Search results

  1. Wabogojo

    Waitara: Wafuatao wanahama CHADEMA

    These are happening only in Tanzania, na hii ni ishara kuwa Watanzania bado hatujitambui kisiasa. Mbona wanatuongezea gharama kwa chaguzi za marudio rudio?
  2. Wabogojo

    I am looking for a Grants Proposal Writing Proffessional

    Kwa mtalaam yeyote mwenye uzoefu wa kuandika Grants Project Proposals za NGOs basi naomba ani PM tafadhali.
  3. Wabogojo

    University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    Kuna taarifa ya kuwa kuna idadi kubwa ya vijana waliodahiliwa UDSM na wamepewa barua za admission baada ya kukamilisha taratibu zote ikiwa ni pamoja na kulipa STUDENTS DIRECT COSTS lakini cha ajabu jana wanaambiwa warudi majumbani kwao kwa vile walidahiliwa kwa makosa eti hawakuwa na sifa za...
  4. Wabogojo

    Makao Makuu CHADEMA: Polisi wavamia na kukamata Wanachama waliovalia T-shirt za "Pray for Lissu"

    Kwa kauli na mtizamo wako hasi wa aina hii unatakiwa ukapimwe mkojo
  5. Wabogojo

    Kuko wapi Kuhongwa kwa Lissu na Acacia?

    Mkuu mbona unatoa kauli za kama vile Lissu is no longer with us. Lissu yuko hai na imani yangu akitoka huko atakuwa bombastic mara kumi zaidi ya awali.
  6. Wabogojo

    Ni haki Simba SC kumbadili kocha kipindi hiki

    Wewe umerogwa siyo bure aisee! Na kama ndivyo hivyo, basi hayo yatatokea baada ya kuganyika kwa Vyura FC na kumfukuza Lwandamina:mad::mad::cool::cool::eek:
  7. Wabogojo

    Yanga chupuchupu kwa Majimaji mjini Songea, zatoshana nguvu

    Kihistoria yanga hana unavu wa kuwafunga wana lizombe ndani ya Majimaji Ground
  8. Wabogojo

    Namna ya kumiliki/kufungua kampuni ya " sport betting"

    Mtoa Mada aliomba utaratibu wa kufungua company ya Betting na singinevyo. Watalaam naomba msaidieni Mandella pls.
  9. Wabogojo

    UKAWA wamegoma bunge kurekodiwa badala yake wanajirekodi kupitia simu na kurusha mitandaoni

    Kwa hiyo na wewe unaunga mkono kunyimwa haki yako ya msingi ya kupata habari za bunge live? Badi kama ndy hivo Watz tutakuwa tumerogwa si bure hata kidogo
  10. Wabogojo

    Hali ya Kisiasa Zanzibar: Maalim Seif aongea na Vyombo vya Habari - Jan 11, 2016

    Daaah aisee na wewe ni jipu liloiva lahitaji kutumbuliwa bila ganzi atii! Mbona huulizi kwa nini ccm wanataka uchaguzi urudiwe ili hali ule ulo pita ulikuwa shwari kabisa?
  11. Wabogojo

    Ndugu Valentino Mlowola, DG PCCB tafadhali anza na hili, kwa haraka!

    Kama mtu anadiriki hata kukaidi amri halali ya BOSS wake tena RAIS basi hapo kuna jambo lililo wapeleka huko ughaibuni - wapaswa kuchunguzwa kwa kina hao ili kubaini lengo la hiyo safari. Ni lazima kuna jambo kubwa walienda fanya huko nje!
  12. Wabogojo

    Ukweli wa heri: Tundu A. M. Lissu hana mfano Bunge lile wala hili

    Think out of the box my friend once you talk about Zanzibar elections, hao jamaa wana akili ya kujitambua na wanajua facts ya kilichojili kuhusu ZNZ.
  13. Wabogojo

    Kuna wabunge bora wangekuwa wapiga debe stand

    Andiko lako ni zuri ila ulichokosea ni kutosema chochote juu ya sababu au kilichofanya huo uhuni, upumbavu na ulofa uliofanywa na wabunge wa UKAWA kwa siku hizi mbilivza bunge la 11. Siku nyingine nakushauri ukitaka kutoa uchambuzi wenye weledi basi angalia sana sababu ya yaliyotokea badala ya...
  14. Wabogojo

    Mikopo ya vyuo tayari. Semeni lingine tena tuone

    Ni kweli nilivyo soma heading nikajua tayari serikali imeshapeleka hela kwa wanetu kumbe ni porojo tupu. Sasa vijana wakianza kuandamana tutasingizia upinzani ndy wanao wahamasisha wagome na waandamane. Ushauri wangu ni bora hazina waseme ukweli kama hela ipo au haipo na kama ipo ni lini hao...
  15. Wabogojo

    Picha Rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakayotumika kwenye Ofisi

    Wameshatoa waraka kuibatilisha hiyo picha hadi watakspi toa nyingine. HAPA NI KAZI TU!
  16. Wabogojo

    Halmashauri zitakazokuwa chini ya UKAWA

    Songea imechukuliwa na ccm: ccm kata16 na CDM kata 5
  17. Wabogojo

    Bungeni: Ni mbunge yupi atamrithi Kafulila kwa kufichua ufisadi Serikalini?

    Mi nina imani na Mh Kubenea wa Ubungo.
  18. Wabogojo

    Stationery & Bookshop

    uko wapi wewe na biashara yako?
  19. Wabogojo

    Ahadi za Rais Joseph Pombe Magufuli awamu ya tano, 2015 hadi 2020

    Mkuu uko sahihi kabisa ila naomba nikuulize kaswali kamoja tuu. Jee bila kuorodhesha hizo ahadi za Kikwete tungejuaje kama amefeli au amefaulu na tena kwa kiasi gani?
  20. Wabogojo

    Ahadi za Rais Joseph Pombe Magufuli awamu ya tano, 2015 hadi 2020

    Ahsanteni jamani mimi naendelea ku compile michango yenu.
Back
Top Bottom