Search results

  1. M

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    Uchapakazi ni muhimu lakini maadili katika uchapa kazi ni muhimu zaidi...Kiongozi mkubwa kama waziri mkuu kumkumbusha kuwa maadili ni muhimu sio jukumu letu anatakiwa kujua na anapoamua kuwa na tabia ya kupenda na kujilimbikizia mali wakati ni kiongozi anakuwa na uhuru wa kuchagua,uongozi au...
  2. M

    Tanzania iliyokomaa kisiasa.

    Wakati wa mdahalo kuhusu kambi ya upinzani,nilikuwa naangalia kupitia luninga yangu,mpaka kamera ziliondolewa kwa muda.Sikunoti nani alianzisha ila niliona mpaka watu walinyanyuka,na hii inaaashiria kupandwa na jaziba. Nimefuatilia pia hoja za Mbowe na Hamadi.Nimeona Hamadi akigusa nafsi jambo...
  3. M

    Tanzania iliyokomaa kisiasa.

    Midaharo yote iliyoendeshwa karibia kipindi chote cha kampeni imeleta changamoto kubwa sana.Hata hivyo mdahalo kuhusu kambi ya upinzani ndani ya bunge umekuwa wa aina yake hasa katika kuonyesha ni jinsi gani wanasiasa walio wengi bado hawajakomaa au basi hawajui kanuni na taratibu za midahalo...
  4. M

    Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

    our stake is in the development of the young nation as a whole.It is big picture.CUF has to re-frame its policies if it is to continue to be the strong opposition part as it was before.
  5. M

    Elections 2010 JK atoa kauli kuhusu uchaguzi 2010

    You cannot deny people justice with one hand and claim peace and unity with the other.Tanzanians should fear people who pretend to smile in and wave hands of peace while sending missiles to finish them.Liberty,peace and honest are values implanted in each and every human being and whoever claims...
Back
Top Bottom