Search results

  1. L

    Tutazame historia inatufundisha nini

    Nazani Kama Hatuna macho ya kuona au kama Hatuna masikio ya kusikia, Basi Tutazame Historia, Tuone Historia inatukumbusha nini? Daima Tukiangalia Historia tutaona kwamba UDHALIMU au NGUVU au UBABE au UONEVU dhidi ya Jamii inayokandamizwa huwa ina mwisho. Tuliona Hitler, Musolin, Poland na...
  2. L

    Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    Husilie, Husiwe na Uchungu, Kaa chini Tafakari. Hekima na Busara Itakuongoza kwenye Mapambano yako, Daima Udhalimu Hushindwa kwa Busara!
  3. L

    Natamani mwisho wa dunia ufike

    SchoolBook JIPE MOYO, Muombe MUNGU yote Yatakwisha, kuwa na Imani, Mungu ANAWEZA ndugu yangu, JIPE Moyo.
  4. L

    Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    Nazani Busara na Hekima inatakiwa itumike kutoka kwa Serikali na CCM kwa ajili ya matukio yaliyotokea huko Arusha, na hata sehemu nyingine kama yatakuja kutokea. Nazani si NGUVU, UCHAMA, USHABIKI, UWONGO, CHUKI, FITINA zisipate nafasi kutumika hapo kwenye matukio kama hayo kutoka kwa Serikali...
  5. L

    Serikali onyesha uadilifu, mfukuze mhariri wa gazeti lako la habari leo

    Mhariri wa Gazeti la Habari Leo Umepata aibu ya Mwaka, Unatakiwa wewe mwenyewe Ujiuzulu au SERIKALI ikuondoe hapo ulipo. Ulishabikia sana Kanisa Katoliki pale ambapo lilipoonyesha Msimamo wake wa KUTOFURAHISHWA na baadhi ya wagombea uongozi wa CCM walipotumia vibaya IMANI YA KIKRISTO au MANENO...
  6. L

    Nataka niuze nchi ya Tanzania nifanyeje?

    Da Bookschool, unataka kuuza nchi?, sasa tutaenda wapi ndugu yangu?, Kwa nini Husikomae tu kama wenzako, we vumilia tu machungu yote (Umeme Juu, Nauli za daladala kupanda, maji juu, mafuta juu, vyakula bei juu). Bora JIPANGE kuwauza MAFISADI wotee, NCHI YETU TUACHIE. Jipange kuwaondoa Mafisadi...
  7. L

    CALL FOR SUPPORT: To Build or not To Build - The Serengeti Highway saga

    Hivi kama ni Kweli, huyi Mh rais na hao waarabu wana lengo gabi na Tanzania yetu?,....kweli KATIBA MPYA inahitajika hapa. Hata waibanie itakuja tu, MUNGU yu nasi Watanzania tusikate tamaa na hawa watu wachache ambao wapende wasipende watakuwepo lakini pia mwisho ut
  8. L

    Alaa! Kumbe wamiliki wa DOWANS ndo hawa!?

    Kweli tutaendeshwa vipi mpaka lini?
  9. L

    Tido Mhando atemwa TBC

    Dah!, wanajamii hivi KWELI TUNAELEKEA WAPI?, kwa hali hii KWELI kuna MSINGI WA NCHI YETU kufika mbali kweli?
  10. L

    Tido Mhando atemwa TBC

    (Nani ametoa shutuma hizi? au wewe ndiye uliyezitoa. Tupe chanzo cha habari hii pls!) Source: Ni watu wenye kufuatilia siasa, watu wenye Uchungu wa nchii, watu mtaani na wengine CCM.....Ndio maana nimeuliza ndugu yangu @ Chibidu kuwa hizi ni kweli au ni UZUSHI tu?, kuna Ukweli wowote hapo?
  11. L

    Tido Mhando atemwa TBC

    Inasemekana Tido Mhando katolewa/ kafukuzwa TBC kisa Kussuport CHADEMA kwa njia ya nyuma kipindi cha Uchaguzi. Baadhi ya Viongozi wa Juu wa CCM wanasema Tido Muhando AMECHANGIA Chama chao Kushindwa vibaya kwenye Uchaguzi na pia Tido Mhando amechangia CHADEMA kupata Nguvu ndani ya wananchi. Kwa...
  12. L

    Vyombo vya habari Tanzania na hatma yetu

    Siwezi kushangaa kusikia CHOMBO cha habari kama Habari Leo kuweza kutoa habari ambazo zina mlengo wa kuwachanganya wananchi na kuweka sumu ya chuki kati ya Imani moja kwenda Imani nyingine na Imani moja na Chama cha siasa chingine. Hao watakuwa ni moja wapo ya vyombo vya habari vilivyoteuliwa...
  13. L

    Vyombo vya habari Tanzania na hatma yetu

    Sijui Serikali inafanya nini?, hivi wao hawaoni au wanafumbia macho tu ujinga huu wa hatari unaofanywa na gazeti hili?, au wamo humo ndani kwenye kusupport hizo habari?. Kwani habari zinazoandikwa na gazeti kuhusu Kanisa Katoliki - Sumbawanga na wanachama wa CCM waliojaribu kutaka kura kutoka...
  14. L

    Vyombo vya habari Tanzania na hatma yetu

    Habari LEO ni mali ya Serikali ya chama, sasa siwezi kushangaaa kwa nini wasiandike habari hizo, wanatimiza wajibu walioambiwa ila wajuie wanachofanya si kizuri, kwani wote nazani wamesahau kuwa DUNIA Tunapita tu na Uzee upo tuuuu, wakumbuke mobutu mwisho wake ulivyokuwa.
  15. L

    Balali yuko HAI - He is not dead

    Msishangae kwa style hii, Viongozi wengi baada ya miaka minne inayokuja itakuwa kama balali tu...tutasikia wako nje then bye bye....(TUSIDANGANYIKE)
  16. L

    TUWE makini sana sasa, kwani Hata Uhalifu mitaani ukitokea, tutaambiwa CHADEMA hao.

    Jana usiku nilistuka sana wakati nilipokuwa naangalia kipindi cha habari caha usiku TBC 1, kuna habari moja ilikuwa ya kusikitisha ya mauaji iliyotekea Vunjo moshi. Wanahabari walielezea kwa Msisitizo kuwa yale mauaji ya familia ya Mwenyeketi wa kijiji waliochomwa moto ndani ya nyumba yalikuwa...
  17. L

    Maendeleo ya Tanzania kwasasa yanategemea huruma za Mungu tu!

    100% Ndugu yangu, yaani kukosa MUNGU SIJUI hata sisi tungekuwepo kwani baadhi ya viongozi wa nchi wamefikia hatua hata ya kukubali kuanzisha Project huku wakijua kuwa zina madahara kwa Wtanzania na Mazingira pia...
  18. L

    Kanisa Katoliki lagoma kuzika

    Source: HabariLeo, Majira ?....haya ni ya Serikari ya CCM au majira lilikuwa linamilikiwa na mbunge wa zamani wa CCM aliyefariki?...... HIYO ni propaganda TUUUUUUUUU
  19. L

    Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Iringa na wenzake wajiunga CCM

    HIvi hata mbele ya familia yake anaonekanaje?, Jamii inamfikiria vipi?.... Mtu mzima kufikia hatua hiyo ni mbaya sana
Back
Top Bottom