Search results

  1. B

    Lil Bow Wow kaacha mziki au mziki umemshinda

    Malejendari huwa wanamaliza ubishi kwa namna hii, kiutu uzima. ID hizi za miaka ya nyuma ndo model za vijana wapya humu JF Nice one bro
  2. B

    Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

    Nimemaliza na A ya hesabu mkuu Futa MEGA ibaki WATTS mkuu
  3. B

    Tanga: Basi la Kilimanjaro lapata ajali Mkata

    Acha inferiority complex...... hao wenzako unaowasifia si ndo wametengeneza Boeing 737 Max ambazo hazina standard pamoja na hizo sijui simulation sijui nini na juzi tu zimeua watu. Ajali inasababu nyingi sana tofauti na hizo kashfa zako na umeshaambiwa Kilimanjaro zinatumia body ya Marcopolo kwa...
  4. B

    Tanga: Basi la Kilimanjaro lapata ajali Mkata

    Hivi we jamaa kwa akili yako Scania 93 au 94 inayobeba hadi tani 8.5 inashindwa vipi kubeba abiria ambao hata tani 4.5 hawafiki na mizigo yao kama tani 3 hadi 4? Kuna mizani kila kona ili kupima gross weight ambayo ni tani 20, Makampuni ya magari makubwa biashara ya kubwa ni horse/tractor na...
  5. B

    Darasa adaiwa kuiba beat ya wimbo wake mpya (hasara roho)

    Ukisikiliza vizuri hiyo nyimbo ya huyo dogo utagundua inavoanza kuna ile swag ya Producer neno Haba, which means beat ni ya same producer ambaye ndo huyo huyo wa Darassa
  6. B

    Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

    Asante kwa kujibu swali langu, na kama mnalipenda shirika muache ku partner na wauzaji matapeli wa umeme ambao wanawauzia umeme kwa gharama ya juu sana na burden inakuja kwetu, At the end of the day bado TANESCO mna operate kwenye loss. KWa rasilimali tulizonazo nchini hapa unit moja mlitakiwa...
  7. B

    Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

    Kwahili leo TANESCO mmefanya la maana kutoa elimu kama hii hapa Jamii Forums, Kwanini mmetofautisha tariffs kwa mteja mkubwa na mdogo per unit? Wakati unit moja ni hiyo hiyo watts 1000 au KWH 1
  8. B

    Wema Sepetu kufanyiwa sherehe CHADEMA

    We jamaa chai sana, unasema wameipotezea wakati kila kukicha ni kufadhili press conference za kumponda Wema. Ulikua pangoni kwenye Press ya Steve Nyerere wakati anatema shudu? Vipi kuhusu hao wasanii wa bongo movie waliotoa press kumponda Wema na kukisafisha Chama? U must be sick bro.
  9. B

    Series (Special thread)

    Sio mbaya ngoja tuendelee kupeana updates
  10. B

    Series (Special thread)

    Setting ni beach thats y nikaifananisha na Black Sails... Angalia Trailer kabla ya kushusha series nzima
  11. B

    Series (Special thread)

    Hehehe wewe mtu wa Kuch Kuch wewe.
  12. B

    Series (Special thread)

    Atlantis imetoka season 2 na imeisha walianza kutoa episode 6 hadi December 2014 na wakaendelea na the rest episodes April 2015 sahizi walishamaliza season 2 yote na tunasubiri Season 3 Mungu akipenda. Hapana ni Adventure nzuri sana ya pirates ila ina story nzuri sana kuzidi Black Sails kama...
  13. B

    Series (Special thread)

    Pori linahusika unajua...? Halafu kuch kuch ya kwenye farasi si unaona inavyokua inapendeza? I know unajua jinsi Legend of the Seeker ilivyokua tamu Atlantis nk. Check na Crossbones utaipenda kama bado hujaiona Crossbones (TV Series 2014– ) - IMDb
  14. B

    Kwanini madirisha ya choo hujengwa madogo?

    gfsonwin I guess we have something in common sababu nimecheka balaa mpaka machozi. Sijaelewa mdau anamaanisha nini kuhusu mwanga kwenye vyoo vya shimo.
  15. B

    Refund through MasterCard credit card

    It can take up to 30 days ukiangalia statement yako utaona kuna credit balance lakini itakua bado uncleared thats y balance haijaongezeka mkuu. Just chill mtu mzima.
  16. B

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    1. China - Super League Beijing Guoan vs Shanghai Shenxin FC (Home To win) 14:35 Odds 1.10 2. Germany - Bundesliga Play Off Karlsruher SC Hamburger SV (Home/Away To win) double chance 20:00 Odds: 1.33 3. Israel - Division 1 Maccabi Tel Aviv vs Maccabi Petah Tikva ( Home To win & over 2.5)...
  17. B

    Haya mafuta ni ya nini na matumizi yake ni yapi?

    Nimesoma madhara ya hiyo kitu nimeona yanafanana na Panadol tu mkuu, nimefikia conclution hakuna kitu kinachoingia kinywani pa binadamu kisiwe na madhara. Je unajua hao hao wazungu waliosema colestral inasababishwa na mafuta yaiotokana na vegetables nikiwa na maana ya nyama nk sababu yanaganda...
  18. B

    Kitendo anachofanya mkuu wa mkoa Kagera Bw. Mongela ni cha kihalifu

    Kaka hiyo sheria haiwezi ku implemented Bongo, Believe me. Wabongo ni watu wa kubwa bwaja tu hakuna vitendo na wala hawana mtambo wowote mkuu..., kama BVR zimewatoa jasho wataweza hii kitu mzee?
Back
Top Bottom