Search results

  1. F

    Hii Theory ipo kweli???!!!!: Woman Is Equal to Problems

    mmh hii si kweli. hesabu zingine bwana matatizo matupu!!!!!!! acha kuipotosha jamii tangu lini hesabu imejaa maneno tu mwanzo mwisho hata namba hakuna. mi sikubali kama women =problem bwana. kwanza ukisoma biblia mwanzo adam alikuwa mpweke mpaka Eva alipoumbwa. if so ADAM asingefurahia uumbaji...
  2. F

    Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

    Ni kweli kabisa ndugu yangu mi nakuunga mkono asilimia zaidi ya mia. katiba yetu imepitwa na wakati, kuna haja ya kukaa chini viongozi wote kuunda mpya, kwa sababu mambo yanaenda yanabadilika kulingana na technolojia mpya, sasa kwa nini sisi tuendelee na yale yaliyopitwa na wakati yasiyo na...
  3. F

    Elections 2010 Askofu ampoza Dk. Slaa

    Tunashukuru askofu kwa ushauri wako kuhusu makasheshe ya uchaguzi na matokeo yaliyojili. Tunachotaka sasa nii kuona mabadiliko katika jamii yetu ambayo imeteseka kwa muda mrefu. Hao viongozi inabidi wabadilike na wamwogope MUNGU kwani jamii yetu inategemea kuona matunda ya uchaguzi na si maslahi...
  4. F

    Hi, am a new member!

    thanks for registering me to be one of the members.
Back
Top Bottom