Search results

  1. M

    Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

    Zitto atueleze anaitaka CHADEMA haitaki siyo kila siku yeye tu, kama anataka kuwa mpiga debe aende huko CCM akaungane na Tabwe Hiza
  2. M

    Nimeshindwa, Nahama Chadema

    Nenda kwa wajinga wenzako, nenda mkaibe, kwani ulizoea kuiba sasa huku hakuna kuiba hatukuhitaji
  3. M

    Kwa nini JK Alishtuka na KUSHANGAA Sana PINDI Wabunge wa CHADEMA Walivyotoka Bungeni

    Ukweli ni kwamba watu wengi wamekuwa na mitizamo tofauti juu ya wabunge wa CHADEMA kutoka bungeni na kususia hotuba ya Mh.Rais JK,Kwa sababu kila mtu anauhuru wa kutoa maoni yake basi tunasema huo ni uhuru wa democrasia,lakini mimi napingana na wote wanaokosa kujitoa huko, na wale wenye mapenzi...
  4. M

    Tumpe Rais Kikwete heshima yake

    :whoo:kwani siyo MKWERE? Tunasema MKWERE tukiamanisha anareflect matatizo ya kwao,kwani amekuwa mvivu wa kufikiri kama kabila lake:whoo:
  5. M

    DR Slaa aeleza sababu ya CHADEMA kususa

    Siyo wizara tu Kikwete ampishe kwenye kiti kwani hakuna anachokifanya bali anafanyiwa na Lowassa hata kaGPA kake kalikuwa 1.8 sasa naweza kufikiri nini huyu Mkwere aende zake
  6. M

    Nakaya sumari

    Alikimbilia kwa mafisadi akitegemea kupewa kicheo chochote bor angebaki chadema leo hii angekuwepo mjengoni.
  7. M

    Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    :whoo:Hivi Kikwete uwezo wake wa kufikiri umefika mwisho au hana anachokifikiria? kama ameshindwa kazi aondoke tu taratibu kwani sasa nchi inaendeshwa na ROSTAM AZIZI, LOWASSA NA FISADI CHENGE sasa yeye anakazi gani atoke ikulu ampishe FISADI ROSTAM AU LOWASSA WATUONGOZE PUMBAFU PUMBAFU WAKUBWA...
  8. M

    Tamko la Vijana 'WASOMI' wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma Dhidi ya wabunge wa CHADEMA

    Kama kweli hayo ndo maoni ya wasomi wa vyuo vikuu mkoani Dodoma, basi Tanzania haina wasomi kuna watu tu wapo vyuoni wanakua lkn hakuna wanachojifunza,natilishaka uwepo wao katika vyuo hivyo nawapa pole sana.Kwa kifupi hawasitahili kuwepo hapo
  9. M

    Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    yeye ndo mwenye kuleta udini kwani tumeshuhudia dini yake ikiwaambia waumini wake kuwa kuliko kuchagua kafiri bora kula ya zao apigiwe lipumba, sasa huo udini nani anauleta? Hapohapo anamtumia membe kuwaletea watanzani mahakama ya kadhi wakati hilo si swala la kitaifa bali ni swala la dini ya...
  10. M

    MwanaHALISI: Lowassa ashinikiza uwaziri

    :bowl::bowl:Mi kwa mtazamo wangu natoa angalizo hii nchi ni ya watanzania wote na kila mtu anahaki ya kuchaguliwa na kuchagua,kila mtu ananafasi ya kuwa kiongozi na kuongozwa, kwa wenzetu hawa akina EL NA AC na kuwadi wao ROSTAM ifike mahali wananchi tuseme imetosha tena kwa sauti ya ju kabisa...
  11. M

    Jaji mstaafu Mark Bomani naye atoa mpya..

    Hivi vizee mungu angekuwa anavichukua mapema tu vikapumzike milele hakuna wanachokifanya huku duniani,HIKI NI KIZAZI CHA DOT COM wao hawana nafasi bongo zao zinaona mwaka 47 na si 2025:hippie::hippie::hippie::hippie::hippie:
  12. M

    Sikubaliania na gazeti la mwananchi

    CUF ni chama cha kiherehere,hawajui walitendalo mwaka huu ndo mwisho wao:hippie::hippie::hippie::hippie::hippie::hippie:
  13. M

    Najiandaa kuchukua jimbo la Kongwa; Ndugai hakuna anachowafanyia wananchi

    bila shaka wananchi wataniunga mkono
  14. M

    Najianda kuchukua jimbo la kongwa ndugai hakuna anachowafanyia wananchi

    Kusema kweli nimetafakari sana nimeona bila hatua za makusudi za kunusulu maendeleo ya jimbo langu la Kongwa wananchi wataendelea kurudi nyuma wakati maeneo mengine wanasonga mbele kwa kasi ya ajabu, hii kupita bila kupingwa ni dhana ya umasikini wa mawazo na ndo inalemaza maendeleo.NAOMBA...
  15. M

    Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

    watu wengi wamekuwa hawamwelewi MH.ZITTO Z.KABWE,lakini naomba mjue kuwa mh. anaona mbali sana,tena sana kwa taarifa yenu tu Zitto ameshavuka 2010-2015 sasa anaangalia 2015-2020 hiyo ndo vision yake,nini kitafanyika 2020-0225,lakini watu wanaotiizama mambo ya leo watamwona MH.ZITTO kama...
  16. M

    Anne makinda ni mwanamke??

    Huyu mama hajolewa hivyo basi akijikia kuwa na mwanaume ndo hapo anapokuwa mkali kweli kwa sababu usiku habembelezwi, we fanya utafiti wale walioolewa na wale wasioolewa kauli zao, nyie acheni nyege mbaya sana hata kushikwa tu hashikwi, huyu anamfaa kingunge lakini si DR (PHD)
  17. M

    Elections 2010 Sitomtambua Kikwete kuwa ni rais wa nchi yangu

    kikwete ni Rahisi kwa CCM na rais wa jamhuri ya muungano wa tanzani kwani hana uwezo, sifa
  18. M

    Wandwi amshushua Dk Slaa

    wote hawa ndo walewale wanaokunywa na kula baa nyumbni watoto wanalala na njaa yaani CCM
  19. M

    TAKUKURU: Chenge hahusiki na tuhuma za RADA

    Ipo siku itafika wao na wanao watahama nchi au kufia magerezani, pumbafu zao
  20. M

    Chadema hongera!

    umenena kwani hata wao wananyuso za aibu kweli tofauti na ushindi wa 2005
Back
Top Bottom