Safi sana Chige uko very objective nimependa the way ulivyofanya analysis yako. You have good option for the data you have referred unless kama kuna info zingine haziko sawa mtu anaweza pinga mawazo yako.
Umeandaa kiasi gani cha viroba ili zomeazomea iendelee!! UKAWA mmechemka. Sasahivi siyo pipooooz ni virobaaaaaaaz ===%%÷£ Powerrrrrrr. Na tarehe 25 kunyweni viroba na mchanganye na mbege kisha muone cha moto.
Kweli ukawa jipangeni sana! Hii ni sunami mbaya CCM hapa ni kazi tu na si safari ya matumaini/uhakika mtajua wenyewe. Lazima mjue nchi hapewi wala rushwa na wahuni.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mbowe akili kuwa Magufuli ni jembe hizo zingine ni siasa tu. Mcheki kwenye huu uzi ukitoa ya moyoni.
https://youtu.be/j0xaIuEaX18
Mh. Dr. JP Magufuli rais wa Tz mtarajiwa leo hii amefunika jiji la dar wakati alipoenda kuchukua form. Aisee hiyo hali imezidi kuwapa hofu wapinzani ambao wako kwenye mpasuko mkubwa wa kugawana madaraka hata kabla ya kuyapata.
Tazama jembe lilivyo sababisha watu kuacha kazi zao katikati ya jiji...
Tulia kwanza CCM si chama kinachokurupuka Magufuli auzika mwenyewe kwa wananchi. EL lazima apitishwe dry cleaner kwanza. Subiri kipenga kipulizwe ndo mtakapo ujua mziki wa CCM. Tunachoangalia hapo ni jinsi gani EL alvyojivua nguo. Yaani nampa pole jinsi pesa yake itakavyo liwa kama ilivyoliwa na...
Pole sana mwanakijiji hope umepata ukweli kwamba CDM kwanini wataalam walisema bado haifai kupewa nchi. Tazama hata UKAWA nao wamepotelea kwenye genge la wahuni wenye individual interest na siyo public interest.
CDM yaani mmejimaliza wenyewe kabisa! Mwangalieni mgombea wenu hana ani kabisa na ameshindwa kuendelea na kikao. Mumekurupuka sana kufanya maamuzi. Ngojeni muone Magufuli atakavyowapeleka mchakamchaka.
Hapa unatolewa ufafanuzi mzuri sana kuhusu uuzwaji wa nyumba za serikali. Swali liliulizwa na kubenea kwa Mh. Sumaye waziri mkuu awamu ya tatu. Mh. Magufuli alikuwa mtekelezaji tu tena akajenga zingine nyingi tu na bado anaendelea kujenga.
6. Kaunza launch zote za mifugo na kujibinafisisha yeye na mafisadi wenzake.
7. Alipiga dili ya kuingiza mahindi mabovu na kuipa hasara serikali.
8. Alitaka kujibinafisucha kiwanda cha nyama arusha wajanja wakamshitukia.
9. Kajimilikisha vitalu vya merelani hadi wakataka kuzijapa na mengi baada...
Nani Lowasa!!!!! Tuambie wewe maana hata kusoma hotuba aliyoandikiwa hawezi anarudia mara nne sehemu moja ndo atauweza muziki wa Kenyata kwenye kukuza uchumi. Muacheni mzee wa watu akapumzike angalau atumie pesa yake ya Richmond.
Watanzania kubwabwaja sana. Kinachotakiwa hapa ni kazi na jembe linaendelea kupiga mzigo. Vitu vinaonekana na si tamaa za uraisi. Mtu hawezi hata kusoma hotuba aliyoandikiwa lakini watu bado mnapiga kelele. Shauri yenu Mbowe kashalamba mpunga wake nyie endeleni kupiga kelele wakati jamaa...
Magufuli afanya ukaguzi ujenzi wa barabara ya Arusha - Holili - Taveta - Voi sehemu ya Sakina-Tengeru (km 14.10) itakayojengwa kwa njia nne na njia ya Mchepuo (Arusha Byapass) (km 44). Raha tupu wakati EL anakodi bodaboda Dar! Jembe linaendeleza kupiga mzigo longolongo zimepitwa na wakati watu...
Kumekucha wakati jembe JP akiwa kikazi arusha kwenye kuweka jiwe la msingi barabara ya mererani KIA. Wazee wa kimasai wamemkubali na kuamua kumtunikia uongozi wa koo za kimasai. "Laigwenani" Nitawajuzi kila kinachoendelea kadri jembe linavyozidi kukubalika kwenye ngome ya EL. Check hizi
Magufuri anazidi kutisha! Kweli chema chajiuza mkwe wa EL Sioi Sumari leo ameonyesha kumkubali Dr.Magufuli katika mchakato wa urais tazama leo asubuhi alivyoenda kumpokea uwanja wa kilimanjaro na kusalimiana na Jembe JP Magufuli. "Aleselema"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.