Search results

  1. L

    Madeni ya Serikali yaiweka PSPF njia panda

    -The piece of information is not financially impressive-it is indeed a killing factor to the well established financial centers elsewhere but not in Tanzania. However, let them spell the beans for affirmative actions to be taken. -I plead the government to take reversal measures to ensure...
  2. L

    Madeni ya Serikali yaiweka PSPF njia panda

    Ni kweli mifuko inaushindani lakini kwa swala ya kuteteleka kwa PSPF imenukuliwa kutoka kwa Kaimu Mkurungenzi Mkuu wa PSPF Bwn. Adam. Je yeye ni mpizani wa mfuko wake mwenyewe? Swala la pili ambalo watanzania na wafanyakazi wa serikali lazima walijue ni athari za Circular ya mwaka 2011 kuhusu...
  3. L

    Shukrani kwa ukaribisho - Anna Tibaijuka

    Je hati ya viwanja namba 100 na 101 pale block 22 kibada vimefutwa (revoked)? kama ni kweli watu wenye viwanja wasiowafanyakazi wa wizara ya Ardhi haki zao zinakuwaje? Kwanini hati za baadhi ya wafanyakazi wenu wenye viwanja block 22 vimefutwa na kupewa vingine? na nani kawajibishwa kwa kufanya...
  4. L

    Maelezo ya Mjengwa kuhusu kuhojiwa kwake na polisi jana

    Ni kweli kabisa hasa ukiongeza gharama zingine. Hivyo ni nani aligharamia gharama za Majid kutoka Iringa?
  5. L

    China is morally bankrupt!!all they need is oil and minerals - tza be careful

    The questions might be good but they are unbalanced ones... Did author ever seen other key contracts entered between Tanzania and the west? Technically, there is an issue of transparency that needs to be addressed regardless of blocks. We don't care about the origin of the investor, what...
  6. L

    Dk Slaa: Tuhuma za Lwakatare kuteka waandishi zimepikwa

    Swala ili ni nyeti sana kuliko unavyodhani... i guess watakufuata kutokana na ulivyojipambanua kwenye andiko lako! anyway watakuachia ukiwatajia jina la ofisa!
  7. L

    Dk Slaa: Tuhuma za Lwakatare kuteka waandishi zimepikwa

    Kufanya uchunguzi tanzania ni simple sana.... kila mtu ni mchunguzi... mimi naona na wewe wachunguzi wakuhoji uwape jina la afisa usalama aliyekutonya na shughuli zima itakuwa imefika mwisho!
  8. L

    Membe atoa tamko juu ya kutekwa kwa Kibanda

    Ile tuhuma ilelanga kwa membe kama mtu na siyo waziri wa serikali.
  9. L

    Membe atoa tamko juu ya kutekwa kwa Kibanda

    It is now time for the counterpart to prove beyond reasonable doubt on how he was involved! If it is not part of a dirty politics it is time to reveal the facts on allegations. The door is opened by the alleged!
  10. L

    CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

    Check upande wa juu kushoto inasomeka tarehe 28/12/2012 in reverse order! au hii inamaanisha nini?
  11. L

    Mtu huyu amenishangaza sana! Msaada tafadhari...

    mtumie 500 kujua jina lake then mpe onyo kali...
  12. L

    Prof. Tubaijuka: Umeupata UNEC, CC na Uwaziri - Tueleze Umefikia Wapi na Mgogoro wa Block 22, Kibada

    Ni pm.. tuanze mchakato. It is so sad to see our hard earned monies invested in acquisition of plots are laying idle because of irresponsible watumishi! Kweli pesa yaweza kukufanya kipofu!
  13. L

    Prof. Tubaijuka: Umeupata UNEC, CC na Uwaziri - Tueleze Umefikia Wapi na Mgogoro wa Block 22, Kibada

    Umenena. watu tunatofautiana kuna wengine upenda mbeba ujumbe na siyo ujumbe!
  14. L

    Prof. Tubaijuka: Umeupata UNEC, CC na Uwaziri - Tueleze Umefikia Wapi na Mgogoro wa Block 22, Kibada

    Prof. Kwanza ni ungane na wengine kukupongeza kwa mafanikio yako lakini kwangu mimi mafanikio ni pamoja na kuweza kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Ardhi pale Block 22, Kibada ambao umesabishwa na wizara yako. Kwa faida ya washiriki block 22 , kibada lipo katika mradi wa viwanja elfu ishirini...
Back
Top Bottom