Search results

  1. Dahafrazeril

    Mechi ya taifa stars

    Taifa Stars inaongoza goli moja bila. Goli la Saimon Happygod Msuva, dk 29. Mpira utaisha muda siyo mrefu.
  2. Dahafrazeril

    Ni muda gani sahihi wa kufanya maamuzi magumu?

    The greatest threat to human development is the opinion of others.
  3. Dahafrazeril

    Maoni na Ushauri kwa Joshua Nassari

    Maamkizi. Ahsante kwa nadharia ya kichokozi (Provacation thesis). Nitarudi.
  4. Dahafrazeril

    Kitabu cha Mwanzo katika Bible ndio msingi wa mambo matatu duniani! Intelijensia, Sayansi na Uchawi

    Greeting's! Kuna mambo hupatikana kwa bidii ya kujifunza na siyo Ufunuo. Kuna mambo hupatikana kwa Ufunuo na siyo kwa bidii ya kujifunza. Bible is not physic's or chemistry. Isome Biblia huku ukimuomba Roho Mtakatifu kuwa kiongozi wako. Utafahamu & kufunuliwa Mengi. Tusiiosome ili...
  5. Dahafrazeril

    Ishara 5 kuonyesha utakuja kuwa mtu mwenye nafasi kubwa

    1. Kumcha Mungu. Kufuata na kuwa na maadili mema katika Dini na dunia. Kumcha Mungu usiifanye namba 6. Namba 1 ndiko kungefana sana. Hapa, neno "Dini" siyo kwenda kanisani, msikitini au katika sinagogi pekee! Bali ni kuwa na mfumo wa maisha unaowawezesha watu kuwa na uelewa wa pamoja wa namna...
  6. Dahafrazeril

    Usijisahau sana, wewe ni binadamu maisha yanabadilika muda wowote. Tujifunze kwa Miss Kidoti

    Greeting's brethren! Tatizo ni kwamba "Hatuna akiba ya Matendo". Nilichokiona/ninachozidi kukiona ni kufanya mambo " ad hoc" haraka haraka bila "filtering", bila kuzingatia mantiki, adala nk kwa ajili ya leo au kesho, halafu tutaangalia. Hili pia liliwahi kumtokea Rais mstaafu Baraka Obama...
  7. Dahafrazeril

    Julius Nyaisanga (Mtangazaji wa zamani Radio One na Mkurugenzi wa Abood Media) afariki dunia

    We can't be serious!! Mungu amlaze/ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi?. BTW, Mungu ailaze roho ya marehemu panapostahili. Nb: Mavuno ya kesho hupandwa leo. Greeting's brethren.
  8. Dahafrazeril

    Divine matrix under entangled reality

    Greeting's, Comrade. You remind me someone "Fibonacci". He was a great, a hero & ever lived mathematician. Per'se, Thank you for great Job. Universal Law's "Mifumo ya kidunia" ndiyo hutuongoza. Dunia inaongozwa/tawaliwa na watu tusiowaona. I'll be back. Kumradhi.
  9. Dahafrazeril

    Viwanjw vinauzwa Arusha-DC

    Heshima, Mkuu. Mbona Heading na Maelezo ni tofauti?. Nilitegemea kukuta Viwanjw na--sio Viwanja.
  10. Dahafrazeril

    Wadada acheni kuwa ombaomba fanyeni kazi mpate hela zenu,zama zimebadilika

    Reading between Lines. Huu ni utoto, anayekuita My & Sigara kali.
  11. Dahafrazeril

    Nash mc namkubali kwa nyimbo mbili

    Mafanikio katika muktadha upi?. Mafanikio ni dhana pana, hatuitizami kwa Jicho la kibepari. Mind you.
  12. Dahafrazeril

    Marafiki natafuta kazi

    Ahsante kwa kilemba cha ukoka. Sitakikani kusema uongo--na sitakikani kusema ukweli.
  13. Dahafrazeril

    Marafiki natafuta kazi

    Ahsante kwa udundulizaji. Unafahamu matumizi ya alama "Sawa sawa/The equals sign or equality sign (=) "?. Yaani hapo umemaanisha mungu ni sawa sawa na Mungu. Humu tunakosea mno, nikiwa mmojapo. Si unajua msiba wa wengi?... Usiandike mungu. Andika, aidha Mungu/MUNGU. Labda kama hum'maanishi...
  14. Dahafrazeril

    ONYO: Usije ukakubali mke wako eti akafanyiwe massage, utajuta. Cheki!

    Na ujute kweli. Kwani ulioa/olewa kwa sababu zipi, kama hilo la kumfanyia massage mkeo/mmeo sio--mojawapo ya majukumu yako?.
  15. Dahafrazeril

    Kwanini tunasherehekea siku ya kuzaliwa?

    Hollywood Mentalities. Ni dhana ambayo imewateka wasomi, wachumi, wanasiasa, wasanii & wakesha hoi barani Afrika na kuwaganda vichwani kama yule mzee aliyempanda mgongoni Sindbad katika ngano za kale na kukataa kushuka. Humu pia huo ugonjwa umo. Tarehe ya kuzaliwa ya kazi gani?. Logic au mfumo...
  16. Dahafrazeril

    DODOMA: Hospitali ya Aga Khan (Apollo Medical Center) yawaka moto...

    Salamu, Gidume. Avatar/display pic yako ina uhusiano wowote na ujumbe wake?. N'natamani sana kufahamu chanzo cha sababu. Huo ujumbe "I Hate My Father" umenifikirisha & kuniumiza sana. Why?. Kama hutojali, n'naomba tujifunze zaidi. Kumradhi.
  17. Dahafrazeril

    Matumizi ya L kwenye R

    Demi, huko katika taasisi za Uandishi & utangazaji ni gulio la kizota. Zaidi sana, kujuana na kununuana kunauzwa katika mnada wa wazi. N'nachukizwa sana na hili. Ni hivi, mmiliki wa Chombo cha Habari anapaswa kuajiri Mkurugenzi mwenye ubobezi & ujuzi kuhusu karia hiyo. Tatizo linakuja pale...
  18. Dahafrazeril

    Hivi ndivyo ulivyopata Jina lako la “kizungu"!

    Acheni hizo. Do you, and let others do them. Kama ndiyo tamaduni zetu msilazimishe Nyangema aitwe 2Pac kama alivyoimba msanii Professor Jay wa mitulinga. Wengine kwao majina ndiyo calendar, mtoto akizaliwa wakati wa njaa anaitwa Mwanjaa. Sasa unataka aitwe Grace halafu watu wapoteze timeline...
  19. Dahafrazeril

    Matumizi ya L kwenye R

    Truth comes with pain. Siyo matamshi pekee. Kuanzia muonekano (kuvaa, kunyoa mpaka kutembea). In-short gestures zote ni muhimu kuzingatia. Maneno sanifu ya kiswahili kama, kuhodhi, aghalabu, usuli, mawanda mapana, mantiki, zanambiu, ubazazi, kudurusu, kasri na orodha inaendelea... hayana...
  20. Dahafrazeril

    Hivi ndivyo ulivyopata Jina lako la “kizungu"!

    Sistahili kuombwa msamaha! Kwanini unanga'nga'na na unachokiita "Majina ya mizizi"?. Unaweza kunipa mifano ya majina hayo?. Maisha yakiwa mafupi na kuishi mara moja ndio tujipe majina yaso-na mizizi, utamaduni wetu?. Kufuata vyenye asali ndiyo nini?. Unaweza kuvitaja?. Karibu.
Back
Top Bottom