Pendo ningefurahi ukiniambia wanaume wa Dar ni akina nani kwanza kama nilivyouliza maana mimi sielewi? wake zetu wa mikoani huenda wanawapenda waume zenu wa Dar kwa sababu shughuli wako lege lege na wanawake wa Dar mnawafurahia kwa kuwa pia wao ni legelege ila sie wanaume wa Mikoani shughuli ni...
Pendo upo sahihi haipaswi kufikiria kijima ingawa pia ujima ni mfumo na ni hatua ambayo binadamu anaipitia, kwa mfano kwenye kufuata maji ujima au technolojia inaingiaje? kwa namna mwandishi alivyoandika nadhani mifano pengine ndiyo amekosea tu nadhani alitaka kutubeza au kuwabeza wanaume wa...
Nadhani ni technology advancement ndio inatofautisha kumbuka machinga wa barabarani ndio huja kuwa wenye maduka, hivyo kwa mchaga kubeba du sitegemei lakini kupalilia mgomba anapalilia kusafisha zizi la ng'ombe wa maziwa anafanya. Wajapan na wachina wanafanya sana kazi ila kwa kutumia advance...
Uko sahihi Pendo mke hapaswi kuwa bulldozer lakini pia hapaswi kuwa too laz, nadhani wengi tunakili kuwa Wachaga watafutaji na wanamafanikio sana lakini wote baba na mama wanahangaika, angalia huko kwenye wanawake mapambo juhudi za wanaume zao zinaweza kuwa kubwa lakini zikafifishwa na mwanamke.
Safuha upo sahihi kusini ni kusini ila yaweza kuwa kila sehemu ni kusini inategemea refferencing point ni ipi? Kuna kusini mwa Ikweta, Kusini mwa Dar, kusini mwa nchi ya Tanzania. Hata kama alimaanisha kusini mwa Tanzania ambayo ni Lindi na Mtwara nitakataa ila kama ni Nyanda za juu kusini (...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.