Search results

  1. C

    Marafiki wa Nape: Kwanini Nape hakutulia?

    M Ni kweli kabisa mkuu..
  2. C

    Magufuli kweli ni Rais wa wazawa!

    Hata mimi nawashangaa wanavyohaha kumsifia
  3. C

    Magufuli kweli ni Rais wa wazawa!

    "Kuendeleza wazawa ndiyo dili nzuri kisiasa" sijakuelewa hapo, siyo kwa maendeleo ya taifa na kuinua uchumi wa mtanzania? Kumbe ni kufanya mtaji wa kisiasa kwa ajili ya 2020..!! Poleni sana Lumumba.
  4. C

    Profesa Muhongo alivyoshiriki kupandisha bei ya umeme

    Nyie watu mnaotumikia serikali ya awamu hii mna shida kweli, hainingii akilini eti kushindwa kufanya kazi kwa weledi ni kwa sababu mnahujumiwa na magazeti. Kweli mwandishi wa gazeti ndo aisumbue serikali nzima ishindwe kufanya kazi kisa wakenya wanawahujumu.?? Kama mmeshindwa kufanya kazi...
  5. C

    Profesa Muhongo alivyoshiriki kupandisha bei ya umeme

    Leo limekuwa gazeti la Kenya!!!!! Mbona limesajiliwa tz, kama ni hivyo wangelifungia basi. Serikali haihujumiwi na mtu wa taasisi yoyote bali inajihujumu yenyewe. Viongozi wake wamejaa unafiki mwingi , uoga na hawapo huru kufanya maamuzi kwa mujibu wa mamlaka waliyopewa na sheria zinazongoza...
  6. C

    Rais Magufuli jifunze ustarabu wa Rais wa Zanzibar Shein, hotuba za Shein zimetulia

    Ni hotuba za kulalamika na kulipiza kisasi
  7. C

    Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam, Dr. Valentino Mokiwa avuliwa uaskofu

    Kuongoza kanisa si sawa na kuongoza nchi. Tunajisahau tunapoifanya kazi ya Mungu na kutaka kufananisha na kazi nyingine za kidunia. Kazi ya Mungu inabidi iheshimiwe kila kukicha na katika kuifanya hiyo kazi misingi ya ki Mungu inapaswa kuzingatiwa. Na isichanganywe na mamlaka nyingine za...
  8. C

    Mheshimiwa Rais, December daraja halikuisha na Mhandisi hajajinyonga...

    Kwani kutumbua ndo njia sahihi ya kutimiza ahadi na matamko yake yasiyotekelezeka??
  9. C

    Utani mwingine bana

    Hahahaha
  10. C

    Edward Ngoyai Lowasa ndie Mwanasiasa mwenye siasa safi

    Huyo mzee ni POLITICAL LEGEND wa tz
  11. C

    Vifuatavyo Ni Vipengele Vinavyoshindaniwa Jf Kwa Mwaka 2016.

    Mi najinominate kwenye tuzo no 10
  12. C

    Paul Makonda (RC), Naomba usikilize Kilio Changu juu ya Wanawake wa Dar es Salaam, Please

    Umenena mkuu..hata mimi haya mambo yananikera sana, hata sijui wanaume wenye hao wake wanajisikiaje kuwaruhusu wake zao kwenda kwenye hizo shughuli na kufanya hayo mambo ya ajabu!!
  13. C

    Sheddy Clever aeleza umataifa wake wa kumrekodi Ne-Yo na Diamond

    He upo Brazil mzee..umemkimbia magu
  14. C

    Wakuu naaomba kujua tabia za Wakinga

    Huu ni uchochezi wa kikabila..Kwanini tunachafuliana sifa nzuri za makabila yetu acheni hizo vijana..wivu wa maendeleo ni mbaya hasa kusingizia mtu tajiri kaupata kwa sababu ya uchawi !!!!!!!!
  15. C

    Tetesi: Fitina na majungu kwa Mh Rais Magufuli nikama mvuke 2020

    Unaanza kujitetea ili usikamatwe!?? Tangu lini na wewe unamsifia magufuli.
Back
Top Bottom