Search results

  1. N

    Halmashaui ya wilaya ya Kibaha inagawa viwanja ole wao wachakachue

    Mdau umeweza kufuatilia kuhusu kiwanja?Naona bado vinatangazwa na napanda kupata uhakika kama bado vipo
  2. N

    Natafuta shule nzuri kujiunga advance level

    Matokeo ya kidato cha nne hayakua mazuri ila nina B-english,C-kiswahili na C-biology.Niko tayari kwa shule yenye nafasi nzuri yenye kufaulisha wanafunzi wa kidato cha sita na yenye mazingira mazuri ya kusoma. Ikiwa hapa Dar es Salaam ni vizuri na nipo tayari kwa mchepuo wa ARTS.
  3. N

    Mke akikuzidi elimu,kipato penzi linaweza kudumu?

    Hapo umenena.naikubali sana hii
  4. N

    Mbona haniombi kitu?

    Hapana.mi naona hata kama ana vijisent vya kutosha bado si sababu ya mwanaume mwenye mapenzi ya kweli kushindwa kununua chochote jamani mie naona imekaa vibaya
  5. N

    kwa wanawake.... wenye ndoa zao.

    Pombe ikizidi kipimo inahatarisha ndoa,inaharibu amani kabisaaaaaa
  6. N

    Hili bati......

    Mkuu hizo za New Zealand zinauzwaje?Msaada tafadhali
  7. N

    Ununuzi na uuzaji wa hisa

    Wakuu naomba msaada kwa wenye ufahamu kuhusu ununuzi na uuzaji wa hisa.Nitashukuru kama mtaniwezesha kujua kampuni ambazo hisa zinanunulika na kuuzika kwa urahisi, kwa muda mfupi na kwa faida nzuri. Ningependa kufahamu pia ni kwa jinsi gani naweza kufaidika kwa ununuzi wa vipande vya UMOJA FUND
  8. N

    Zantel High Life Club SUCKS

    Zantel wamenikera sana na hiyo mambo ya 500o kwa matumizi ya voice.Natafuta pa kuhamia nadhani AIRTEL can be my destination, vip speed yao na coverage?
  9. N

    Milion 3 biashara gani naweza kufanya?

    Hapana Nyange,tusikatishane tamaa kiasi hicho!
  10. N

    Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

    Nimewahi kufanya biashara ya stationery ni biashara nzuri but what real matters is the location of the busness. kuuza kwa jumla na rejareja ni nzuri sana. All the best!
  11. N

    Kuchukua mkopo bank

    wakati wanakupiga danadana na unashughulikia swala hilo hakuna sababu ya kuendelea kufadhaika! Banks ziko nyingi that unaweza kuwa na account nyingine ambapo hata mshahara ukiingia unaweza kuuhamisha au kuitumia kuweka akiba zako na kwa maswala megine kama hayo yalokusibu
  12. N

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Incubator ya mayai 50 inapatikana wapi na kwa bei gani? Je, kati ya mayai 50 yote yanaanguliwa au inaweza kuwa asilimia ngapi?
  13. N

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Malila hivi hakuna kifaa cha kuweza kupima kama yai lina jogoo ili liweze kutotolewa kwa incubator?
  14. N

    natafuta house girl/msaidizi wa kazi za nyumbani

    Asante sana Mkuu. Ngoja nikupm.
  15. N

    natafuta house girl/msaidizi wa kazi za nyumbani

    Shosti usilolijua ni kama usiku wa giza!
  16. N

    natafuta house girl/msaidizi wa kazi za nyumbani

    Thanks Mammamia.I think we are on the same track! Shost mipangilio ipo tu ila kuna mambo yanataka kidogo usaidizi. Kuna shughuli kwa mfano kuchota maji ambayo yanatoka siku yoyote bila taarifa hii nayo unaipangilia vipi kama si kutafuta tatizo jingine la kukimbizana na kununua maji achia...
  17. N

    hello

    Karibu Jomse!
  18. N

    hellow jf members

    karibu sana.It is real useful
  19. N

    natafuta house girl/msaidizi wa kazi za nyumbani

    shosti majukumu hayakutinga ukaifahamu vizuri hii ishu!
Back
Top Bottom