Search results

  1. kawakama

    Mdogo wangu alitoa laki tano kumuona prophet Frank Wa shiloh international ministry ili apokee miujiza

    Dah hawa wanaojiita mitume na manabii ni matapeli sana. Ref to Mathew 24 ....hizi ni dalili za mwisho wa dunia....bible inasema "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa " Nasi tungekuwa tunajipa muda wa kusoma maandiko hakika watu kama Frank wasingewatapeli . Mama yangu mdogo alitozwa Laki...
  2. kawakama

    Rais Magufuli mjanja sana, Alikataa kufukua makaburi akaiacha mizimu ifufuke yenyewe. IMMMA advocates ni mzimu

    Hakika wafu wanazikana wenyewe... TL ni mwanasiasa mnafiki sana, mwenye ndimi mbili za unafiki, asiye na haya wala soni na asiyejielewa pia na ndio maana kila siku anaongea sana na kujipinga mwenyewe.
  3. kawakama

    Tundu Lissu ataka Rais Magufuli asusiwe kila mahali na mataifa mengine duniani

    Tundu Lissu mwezi huu hajaenda kuchukua dawa zake pale milembe hospital ndio maana limepanic hivyo.. psychiatric huyu
  4. kawakama

    Tetesi: Kuna Fununu kuwa Serikali inadoctor Taarifa za makusanyo ya kodi

    Umeandika udaku ambao ulikuwa unauwaza wakati unakata gogo toilet... Unaandika uongo, uzandiki Na unafiki kwa makusudi ili Waziri aje kukanusha? Poor you ... Weka ushahidi wa ndoto zako hizo unazoota
  5. kawakama

    Kupotea kwa Ben Saanane: Hoja za wananchi, kinachoendelea na maoni ya Waziri Mwigulu

    Kwa hiyo uhuru wa kujieleza unaosema umeminywa ukiminywa japo si kweli solution Ni kusingizia watu Na kuongea uongo uongo Na uchonganishi?
  6. kawakama

    Je, ni kweli Mpoki hakuhudhuria harusi ya Masanja?

    Hiyo akaunti sio ya mpoki mkuu Ni matapeli hao...sio official akaunti ya mpoki
  7. kawakama

    Je, ni kweli Mpoki hakuhudhuria harusi ya Masanja?

    Salaam wanajamvi, nimekuwa nikijiuliza sana sababu za Mpoki Mujuni tajiri la kihaya wa ze comedy kwanini hakuhudhuria harusi ya swahiba wake Masanja na sijapata majibu yoyote. Katika harusi hiyo walihidhuria member wote wa ze comedy wakiongozwa na meneja wao Sekione Davidson lakini cha...
  8. kawakama

    Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    [emoji15] huyu mkuu Pasco atakuwa mchawi aisee sio bure [emoji1][emoji1][emoji1]
  9. kawakama

    Huyu ndio surprise au bonus artist anaewakilisha bongo

    Huyu sio manager Ni damager maana sijui povu la nini sasa linamtoka
  10. kawakama

    CHADEMA wakiwa Kanisani wakiomba kabla ya kujipanga na UKUTA

    Acha kusema dini nyingine wewe kwa kutetea dini yako. CUF mbona wanafanyia vikao misikitini Na siasa zao zote ni misikitini Na Julius Mtatiro anaachwa nje
  11. kawakama

    CHADEMA wakiwa Kanisani wakiomba kabla ya kujipanga na UKUTA

    Mkuu *Pasco mbali Na kuvaa sare za chama kanisani kuwa haikubaliki lakini je? Umewahi kuwaona CHADEMA wakiwa MSIKITINI? au CUF wakiwa KANISANI? HIvi vyama vina harufu mbaya ya udini huku Chadema wakiongeza harufu ya Ukabila + ukanda. Wajitafakari upya
  12. kawakama

    CHADEMA wakiwa Kanisani wakiomba kabla ya kujipanga na UKUTA

    Chadema sijawahi kuwaona Msikitini wala CUF sijawahi kuwaona Kanisani. Vyama vyenye itikadi za kidini.
  13. kawakama

    Mtatiro na Maalim Seif Waukacha Mkutano Mkuu

    Hapo ulichokiona ni jazba mkuu? Mbona unatokwa povu sana
  14. kawakama

    Mtatiro na Maalim Seif Waukacha Mkutano Mkuu

    Yes mkuu ni ukweli ambao unapingwa sana. Mtatiro ameshaweka pesa kibindoni za mamvi hata unapoona Mtatiro anatumia nguvu sana kumpinga Prof Lipumba ujue ni kazi maalum aliyopigwa Na Chadema pamoja Na mamvi.
  15. kawakama

    Mtatiro na Maalim Seif Waukacha Mkutano Mkuu

    Utakoma tu ukiona mtu anagumia ujue jiwe limempata. Kunywa piriton ulale
  16. kawakama

    Mtatiro na Maalim Seif Waukacha Mkutano Mkuu

    Yaani kusoma hamjui Na picha mnaigeuza? Ni Mpumbafu tu ndio hawezi kuona Kama Mtatiro anatumiwa Na Chadema Na Lowassa kuiua CUF
  17. kawakama

    Mtatiro na Maalim Seif Waukacha Mkutano Mkuu

    Tatizo la mtatiro huyu jamaa ni njaa inamtesa Sana Na kumfanya kuwa mropokaji , kujifanya anajua kila kitu. Safari hii Mzee Lipumba atakigawa icho chama chao. Lakini kumbukeni kuwa Mtatiro amepewa pesa Na Lowasaa ili kuhakikisha Prof Lipumba harudi. Mtatiro anatumiwa Na Chadema Na. Lowasa
  18. kawakama

    Neno lililotajwa sana mwaka huu kuliko maneno yote Tanzania

    sijapanic , umepaanic wewe unayetaka kuleta matusi ya ukawa humu, ndio maana nimekwambia tukana uone moto wake simbilisi wee
  19. kawakama

    Neno lililotajwa sana mwaka huu kuliko maneno yote Tanzania

    kumbe ninyi mpo kimatusi tu badala ya hoja, sasa tukana utukanwe fisi maji wewe
Back
Top Bottom