Search results

  1. Z

    Natafuta kiwanja Morogoro mjini

    Ukitaka shamba nipm kuna shamba heka 10 lipo bwawa la Kihonda mil 3
  2. Z

    Nina wasiwasi na Dr. Joseph K. Buberwa

    We tafuna majani machanga ya mpera au sukutua na Medi-Oral inapatikana pharmacy buku 3 tu. Siku chache tu uko poa.
  3. Z

    Msaada: Uchachu ulipitiliza mdomoni

    Nenda hospital wewe acha ujinga
  4. Z

    Hivi hii ni kweli kwamba mwanamke akiamua kuua harudi nyuma

    Swali gani hili ndugu? Kwani we ulizaliwa na mwanaume? Muangalie tu mamiyo kwani alishajaribu kumuua babiyo?
  5. Z

    Msaada: Nilibakwa na majambazi nimepata ujauzito

    Sina cha kuongeza...I 've said it all
  6. Z

    Movie gani ya kipelelezi unaikubali kuliko zote hadi kesho?

    The Day of the Jackal
  7. Z

    Ndugu zangu wananichukia

    Pole sana ila inaonekana hujifunzi, baada ya kuibiwa mzigo wa lak nane na mil moja ungejua type ya watu unaowaamini. Bora ufanye kazi na watu baki,mnaandikishiana so hata maswala ya kudaiana kisheria hayatakuumiza kwanza watu baki wengi ni waaminifu. Mi mzee wangu alienda kusoma nje enzi hizo...
  8. Z

    Incubator inauzwa

    Ukiihitaji nipm
  9. Z

    Hii picha mnaitafsiri vipi!!

    Nani na nani?
  10. Z

    Ugonjwa wa kisukari na group O la damu kuna uhusiano gani?

    Pole sana... Inamaana mama na baba yako waliona wakati familia zote mbili zina historia hiyo au hawakujua? Binafsi sina cha kusaidia naona unavyomtesa mama yangu na kwakuwa hakuna dawa basi tukazane na sala hakuna linaloshindikana kwa Mungu.
  11. Z

    Mke wangu muda wote ni kulala

    Mimba haipimwi kwa x ray bwana mkojo tu unatosha na ultrasound atafanya but later sana. Anaweza kuwa mjamzito na usifananishe na mimba ya kwanza kwani mimba zinatofautiana
  12. Z

    Nimeachwa tena, sijui tatizo langu ni nini?

    Just be urself wewe huna tatizo bali wao na Mungu anakuepushia mengi mshukuru kwa hilo na umuombe akupe unaefanana naye. Kuhusu tabia, acha kuwa a mother to them they already have one wewe kuwa girlfriend inatosha. Ninavyohisi mimi upo very predictable kwahiyo unaboa. Mimi nimeshakutana na...
  13. Z

    Matunda haya bongo yapo?

    Lipo linapatikana Njombe na Lushoto
  14. Z

    How to join society of Jesus(Jesuits) please.!!

    Kama haupo bright ni ngumu na ili uwe Mjesuit kamili lazima uwe na masters na uwe padre bila ya hayo ni ngumu lakini kama upo Dar nenda Mabibo pale Loyola sio geti la shule bali lile lingine ndo nyumba yao
  15. Z

    Nimfanye nini mke wangu aache tabia hii?

    Mianaume ya Bongo bwana hovyooo...hii inaashiria wewe haupo romantiki na unamuingia mwenzio bila kumuandaa ..nnauhakika mkeo hafurahii tendo na siku akichepuka kwa mtu ajuaye ataomba talaka
  16. Z

    Msaada: Kuwashwa njia ya haja kubwa

    Ni minyoo kanywe mebendazone/mebendazole
  17. Z

    Ana mchumba, lakini amepata ujauzito wa mwanaume mwingine

    Kuua ni dhambi, huna mamlaka juu ya maisha ya mtu mwingine. Lea mimba na uzae mtoto wako. It's a beautiful feeling kuzaa mtoto. USIUE
  18. Z

    Tume ya uchaguzi: Kura ya Rais sasa kupigwa mahali popote

    Huu ni uongo. Afisa wa tume alikuwa live tbc jana usiku akikanusha na kwamba kila mtu atapiga kura pale alipojiandikisha
  19. Z

    Majaribu chungu nzima

    Mijanamume mingine milofa
Back
Top Bottom