Baada ya kuona CHADEMA kimepata mafanikio haya najua kila mtu atajifanya mwanachama....MAFISADI wataingia kwa nguvu ndani ya CHADEMA kwani wanajua sasa RUZUKU ya Chama ni kubwa mno baada ya kuongeza majimbo kibao!!!!! Tutegemee migongano na mivurugano kama kawaida yetu ya kutanguliza MASLAHI...
Is better we become positive thinkers....CCM kushinda kwa asilimia 64 inaonyesha kukua kwa demokrasia ya vyama vingi....siyo lazima Upinzani ushinde kiti cha Urais ndiyo Uchaguzi uonekane huru na waHaki....afterall, CHADEMA kushinda kiti cha Urais mwaka huu is the last thing I would expect to...
Nasisitiza... CHADEMA walimtumia Dr. Slaa kuongeza idadi ya WABUNGE lakini sikuona maandalizi yoyote ya kumpa kiti cha Urais!!! Na siyo kweli kwamba CHADEMA ina wanachama wengi, kama umetafiti vizuri utagundua kwamba wana-CCM wamepigia kura wapinzani hasa Wabunge. Na hiyo imetokana na...
Ulishawahi kujiuliza, kama lengo la wanasiasa wa vyama mbalimbali ni kumuinua mwananchi mwenye hali duni....kwanini wao kwa wao wanagombana wakati lengo ni moja? Ukipata jibu utakuwa umefahamu endepo siku CCM ikitoka madarakani ndiyo mwisho wa shida zetu ama ndiyo mwanzo wa Ubepari Mpya....tafakari
I hope watu wanajua madhara ya kauli ya Dr. Slaa.... CUF walishindwa kuitawala Tanzania wakitokea Pemba, vivyohivyo CHADEMA hawatoitawala Tanzania kama wataendelea kujifungia Uchagani na kuishi katika ndoto na Fikra za MZEE MTEI. Ningependa kuona vyama vya upinzani vyenye sura ya kitaifa zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.