Search results

  1. TUJITEGEMEE

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Sijui tungekubaliana kwanza maana ya neno Tajiri, vinginevyo tutabisha sana. == Katika kulinganisha utajiri wa Tanzania na Estonia nimeangukia kwenye website yenye maelezo haya. ×××× The average cost of living in Estonia ($1204) is 82% more expensive than in Tanzania ($662). Estonia ranked 50th...
  2. TUJITEGEMEE

    Billionaire Trump Cannot Post a $454m Bond !

    Sidhani kama Mwalimu wangu wa JF , Mkuu Nguruvi3, atakuelewa kuifananisha Democrats na CCM!
  3. TUJITEGEMEE

    Utawala wa Awamu ya 5 kulikuwa na kampeni ya wazi ya kutaka aliyekuwepo aongoze milele, Sababu hasa ya kampeni hii ilikuwa nini?

    Hapana naona unamsema Mwenyekiti Freeman E. Mbowe mafumbo ya Maswali!! Kuwa makini, huyo ni shida ..waulizwe walioshuhudia wenzako waliocross mstari wa jamaa kilichowakita!!!
  4. TUJITEGEMEE

    Prof. Mbarawa: Treni za SGR ni za mwendo wa kawaida (siyo mwendokasi)

    Lengo letu tunaanza kulijua....mtaeleza muda ukifika!
  5. TUJITEGEMEE

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hongera sana Rais Putin kwa ushindi wa kishindo. Mungu akubariki na wapenda Amani na haki wote Ulimwenguni. Amen
  6. TUJITEGEMEE

    Taarifa Binafsi: Kampuni ya mkopo mtandaoni (online loan app) imenidhalilisha sana

    Naona Sasa unatendea haki JF ID na avatar
  7. TUJITEGEMEE

    Taarifa Binafsi: Kampuni ya mkopo mtandaoni (online loan app) imenidhalilisha sana

    Wanafanya kusudi hao wakopeshaji...lengo tu ili endelee kuwa mateka wao wa kuwakopa maana washakuchafua kwa jamaa zako lazima kurudi kwao kukopa. Kudhibitisha hilo, mwenzetu hapo katueleza kuwa PS wao alilipa deni lakini bado wakamtangaza kwa jamaa zake hajalipa.
  8. TUJITEGEMEE

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Binafsi nimeshangazwa na timing ya interview ya Jenerali, why now?? Na si wakati ule ama wakati ujao? Kwa nini hasa. Nikija kwenye hoja "busara" ilitumika badala ya taratibu za kikatiba kama kumuapisha baada ya 24 hours... Maswali yanaongezeka. Ndiyo maana nikashauri tujikite kwenye mema tu...
  9. TUJITEGEMEE

    Je, ni mwanamke yupi alikuwa mke wa kwanza wa Adam kati ya Eva ama Lilith?

    Hawa wahindi wamevurugwa...Sasa nimeelewa matatizo Yao yanaanzia wapi!!!
  10. TUJITEGEMEE

    Waziri Bashe hakutakiwa kuukataa msaada wa mchele kutoka Marekani na kama alikuwa na mashaka yoyote angewatumia TBS

    Mchele si bado haujaingizwa....au nilisoma taarifa vibaya???
  11. TUJITEGEMEE

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Sawa kabisa nakubali, lakini kwenye maelezo ya Jenerali (kama nimemsikiliza vizuri), hakuna mahali ameonyesha kujaribu kuwauliza madaktari juu ya kumruhusu mgonjwa arudishiwe nyumbani! Na wao kusema abaki kwa sababu hii ama Ile!! Ndiyo maana mwanzo timing ya mahojiano imekosewa cha msingi...
  12. TUJITEGEMEE

    Waziri Bashe hakutakiwa kuukataa msaada wa mchele kutoka Marekani na kama alikuwa na mashaka yoyote angewatumia TBS

    Ni suala linalohusu usalama wa chakula nchini na msimamizi Mkuu wa hili ni Wizara ya Kilimo.
  13. TUJITEGEMEE

    Ifike mahali Watanzania tuache kukubali hadaa na uzushi unaotolewa na akina Evarist Chahali na Kigogo

    Tujadili kazinalizofanya Hayati Magufuli (R.I.P)
  14. TUJITEGEMEE

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Wale madaktari ni askari ama si askari? Kwenye hiyo, hospitali wanafanya kazi madaktari wa kawaida kweli mahali ambapo, CDF mstaafu anasema si rahisi kwenda, ona Hata Mama Janeth 'hakuruhusiwa' kwenda huko(kwa mujibu wa maelezo ya Jenerali, Mama hakuwa hospitalini)! Bado unadhani wale ni...
  15. TUJITEGEMEE

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Kuchezesha miguu mara nyingi wakati anaelezea tukio....!! Ni ujumbe unatumwa sijui unatumwa kwa nani!
  16. TUJITEGEMEE

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ushawishi wa Marekani unalegea === Authorities in Niamey have decided to revoke the agreement with the US which allowed American military personnel and Pentagon's civilian contractors to operate in the West African state, a spokesman for the post-coup government announced on national television.
Back
Top Bottom