MBOWE ALIVYOONGEA NA MTOTO WA MKULIMA NA LUKUVI KUHUSU ESCROW KULE MJENGONI
Every joke, George Orwell wrote is a tiny revolution. Thats because what makes something funny is that it upsets the established order. The more subversive the jokethe more it says what people secretly feel but...
Wajameni kitu gani kinaendelea bungeni kwa sasa! Wabunge wenye twitter accounts tafadhali tujuzeni kwa maana huku nje hatupati habari yeyote ya humo mjengoni. Je hili linaweza kuwa limepagwa haraka haraka ili kuzuia watz wasijue kinachoendelea kuhusu hitimisho la Escrow. Kwani sasa Professor...
Hali ya usalama katika jiji la Arusha bado ni ya kutisha, inasadikiwa watu wawili jioni hii wameuwawa kwa kupigwa risasi na polisi. Polisi wanapiga raia bila huruma kama vile hawa si watanzania, katika jengo la NHC lilopo eneo la Florida Roundabout polisi wameingia ndani ya jengo na kuanza...
Ndugu watanzania mapak lini tutanyanyaswa namna hii na utawala wa kidhalimu wa CCM. Je watanzania tumekosa thamani kiasi hichi, angalia RPC wa Iringa anavyohusika moja kwa moja katika mauaji haya ya Iringa.
Hiki ni kisa cha kawaida kwa polisi wa Tanzania katika ukiukaji wa haki za binadamu...
Katika Mchakato wa katiba mpya mimi moja kwa moja naunga mkono uwepo wa serikali za majimbo. Tunaweza kugawanya Tanganyika katika majimbo matano au sita ya kiuchumi, na jamaa wa visiwani hatuwahitaji, lakini kama watatungangania basi wakubali kutokuwa nchi bali kuwa eneo la Federal Government na...
Habari za ukakika kesho zinasema Raisi Kikwete kesho 21/4/2012, mjini Dodoma kupunguza mukari wa Wabunge wa CCM katika kuungana na Chadema ili kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu.
Kwenye habari za awali zinaelezea mawaziri nane wanaotakiwa kujiuzulu, lakini pia kuna habari za...
Nape akiongea na waandishi wa habari kuhusu itikadi za CCJ
Moja, sikufahamu kumbe NAPE alikuwa Msemaji wa CCJ. Hii ni tabia ya kukimbilia madaraka na ajira ya huhakika wala si kwa kuwa anachukia anayo mapenzi ya nchi yake..Ukimwona mtu mwenye tamaa hizi za madaraka muogope sana, alipopewa V8...
Ndugu zangu watanzania, hali inazidi kuwa tete, maisha yetu yamejeuka usanii mtupu. Kila kukicha ya jana nafuu, yakesho ndiyo itakuwa mbaya zaidi. Mkwere kazi kucheka tu,maisha yetu kwake ni kama mchezo fulani wa kuigiza. Je tunaweza kuwa na sala ya kitaifa ya kuomba uongozi wa nchi ubadilike...
Watanzania imefika wakati kusema sasa inatosha, Kikwete siyo rais wetu, miaka mitano inayokuja ni mateso mateso-mateso, huyu mtu akubali kashindwa nchi, hakuna analofanya watanzania. Lipi jema kafanya.. Huyu ni dikteta wala hilo halina ubishi wowote. Watanzania tutanyanyaswa na kupigwa, polisi...
This song is dedication for our fallen heroes, true freedom fighters. Kesho tutawapa salamu za mwisho, tunasikitika kwa vifo vyao, lakini tunawashukuru kwa ushujaa wao. Walisimama kudai haki, hawakusita..they are true heroes true freedom fighters..Wametupa ujasiri.. Daima tutawakumbuka...
Today is Saddest Day of Democracy in Tanzania, Je inamaana gani nchi yetu kuendelea kupelekwa kibabe na watu wachache ambao hawaeshimu chaguo la wananchi? Kwa kutaka waendelee kubaki kwenye madaraka na kuchukua utajiri wa nchi kwa ajili ya familia zao, Kikwete yapi mema umewafanyia watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.