Search results

  1. K

    Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

    ACHA KAGAME ATUTOLEE HUYU J.K MAANA MIE NAONA NI DIKTETA ZAIDI ZAIDI NA MTU WA VISASI NA UPENDELEO KWA WATU WA DINI YAKE SANA.:embarrassed1:
  2. K

    Elections 2010 Vibweka vya Uchaguzi Igunga: Mabasi kukamatwa, masanduku kwa DC na mengineyo..

    Jamani wote ambao tunataka kupata uhuru kamili na sio huu wa bendera ,ni wakati sasa wa kutumia kila mbinu kuiondoa hili jinamizi la magamba[c.c.m] maana hawa watu wanalaana ya mungu na hata mwanzilishi wa c.cm j.k nyerere kawaachia laana tu.ndio maana leo hii wanatapatapa tu na mambo ya uzushi
  3. K

    Kwa nini CHADEAMA wanabwagwa na CUF kwenye midahalo?

    Unaweza kuwa mzuri katika midahalo lakini ukawa huwezi kutenda au kufanya kazi[delivering] kazi unazopaswa kuwatendea wale unaowaongoza,sasa tusifanye uamuzi katika suala moja tu la mdahalo tuangalie na vigezo vingine
  4. K

    Elections 2010 Igunga: Nani ataibuka kidedea kati ya hawa?

    HATA IGUNGA WAPIGE KURA ZA UDINI,KWANI JAMANI WAISLAM NI WANGAPI KUFANYA CDM ISHINDWE? NIELEWAVYO MIE SEHEMU ZOTE ZA UKANDA HUU WA ZIWA VICTORIA NA KATI  JAMII HII NYINGI NI WAKRISTO NA WAPAGANI,NA TENA NI WASUKUMA AMBAO WENGI WAO NI AFRICAN INLAND CHURCH[AIC,SDA NA R.C] NA WAPAGANI PIA...
  5. K

    Elections 2010 Igunga: Nani ataibuka kidedea kati ya hawa?

    Hata igunga wapige kura za udini,kwani jamani waislam ni wangapi kufanya cdm ishindwe? Nielewavyo mie sehemu zote za ukanda huu wa ziwa victoria na kati jamii hii nyingi ni wakristo na wapagani,na tena ni wasukuma ambao wengi wao ni african inland church[aic,sda na r.c] na wapagani pia ,hivyo...
  6. K

    CCM bado ina muda mrefu sana wa kuongoza, ni zaidi ya 2020

    Inaonekana jamaa kaandika kupima maoni na mtazamo wa wana jf,lakini kiukweli ccm 2015 chali,maana dalili zote za kansa iliyokomaa imejionyesha kabisaaa,angalia ufisadi ulivyokisiri hata shetani mwenyewe anashangaa jinsi jamaa walivyo na ujasiri wa dhambi hii
  7. K

    Elections 2010 Kikwete aapa kwa kutumia katiba

    hawa jamaa huwa ni wasanii sana wameona hali ilivyo na shutuma kuwa na udini ndio maana wanakwepa lakini pia kushika vitabu vitakatifu na umetenda dhambi yanaweza kukurudi
Back
Top Bottom