Search results

  1. P

    Ulinzi wa ajabu Central Police kwa ajili ya Mbowe; asafirishwa kwa ndege ya JWTZ kwenda Arusha!

    Ninajizuia kufikiria nini kingetokea iwapo jeshi la Polisi lingeamua kumsafirisha Mbowe kwa gari mpaka Arusha na pengine ikatokea ajali njiani akadhurika au kutodhurika kabisa! Kwa mwenendo wa wafuasi wake .............. nini kingetokea? Inahitaji busara ya kuzaliwa sio ya .com
  2. P

    Malkia waa Uingereza Avuwa Viatu na Avaa kilemba kichwani aingia Msikitini Dubai

    Tafiti kwanza ujue ukweli. Mko wengi aina yako wenye chuki zisizo sababu, kwa uzoefu wangu hata ukiwa na digrii mia mara nyingi watu wa aina yako huwa watupu ila kwa kutegemea waliolishwa na propaganda !
  3. P

    JF na hii mmeshaiona, full burdani

    Inasikitisha kuona watu wakiwa na mitizamo finyu na hata uelewa! Kilichopo hapo kina uhusiano gani na mujahidina? Wangevaa kanzu za kipadre ( zenye marinda na mikanda) bwana Leonardo ungelichukuliaje, tafuta ufahamuzaidi ndugu yangu
  4. P

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Kila mtu akinukuu kitabu chake cha dini na hata historia ya ukandamizaji hatutafika. Mistari ya Zaburi wengine hawana hakika nayo! Nadhani ni wakati wa Katiba mpya kusema wazi siku ya mapumziko na kwa kuwa serikali haina dini na Watanzania tujadili na kuafikiana siku ya mapumziko
  5. P

    Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    Bwana Phillemon, tafadhali tafiti kwanza kuliko kuegemea historia ya mapinduzi ambayo imejaa utata mtupu. Mimi sikubaliani na mtazamo wako kumfananisha Okello na Che Guevara ni upofu! Tafuta ukweli. Nchi hii ina mashujaa wa kweli ambao wamezimwa makusudi na hawajulikani kwa kizazi cha sasa.
  6. P

    Mkapa angewafaa zaidi Waislam Kuliko Kikwete

    Ni kweli waislam tuko nyuma lakini tafuta sababu za kweli za Waislamu kuwa nyuma na wala si propaganda zilizoandikwa. Historia ya nchi imepotoshwa makusudi, sisi ndio wavaa viatu na ndio tuaoyajua maumivu yake. Usiamshe yaliyolala! Rejea kitabu " Kanisa Katoliki na Siasa za Tanzania"
  7. P

    Hawa nao wamehusika kwenye uchakachuaji kwa kimedia

    Ni kukosa busara kujadili picha ambayo haina maelezo ya kina kuhusu mahali na sababu ya waandishi hao wa habari kuwa pale, vinginevyo ni kufisadi fikra za watu
Back
Top Bottom