Search results

  1. K

    Kuhama cbe dar to dom under tcu yawezekana?

    Nadhani inawezekana, angalia tangazo la udahili kwa duru la tatu katika ukurasa wa tcu
  2. K

    Bodi ya mikopo imetuokoa wanyonge

    Tusisahau kuwa kuna maelfu ya vijana wa kitanzania wamesomeshwa kwa mikopo ya bodi. Tuwe fair
  3. K

    Hawa ndio walipa kodi wakubwa nchini; NMB yabwaga Benki zote

    Dada Mtema, nawaomba ninyi wabunge makini mliuze hili katika kikao kijacho cha Bunge. Mtuwezeshe tujue ni kiasi gani makampuni ya madini na simu yamezalisha (mara nyingi mahesabu ya kweli yanapatikana kwenye vikao vya wanahisa ambavyo sio vya siri) ili ieleweke kama wanalipa kodi halali au la...
  4. K

    Hongera Sanctus Mtsimbe: apanda ngazi katika kazi mpya! Bosi nchi 11

    Congrats brother Sanctus. I remember you those days a serious A-level guy who commanded much respect from us O-levels at a certain school in the coast region! I will still look up on you brother as you conquer the global with your hardwork and dedication. Congratulations.
  5. K

    Kikwete anasubiri nini kumfukuza kazi Ngeleja?

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni... Bwana Makamba ametoa maoni ya msingi sana. Tusubiri tuone matokeo ya huo mkutano. Hadi hapo alipofikia, nampa big up!!
  6. K

    Mtoto akisha kua atatanganzwa RC

    6. Rashid Kawawa - Vita Kawawa
  7. K

    Alaa! Kumbe wamiliki wa DOWANS ndo hawa!?

    Mimi naanza ibada rasmi ya kuwaombea wote wanaohusika kwa makusudi kuidhulumu nchi yetu na watu wake ili waanze kupoteza matumizi ya viungo vyao muhimu katika miili yao. Siombi wafe, la naomba wapoteze nguvu za viungo kama miguu, mikono ili wawepo kushuhudia Mungu akiirejesha nchi mikononi...
  8. K

    DOWANS yaibwaga TANESCO; TZ kulipa gharama na adhabu Bil. 185!

    Wanajamii hivi chama cha wanasheria cha Tanganyika hakiwezi kutusaidia Watanzania. Nimeshawahi kusikia hukumu nyingi ambazo ushahidi ni obvious lakini bado mtuhumiwa akakata rufaa na akashinda. Je ni kweli hakuna uwezekano wa kushinda? Au ndio yale ya wikileaks- kwamba upo mkono mzito juu ya...
  9. K

    Angalizo kwa wana JF - Lugha ya matumizi ya nguvu haina nafasi

    Hii thread kwa kweli nimeipenda. Mimi nimejiunga November tu na baada ya muda kidogo nilianza kupata hofu kuwa hapa sipo nilipota kuwa. Baada ya kuona wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa kwa makabila mbalimbali hasa wamasai (kuna mtu aliwaponda sana kuwa ni wajinga). Nafarijika sasa kuwa hapa...
  10. K

    Hili linanikera sana Watanzania wenzangu!

    Wakuu mkitaka kupima amani ya watanzania angalieni wanayofanyiwa watu wanaotuhumiwa kuwa vibaka. Nina hakika jinsi watu wanavyopiga na hata kuwachoma moto watuhumiwa ni namna ya kuonyesha jinsi wasivyo na amani. Wapo wengi tu ambao wana uawa bila hata kosa. Nakubali kuwa kinachotusumbua...
  11. K

    Tusker Project Fame

    Davis kutoka Uganda ameshinda TPF 4 baada ya kumshinda Mtanzania Peter Msechu. Msechu anakuwa mshindi wa pili - Nampongeza na kumtakia heri. Davis anashinda shs milioni tano za Kenya!
  12. K

    Kamati za bunge:hatutaki wabunge wa zanzibar kwenye kamati isiyokuwa ya muungano.

    Mkuu Phelemon unaposema hatutaki, unamaanisha kina nani hasa? Wewe ni mbunge au spika?
  13. K

    Dr. Dau achaguliwa kuwakilisha nchi 15 za Afrika ISSA;

    Wana JF, ni vema tukawa makini katika kutoa maoni yetu. Suala la udini linaonekana kupewa nafasi hata mahali ambapo halina sababu. Sasa siku tutakapokumbana nalo kimaukweliii itakuwa ngumu kubaini (ni kweli au uzushi tu). Tuwe makini kwani imani ni ya binafsi, mtu akishaamini kuwa mtu mwingine...
  14. K

    Elections 2010 Mizengo Kayanza Peter Pinda's Profile

    Kuna shule fulani ya sekondari sitaki kuitaja, mtu akitaka kuingia ****** inabidi aache shati nje ili asije akatoka na harufu mbaya, naamini inabidi Mh. Pinda ashauriwe aache shati nje ya CCM la sivyo atanuka
  15. K

    Elections 2010 Kumbe waliomchagua raisi ni 27%

    Kwa rais aliyekuwa madarakani, matokeo hayo ni sawa tu na kakataliwa
Back
Top Bottom