Search results

  1. FADHILIEJ

    Natafuta camera za siri kwa ajili ya ulinzi wa duka langu

    Asante sana,nitawatafuta bila shaka.
  2. FADHILIEJ

    Natafuta camera za siri kwa ajili ya ulinzi wa duka langu

    Nimechukua namba takutafuta,ila kama ungeweza k Mkuu takutafuta,ila kama inawezekana kupata list ya products kwenye inbox yangu ningeshukuru sana mkuu.
  3. FADHILIEJ

    Natafuta camera za siri kwa ajili ya ulinzi wa duka langu

    Nashukuru kwa taarifa mkuu, ninepata website yao au mawasiliano ningeshukuru sana.
  4. FADHILIEJ

    Natafuta camera za siri kwa ajili ya ulinzi wa duka langu

    Wadau heshima kwenu, Nimekuwa nikihangaika jinsi ya kumonitor duka langu hasa wakati niko safarini na kuna mdau alinidokezea kuwa naweza kupata camera ndogo za siri zinazoweza kurecodi matukio yote wakati sipo, tafadhali mwenye taarifa zaidi naomba msaada, asanteni
  5. FADHILIEJ

    Gari Toyota Noah inauzwa, milango ya mazungumzo ipo wazi

    Mkuu kitu kimetulia,japo kwa sasa siko vizuri ila wacha nichukue namba yako nadhani tutawasiliana. asante
  6. FADHILIEJ

    Meya wa West Virginia ajiuzulu baada ya kufurahia andiko lililomfananisha mke wa Obama na Nyani

    Kwa kawaida Meya huwa anachaguliwa na ili apoteze umeya ni suala la au kura za kutokuwa na imani naye au Kufukuzwa uanachama hivyo kupoteza ubunge au Kushtakiwa na kupatikana na hatia/kufungwa SASA SUALA LA KUFUKUZWA HALIELEWEKI-Kafukuzwa kazi na nani? maana Huwa hawaajiriwi . Make it clear.
  7. FADHILIEJ

    Kero ya Kelele Kutoka Makanisa ya Kilokole

    MBONA SPIKA ZA MISIKITINI HAUZIONGELEI au alfajiri na jioni wenzetu wanapoalikana tuwazuie?
  8. FADHILIEJ

    Natafuta wholesalers wa bolt and nuts

    Asante sana mkuu,tafuatilia soon.
  9. FADHILIEJ

    Kilimo, soko na faida za Uyoga

    Wasiliana na Chama cha wakulima wa uyoga dar utapata mkuu.
  10. FADHILIEJ

    Natafuta wholesalers wa bolt and nuts

    Hapo ndo penye tatizo mkuu,na unaweza kujiingiza kichwajichwa ukakutana na TRA maana hawa jamaa hata risiti hawatoagi.
  11. FADHILIEJ

    Natafuta wholesalers wa bolt and nuts

    Wadau mimi ni muuzaji wa hivi vitu kwa rejareja lakini changamoto niliyonayo ni upatikanaji wake hasa kwa bei za jumla kwani wengi wanaojiita wholesalers ni middleman tuu, Tafadhali anayewajua wauzaji wa jumla wa uhakika anisaidie. ASANTENI SANA.
  12. FADHILIEJ

    Msaada: Upatikanaji wa mbegu za uyoga hasa Oyster na soko lake Mwanza

    Wasiliana na Chama cha wakulima wa uyoga Dar es salaam utapata bila shaka,
  13. FADHILIEJ

    Vitu vitamu zaidi duniani ni vitatu

    You relaxxxxxxxxxxx
  14. FADHILIEJ

    Vitu vitamu zaidi duniani ni vitatu

    KUJA KUJAMBAAAAAAA VIPI?
  15. FADHILIEJ

    Kilimo, soko na faida za Uyoga

    Nashukuru sana kwa ushauri japo nilitoka nje ya mji kwa siku kadhaa sikuweza kushukuru kwa wakati, Kwa sasahivi ninachoweza kufanya ni kuukausha tuu lakini zaidi ya hapo Value addition ingine shule ndo tatizo -Je kuna mwenye msaada wa elimu hiyo? Asanteni
  16. FADHILIEJ

    Kilimo, soko na faida za Uyoga

    Wadau Heshima kwenu, Nimevutiwa sana na kilimo cha uyoga na nimeamua nianze rasmi lakini kabla sijaanza nataka kuwa na uhakika na masoko yake hapa nchini, Tafadhali mwenye taarifa za masoko anijuze asanteni
  17. FADHILIEJ

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    DR SLAA anatosha
  18. FADHILIEJ

    Picha: CCM yawakutanisha President Salva Kiir na Riek Machar, watia saini mbele ya Rais Kikwete

    Je mkutano umegharimiwa na ccm au ikulu? Maana sielewi why mnataja ccm mara rais,
  19. FADHILIEJ

    Samuel Sitta aunda Kamati ya maridhiano ya kuwasikiliza waliopiga kura za HAPANA

    Kiongozi kama taarifa hizi ni za kweli,NINAOMBA TUWAOMBEE HAWA NDUGU KWA SALA ZOTE MUNGU AWALINDE,Maana Uamuzi walioufanya ni wa Hatari sana,Lakini kwa kuwa Wanancji wengi tuko nyuma yao Mungu atasikia Maombi yetu, AMINA.
Back
Top Bottom