Search results

  1. ELITIBISI

    htc desire 687 tsh.280,000 TU

    Mpya or used? Picha tafadhari...
  2. ELITIBISI

    Nyumba ya kupanga natafuta KIMARA/UBUNGO/TABATA

    Wadau nisaidieni natafuta vyumba viwili ya kupanga (Chumba na sebule, chumba kikiwa master ni nzuri zaidi) iwe kwenye usalama zaidi mi nasafiri sana. naomba kuwakillisha, msaada wenu tafadhari.
  3. ELITIBISI

    Bungeni Live: Hitimisho la Bajeti jioni ya 22/06/2012

    sijui na sijaelewa PAYE ilikuwa ngap mpk imeshuka kuwa 14%? Nieleweshen tafadhari.
  4. ELITIBISI

    Pongezi kwako Vincent Nyerere!

    kwetu twamjua kwa jina la jembe! uliza ccm musoma watakwambia! sio maneno tu ni anatenda kazi yake vilivyo na ipaswavyo!
  5. ELITIBISI

    List ya recruitment agencies Tanzania

    Plz na mimi hapa eddiemisana@myself.com
  6. ELITIBISI

    Natafuta kibarua au kazi elimu yangu form 4

    nenda g4s pale karibu na moroco jtatu asbh ukiwa na vyeti vyako, cv, birth cert, barua ya utambulisho unaweza pata kazi mdogo wangu!
  7. ELITIBISI

    Mtoto huyo kavutwa kope na mwalimu(Adhabu!)

    Mungu na amtie nguvu kijana huyu,ni unyama mkubwa sana huu!
  8. ELITIBISI

    Bot and tra jobs

    Hivi wadau zile kazi zilizopitia hapa hapa jamvini za tra na bot vp walishaita wateule katika entreview? Nisaidieni majibu wadau!
  9. ELITIBISI

    MATOKEO ya Kidato cha Nne a mjadala wa kuboresha Kufaulu

    duh ni aibu kwa shule za sirikali sioni kilichofanyika IV na o tu!
  10. ELITIBISI

    Mafundi mzuri wa lori scania

    method 0655303670
  11. ELITIBISI

    Mafundi mzuri wa lori scania

    nenda temeke mwisho ccm muulizie askofu yuko safi sana nimefanya naye kazi mpk leo!
  12. ELITIBISI

    Job opportunity

    thanks a lot supa eng, i hv already send my application!
Back
Top Bottom