Search results

  1. Kansigo

    Urafiki na Rwanda vs Urafiki na Kenya upi una Manufaa Kwa Tanzania?

    Ulikuwa Ni ushamba sana kuitupa Kenya na DRC na kuikumbatia Rwanda
  2. Kansigo

    Yuko wapi yule "Mwanaharakati Huru", Cyprian Musiba?

    Jina jingine anajiita Mtoto wa Mkulima amekoma kabisa kutukana viongozi wastaafu kwenye vipeperushi vyake, ulinzi wake umeondoka bado haamini, tender za kutangaza matangazo ya serikali haipo tena, nadhani na ule ulinzi alowekewa na Mungu wake Jiwe umeondolewa
  3. Kansigo

    Urafiki na Rwanda vs Urafiki na Kenya upi una Manufaa Kwa Tanzania?

    Au ndo maana Li Kagame halikuja Wala kutuma mwakilishi kwenye Msiba wa JPM, bora tubaki na Wakenya wetu ....Big up Mama kuyarudisha mahusiano
  4. Kansigo

    Urafiki na Rwanda vs Urafiki na Kenya upi una Manufaa Kwa Tanzania?

    Kumekuwa na maneno na hofu kutoka kwa baadhi ya Watanzania hasa baada ya Raisi Samia kufanya juhudi za kuurejesha tena uhusiano na Kenya ambao ulidhoofika sana awamu ya Tano. Awamu ya Tano iliona Ni muhimu zaidi kuikumbatia Rwanda ya Kagame kuliko Kenya. Ikafikia wanyarwanda hadi wanakuwa...
  5. Kansigo

    Rais Samia ataenda tena kujitambulisha wapi? Sijasikia akizindua hata mradi mmoja

    UWANJA WA SOKA WA KISASA KUJENGWA CHATO... Serikali itajenga Uwanja wa soka wa kisasa katika eneo la Chato na utajulikana kama Chato Stadium. Waziri wa Nishati, Medard Kalemani amesema Uwanja huo utakuwa wa pili kwa ukubwa baada ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Kalemani amesema Uwanja...
  6. Kansigo

    Nini hatma ya miradi ya Chato?

    Nimenukuu Kama Ifuatavyo👇Na naulizia mchakato umefikia wapi kwa anayejua UWANJA WA SOKA WA KISASA KUJENGWA CHATO. Serikali itajenga Uwanja wa soka wa kisasa katika eneo la Chato na utajulikana kama Chato Stadium. Waziri wa Nishati, Medard Kalemani amesema Uwanja huo utakuwa wa pili kwa ukubwa...
  7. Kansigo

    Faida za kiuchumi za Uwanja wa Ndege Chato

    Tuzungumzie Umuhimu wa Chato International Airport Kwa Uchumi wa nchi yetu ya Tanzania
  8. Kansigo

    CHADEMA mtafakari kauli zenu

    Toba ni kitu muhimu sana
  9. Kansigo

    Kakobe alilofanya halina tofauti na masheikh wa uamsho

    Masikini kuni ya jehanamu! Eti yesu ni Mungu, mtabaki Afrika tu, wenzenu ulaya hawataki tena upuuzi Wa utatu
  10. Kansigo

    Maaskofu kuachwa kutamba wapendavyo, watu Wa imani nyingine tunajifunza nini?

    Kuna wawili wapo Bukoba, wawili wako Zanzibar, wawili wapo dar wamekuwa wakitoa matamko makali ya uchochezi na uvunjifu w Amani lakini wanatamba mitaani, hakuna Wa kuthubutu kuwagusa! Watu Wa imani nyingine tunajifunzanini katika hili??
  11. Kansigo

    Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Ukweli ndo huo! Kuna mfumo ambao unawapendelea maaskofu zaidi kuliko maimamu!
  12. Kansigo

    Baada ya utapeli wa kuponya vilema, UKIMWI na miujiza kudharaulika: what next kwa Manabii wa kiroho?

    nenda MOI Muhimbili kuwaombee waliovunjika miguu irudi kama mwanzo bila operation, otherwise utatokwa povu tu
  13. Kansigo

    Baada ya utapeli wa kuponya vilema, UKIMWI na miujiza kudharaulika: what next kwa Manabii wa kiroho?

    Hebu mgoogle victor kanyari utapata majibu mujarabu, usanii Wa level ya PhD
  14. Kansigo

    Mahakama yaigomea TRA kumhoji Manji

    Sizonje naye atalipwa kwa udhalimu wake na uonevu huu
Back
Top Bottom