Search results

  1. nra2303

    Anaetoa siri za Bei ya Mafuta kila Mwezi anatutesa Wananchi

    Acha upotoshaji! Bei ya mafuta ina akisi bei ya soko la dunia yaani platts , Ewura anaweka kodi nk wao kama wadhibiti tu wa bei ya ndani otherwise Ewura hawana mamlaka ya kucheza na bei ni mpk Wizara iseme ondoa kodi flan nk
  2. nra2303

    Kibongobongo kumiliki milioni 100 kabla ya miaka 30

    At 40 kibongo kibongo uwe na nn ili uwe umefanikiwa?
  3. nra2303

    Acha makasiriko tafuta hela": kauli inayochochea mmomonyoko wa maadili

    Punguza ushauri watu wanamipango yao tayari. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  4. nra2303

    Jitahidi sana kuishi vizuri na watu wa JF

    [emoji106][emoji106]
  5. nra2303

    Natakiwa kumfukuza kazi muajiriwa aliekuwa kwenye kampuni kwa miaka 17, Nifanyeje?

    Soma Sheria ya Kazi. Cheki code of conduct Angalia company policy Weka kosa mizani then km halina mantiki muandikie warning letter tu coz akienda mbele badae utalumiwa wewe tena kwa nn hukuishauri management vizuri.
  6. nra2303

    Mbunge ahoji kuhusu misafara ya viongozi

    Kisiwa cha amani unasimamishe watanzania masaa mawili ? ili upishwe wewe mtu mmoja? msururu wa magari 30 wa nini inchi yenye njaaa kali hivi?
  7. nra2303

    MO Dewji anawazidi vipi utajiri Bakhresa na Rostam Aziz?

    Ni tajiri kwy category flan! Vijana nadhani
  8. nra2303

    Kajala ni pandikizi anayeitafuna Konde Gang

    Jamaa anapiga single maza ambaye ni mjanja wa mjini anyway Noma sana. Demu anaweza kukufanya uwe maskini au tajiri vilevile lkn
  9. nra2303

    Sijui alipatwa na nini kilichopelekea kujiua!

    Hata kama tuna dhambi tusiache kumuomba Mungu heri na amani ya moyo na afya ya akili! Mashindano kwy maisha ni mengi sana,depression inabeba kijiji siku hizi achilia mbali mambo ya mapenzi. Dont expect anything from anyone na usijilinganishe na mtu yeyote kimaendeleo wala usione umechelewa kila...
  10. nra2303

    TANZIA Mtoto wa Mbunge Cecil Mwambe afariki dunia kwenye swimming pool

    Dah majangq! Aombewe na watumishi,na pia arudi chadema awaombe msamaha!
  11. nra2303

    Depression Itaniua

    Waaambie bank huna kazi kwa hivyp wastopishe kucharge riba kwy marejesho na riba kuu pia,ili uje badae ulipe principal. Haya mambo yanazungumzika vizuri na hao jamaa.Nyumba haiwezi kuuzwa kwa kua haikua dhamana ya mkopo hilo lipo wazi unless km uliiitoa kama amana ya mkopo hapo wanaweza kuiuza...
  12. nra2303

    S.H Amon apoteza jengo la ghorofa nane Kariakoo

    Dah imekuja kama upepo na imeaepa kama upepo!Karma
  13. nra2303

    Private life ya mzee Mengi: Kumbe alikuwa anahonga wadada wengi wa mjini maelfu ya Dola za Kimarekani

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  14. nra2303

    Quality Mall inasikitisha, maduka mengi yamefungwa

    Ramadhani Dau kaacha maumivu mengi sana,kigamboni lazima ulipie ndio upite! Ofcouse na yeye anaishi huku lkn huyu mtu alistahili awe jela saivi,amechezea sana hela za waajiriwa.
  15. nra2303

    Kwanini Roman Catholic hawaruhusu wanawake kuhubiri?

    Masister hapandi altareni km wapo period wala kumomumisha!
  16. nra2303

    Tanga: Auawa wakigombania unga na dagaa

    Watu wakisema hali ni mbaya serikali na wazee wa V8 muelewe! Ukombozi na uhuru kichumi hautoletwa ni serikali wala mbunge nk bali wewe mwenyewe kwa jitahada zako.
  17. nra2303

    TANZIA Profesa Honest Ngowi afariki dunia kwenye ajali Mlandizi Pwani. Alikuwa mhadhiri Chuo Kikuu Mzumbe

    RIP Prof he will be missed forever by many! Raha ya milele uumpe Bwana na Mwanga wa milele umuangazie.
Back
Top Bottom