Search results

  1. M

    Sipendi Wakili wa Chadema kusimamia kesi ya anayedaiwa fisadi

    je kesho utasimama jukwaani kumtaja kwenye list ya mafisadi?
  2. M

    Sipendi Wakili wa Chadema kusimamia kesi ya anayedaiwa fisadi

    namaanisha wakili wa kujitegemea mpiganaji mkubwa katika chadema kuwa wakili wa mtu anayetuhumiwa kuwa fisadi papa? imekaaje,maana evidence zikija kuthibitisha katika hali ya kawaida lazima uzipige chini!!!
  3. M

    Sipendi Wakili wa Chadema kusimamia kesi ya anayedaiwa fisadi

    Jamani nisaidieni na hizi sheria zenu,inanisumbua akili sana kila kesi ya bwana mengi inapoitishwa,iko sawa sawa hii kimaslahi ya kisiasa?
  4. M

    Giza kila mahali

    Nilikuwa safarini kuja tukuyu,abiria akaniambia segerea wana siku ya pili hawana umeme,nimeingia hapa tukuyu ni giza totoro! Bahati nzuri nna simu ya kitochi.Nadhani nchi imefilisiwa,njiani wananchi wengi wanaishi nyumba za hali ya chini na sidhani kama wanajua kinachoendelea.nawahabarisha
  5. M

    Sera za ccm na jk zazidi kufa...shule la kata kufeli kwa 80% ni jubu kwa umma.

    labda mlimwambia JK tunauhaba wa housegirls majumbani......yote ni dalili za kufeli kwa JK,ntaandika kitabu ntakiita ''The rise and fall of JK''
  6. M

    "Watu wa Marekani'' kuchangia 7.5m ujenzi wa kituo UDSM inamaana ipi?

    kama mlisoma magazeti mwanzoni mwa wiki hii balozi wa Marekani aliwakilisha cheque ya 7.5m na kisha kuongeza ''za kwake'' 3m kufanya mchango ufikie 10.5m. Kwangu mimi natafsiri kwamba wahisani waliona mchango aliohidi kutoa waziri mkuu Mizengo Pinda wa 10m baada ya kuelezwa matatizo ya elimu na...
  7. M

    Tanzania inflation rises on food, fuel prices, heading to double digits?

    Tanga kwetu nimekupata! hali ilivyo ni mbaya sana bei ziko juu,mfumko wa bei (inflation) kwenye vyakula uko juu sana,kwa lugha rahisi bei ziko juu kuliko wanavyoreport inflation rate. Kumbuka walichakachua fomula ya kukokotoa inflation, walihama kutoka wanayoita wholesale price index (WPI)...
  8. M

    Mgogoro wa kikatiba Tanzania: Chanzo ni nini?

    Mgogoro wa kikatiba Tanzania: Chanzo ni nini? Makala ya Kiongozi wa Upinzani kwenye Baraza la Wawakilishi, Mhe. Abubakar Khamis Bakari Wah. Wazanzibari Wenzangu, Wake kwa Waume, Wah. Wageni Waalikwa, Wah. Salaam na Amani Ziwe Juu Yenu. Utangulizi Wahe. Wazanzibari; Mada mulionipa kuiongelea ni...
  9. M

    Prof Baregu; Namkosa katika mijadala ya kitaifa,yuko wapi?

    Ndugu wana jf nisaidieni kupata maoni ya prof Baregu kuhusu Katiba mpya,dowans,na mwelekeo wa kisiasa nchini kama alishatoa
  10. M

    kongamano la katiba UDSM Lahujumiwa

    Washapewa gahawa na kashata
  11. M

    Rais JK aendelea kuizunguka dunia;aenda Belgium na Misri!

    Kaanzia kwa Hosni ambaye pia anatuhumiwa kuchakachua kura!
  12. M

    Nimeshindwa, Nahama Chadema

    Karibu tupige dili bwana,makelele ya nini wakati ujanja kupata?
  13. M

    Eti hii ni ajira au laana?

    Ni laana tu.raisi anataka wananchi waamini biashara yoyote ni ajira.katika macroeconomic level hii si kweli,watu wengi wako katika vibiashara hata faida ya 1500 hawafikishi kwa siku,huyu mtu bado yuko kwenye umaskini mbaya sana na si sawa kuziita ajira zinazotambulika kitaifa.am sure zaidi ya...
  14. M

    Mizengo Pinda atangazwa kuwa Waziri Mkuu tena

    Kweli uchaguzi haukujali performance,sualaa si uadilifu pekee yake lazima mtu awe na proven track record ya kuleta mabadiliko katika mchakato mzima wa maendeleo,ndo maana watu walikuwa tayari kufumbia macho makosa aliyofanya magufuli kama anagepata hii nafasim
Back
Top Bottom