    This is both not a point and out of topic but nakujibu ili usijisikie mpweke. Unataka wawachukie makafiri na kuwalipua au? Kwani kuhoji uhalali wa kitu (hijab) hairuhusiwi?
  8. Greek

    The West Policy on Libya Vs Putin

    wapi? Achakupiga makelele Nionyeshe. Nielekeze, Toa basi hata ushahidi kuwa walifuata mafuta and not otherwise. Kama huna uchune tu, mi mtu mzima ntaelewa.
  9. Greek

    The West Policy on Libya Vs Putin

    Hongera wewe mwenye point mkubwa. Ila sikutaka kujua kama ni pumba au mchele toa ushahidi(evidence) na source yako inayoonyesha USA walifuata mafuta Iraq & Afghanistan. Kwanini isiwe sababu nyingine, Inawezekana walikwenda as military retaliation after 9/11 au kutibua kichaka cha magaidi. Why...
  10. Greek

    The West Policy on Libya Vs Putin

    1.Jamani no-fly zone sio uamuzi wa USA bali ni wa umoja wa mataifa (UN). Kwa hiyo watu mnaoilaumu US nadhani hamjalifuatilia nakuliewa vizuri hili suala. 2. Mbona wanaolaumiwa ni wamarekani peke yako katika hili wakati wapo wengi tu wanaotekeleza hili ikiwemo UK, France, Qatar, Jordan (UAE)...
  11. Greek

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    I ask my self the following; 1. Why Ghaddafi wont leave the leadership despite th opposition and protest from his own country men (spare me the crap of libyan's being influenced/drunk by western powers or alqaeda, coz if u ar even a bit smart it jst doesn't sound) 2. It stared with Tunisia an...
  12. Greek

    Nani anatudharau sana waafrica kati ya hawa 3?

    Beautiful....! Very well said indeed.
  13. Greek

    Mgomo mwingine walipuka IFM

    Mgomo umeingia siku ya pili.
  14. Greek

    Mgomo mwingine walipuka IFM

    samahani mkubwa hivi wewe ulisomea wapi? Na sasa hivi uko wapi? Samahani sana lakini natakujua tu ili nione ntakujibu vipi ili unielewe vizuri.
  15. Greek

    Mgomo mwingine walipuka IFM

    Mkubwa ukisoma hii thread utaona nimesema ID zimeanza kugaiwa ghafla last week yaani ni kama kamtego kwakuwa walijua wote tunataka tufanye examz na hivyo walijua tutaangaika tu mpaka tuipate hiyo hela fine, tatizo likawa hiyo process yao ya kuishue ID kama ukilipa ni kero, nenda huku rudi huku...
  16. Greek

    Mgomo mwingine walipuka IFM

    Kuna watu wavivu wa kuchanganua mambo hadi wanaudhi, sisi hatujagome mitihani bali madai yetu ya msingi ni; 1.Tunataka wanafunzi wote waruhusiwe kufanya mitihani na sio kuwabagua waliomalzia na ambao hawajamalizia 2. Mitihani isigezwe wiki moja mbele kwani watu walishtuliwa ghafla na...
  17. Greek

    Mgomo mwingine walipuka IFM

    Mgomo bado unaendelea, Mkuu wa chuo kaja kuongea na wanafunzi baada ya kulazimishwa, lakini haja address dai muhimu la wanafunzi ambalo ni kuwaruhusu wanafunzi kufanya mitihani yao hata kama hawajamalizia ada kwani JK alisema hakuna mwanafunzi atakayesimamishwa chuo kwa kukosa ada, na ukimzuia...
  18. Greek

    Mgomo mwingine walipuka IFM

    mkubwa mimi nnachojua nikuwa ndani ya prospectus ya IFM kuna ratiba ya matukio ya mwaka mzima na tarehe zake. Ninayo na huwa naisoma nikipata muda.
  19. Greek

    Mgomo mwingine walipuka IFM

    sasa huyu jamaa wa channel ten anajitetea eti anasema hajaripoti yy ni mwingine. Thatha huyo aliyeleta habari huko channel ten kidogo amsababishie matatizo mwenzake na kamera na maiki yake.
  20. Greek

    Mgomo mwingine walipuka IFM

    mwandishi wa habari wa CHANNEL TEN ANAFUKUZWA BAADA kurusha habari ya UONGO KWENYE T.V yao. Leo ndio najua kumbe vyombo vya habari bongo ni waongo sijui nini halafu hapa IFM kuna wa ITV na TBC je watairusha hii?
Back
Top Bottom