Search results

  1. S

    vichwa vya habari vya magazeti ya leo jumamosi tarehe 5 mwezi wa kwanza,udaku,michezo na siasa

    kwani kosa? jk ANAJALI UTU SI WEWE KUTOA KASORO , UNA HATA AIBU HATA MISIBA UNAONYESHA CHUKI BINAFSI.
  2. S

    Rage: Hivi Haya Ni Kweli Jamani?

    jebs2002 100% ukweli
  3. S

    RC Kone ameshindwa kazi, apumzishwe

    Hapo bro umesema, RC ni mtu safi na mchapa kazi , mi kila napo kuja singida nakuta mabadiliko , sasa huyu dewj sioni anachofanya , nimewah kununua maji lita 18 kwa 500tsh , sept.12. sasa huyui mbuge kweli? utajiri aliyo nao ameshindwa kumaliza kero ya maji leo miaka. nyumba hana ipo ya urith...
  4. S

    Nitafurahi Kikwete akipelekwa mahakamani The Hague

    Kikwete ni rais mvumilivu sana sana , hakuna rais angeweza vumilia haya ya jf
  5. S

    Nitafurahi Kikwete akipelekwa mahakamani The Hague

    Kuuwa ni dhambi nzito sana na kutii sheria ni lazma kwa manufaa kwa wote.
  6. S

    Nitafurahi Kikwete akipelekwa mahakamani The Hague

    mtu mzima huyo mchukulieni tu
  7. S

    Nitafurahi Kikwete akipelekwa mahakamani The Hague

    tishio? awadanganye wengine tunamjua viruri kabla yako, wengine tutajua ccm hawapo 100% rite lakn mambo yame change na mengi wamefanya na still wanaendelea kuendeleza nchi. sasa chadema kila siku lawama yani hakuna zuri la serikali hata 1 mnalosema? zaid ya kukosoa? nakubali chadema imesaidia...
  8. S

    Nitafurahi Kikwete akipelekwa mahakamani The Hague

    Hakuna mtu napenda mtu auliwe na ni kosa kuua binadam mwenzako katika dini zote. chadema tafteni njia nyingine kuchua nchi si kila siku maamdamano , watz wengi hatuna kazi inapotokea maandamano wengi tunaenda kwa nia tofauti. serikali ina chenga nchi ninyi kila siku kashfa na chuki zimewatawala...
  9. S

    Posho za Wabunge na Maisha ya Dodoma

    kama wanayo akili za kutunga sheria basi naamini pia wazo akili za kuishi dodoma, kuna watu wanaishi hata mlo 1 kwa siku hawapati jee uja waona dodoma???
  10. S

    Posho za Wabunge na Maisha ya Dodoma

    Je umefikiria walimu or police wanapata laki na nusu kwa mwezi vipi wanaishi??? kimo cha chini matumizi kwa siku ni tsh elf 5, tafakari sana. ahsante
  11. S

    Posho za Wabunge na Maisha ya Dodoma

    kwanini wasikodi nyumba , rent za dodoma ni kuanzia laki 2 hadi 4 kwa mwezi , ni sawa na kukuaa hotel siku 4.
  12. S

    CCM mjiandae kuhama nchi

    pumpavuu wee , kazi ya wizi usha acha?? Watu wanataka mabadiliko kwa amni wewe unaleta usomalia hapa.. Wewe ndo utakuwa wa kwanza kuhama nchi , kwanza sijui kama utafika hiyo 2015 maana kazi yako ni ya hatari
  13. S

    Nyerere katuharibu watanganganyika sera ya umoja,amani na upendo vinatufanya kuwa watumwa wa haki

    hamia somalia , kama hupendi amani, kwanza jiulize wewe una inafaida gani na tz.
  14. S

    Hadi msiba uishe tutaona mengi..tupia maneno kwenye hizi picha

    Hata yeye Hakupendi , chuki binafsi.
  15. S

    Atakuwepo kwenye mazishi ya Kanumba?

    majungu hamna kazi za kufanya!.
  16. S

    Tujikumbushe ya waburushi huko Usangu

    UMEKAA KIFITINA SANA, CHUKI ZA RANGI , FANYA KAZI ACHA MAJUNGU, NA VIPI MAshamba ya nafco? walichukua wabulish?? acha majungu ya kitoto.
Back
Top Bottom