Nyumba inauzwa eneo la Ukuni Bagamoyo. Ipo planned area Ukuni Bagamoyo. Kiwanja kina hati. House designed for middle class family. Ina vyumba vitatu vikubwa,(one self contained). Kiwanja kina ukubwa wa sqm 1009 na kimejengwa nusu, nusu nyingine imebaki for future use.For any serious buyer call...
Sijui kama kuna kifaa kama hicho, mimi ninachojua kumbi hizo zinakuwa na control room ambayo mara nyingi inakuwa above ukumbi,na watu wanaokaa huko huwa wanaangalia meza kuu bila washiriki wengine kuwaona na huko kunakuwa na wakalimani wa lugha mbalimbali,ambao wanachofanya ni kumskiliza...
Uhafidhina ni Conservatism, kwa kiingereza.Kwa lugha nyepesi ni hali ya kupenda uasili wa mambo kwa gharama yoyote hata kama mambo hayo yako relevant au irrelevant katika wakati husika. Neno hili hutumika kutoa maudhui yanayofanana na maana hiyo katika nyanja mbalimbali, lakini hutumika zaidi...
You need to be free minded, ndio waweza kutambua kuwa Mbeya City kuna wachezaji. Kama ukiangalia uwezo wa Mbeya City huku umezungukwa na ukereketwa wa ushetani wa Yanga na Simba hutaweza kuwaona. Mpaka watakapojiunga na timu hizo mnazoziita kubwa, zinazoongoka kuuwa vipaji vya wachezaji ndio...
Mpaka wachezaji wa Mbeya City waje wasajiliwe Yanga na Simba au Azam ndio wataonekana. Huyu Mzungu MPUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUZI kweli, keshaharibiwa na fitna za vilabu vya bongo
Mbona umeweka picha ya maeneo ya Bagamoyo wakati habari nzima hausiani na maeneo hayo ya Bagamoyo?. Ulikosa picha ya Mwananyamala, Buguruni, Kino n.k?. Acha kutubeep wakazi wa Bagamoyo bwana
Siamini kama ni upeo finyu wa Mbwambo, mwandishi ninayemueshimu kati ya waandishi wa nchi hii au wakenya wameingia mpaka kwenye magazeti ya Tanzania ili kupinga bandari ya Bagamoyo, kama magazeti ya Kenya yanavyoandika kuipinga na kuihofia kila siku. Article hii inamawazo finyu sana na imekosa...
Lakini na maswali mengine jamani,... hivi gracier erosion ina maana gani kuifundisha kwenye nchi zetu hizi?. Tunabaki kukariri vitu vya kufikirika tu. Kuna physical features nyingi tu za kujifunza kwenye mazingira yetu tubadilike, huo ndio ukoloni wa fikra au uvivu wa kutafiti tu
Hakuna mahara popote pale ambapo Hitler, alikuwa anajifanya socialist, labda history ya Ulaya imekupita kushoto, rudi darasani Mh. What we know is Nazi was against the spread of Socialist and Communist ideas. Kasome vizuri Nazi ideologies utapata jibu. Napata shida kuamini kama huu ndio uwezo...
Harafu tufanye connection na campaign zinazofanywa na Mseveni kufanya Nyerere aitwe mtakatifu, kweli watutsi kwa propaganda za kujikweza hamjambo. Huo utakatifu wake mwisho Kyaka na Rusumo, kumbe ndio maana JK hamwiti Nyerere baba wa Taifa, yeye anaita mzee Nyerere tu, nilikuwa simwelewi vya...
Tutsi propaganda on action, tunajua wazi wewe ni mtusi, mbona huelezi watusi walikotoka?. Hujui kuwa asili yao ni Ethiopia?, Kuna mzee alishanieleza kuwa vita zote za maziwa makuu ni vita kati ya Hamiti na Bantu, sasa naanza kumwamini. Kuna tetei kuwa wazanaki ni Hamiti si Wabantu na hii ni...
Wazanzibar kataeni vitambulisho vya taifa kama kweli nyie hamupendi muungano, sio mnadai tu mkataba huku Seif anakuwa mtu wa kwanza kuchukua kitambulisho cha muungano kutoka NIDA. Tumeshawashitukia kuna kitu mna kitaka hapa, yes ardhi kubwa ya Tanganyika, Idadi kubwa ya watu wa Tanganyika ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.