Search results

  1. L

    Chami: Ipatie Viwanda Nchi Yetu

    hao wahisani wao wanaowaambia serikali haifanyi biashara wao wanafanya biashara kupitia wananchi wao. serikali yetu inapaswa kuwawezesha wananchi wetu kufanya biashara, kiwa kuwapa mitaji na knowhow
  2. L

    General Tyre: Is it a slow death to a once an East Africa Giant??

    "General Tyre imekufa, tusiwalaumu wakenya wala waganda, Viongozi wetu wamekosa uzalendo, kwa nchi kama Korea ya Kusini wakati wa uongozi wa Lee Park, viongozi kama Mary Nagu walikuwa wananyongwa au kupigwa risasi mbele ya raisi. Huku kwetu Mary Nagu anazidi kupanda chati na kukaa meza moja na...
  3. L

    General Tyre: Is it a slow death to a once an East Africa Giant??

    TISS is protecting those who are prosecuting Tanzania it is a shame-Go to Loliondo those the murderers of Tanzania (OBC) are protected by our own intelligence paid by our money. What a shame. JUAN it is not GENERAL TYRE ALONE-SERENGETI IS DYING AS A RESULT OF UNPROTECTED HUNTING IN LOLIONDO...
  4. L

    General Tyre: Is it a slow death to a once an East Africa Giant??

    "General Tyre imekufa, tusiwalaumu wakenya wala waganda, Viongozi wetu wamekosa uzalendo, kwa nchi kama Korea ya Kusini wakati wa uongozi wa Lee Park, viongozi kama Mary Nagu walikuwa wananyongwa au kupigwa risasi mbele ya raisi. Huku kwetu Mary Nagu anazidi kupanda chati na kukaa meza moja na...
  5. L

    Elections 2010 Jk maendeleo ya tanzania kwa miaka yako kumi yanapimika kwa kauli hii?

    Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM wakati wa kampeni zake aliwahi kusema maneno haya baada ya kuulizwa swali na mtanzania mmoja Je Mheshimiwa JK watanzania wakukumbuke kwa lipi katika uongozi wako uliopita na ujao kama utashinda? Jibu la JK lilikuwa kama ifuatavyo "WATANZANIA WANIKUMBUKE KWA...
  6. L

    Airtel bomu--tena haswaa....

    " Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza" kumbuka hii kitu ilizinduliwa na Kikwete Bomu na ni ya wahindi mmesahau ya TRL na bado
  7. L

    Deni la Taifa; Kila Mtanzania anadaiwa 332,000/- na litaongezeka kwa 54,000/= 2011

    Tunajua kwamba serikali inaingia katika madeni kwa kujitakia? Si kwamba serikali haijui kwamba ni makosa kukopa bila ya kuwa na mkakati ambao mkopo huo utatumika kuongeza uzalishaji, ajira, uwekezaji wa ndani ambapo serikali itaongeza ile Tax base yake ili kupata fedha zaidi za kulipa madeni na...
  8. L

    Rais wa Tanzania kwenye uzinduzi wa Airtel

    " Faraja ya Mwekere iwe ni ongezeko la pato la kaya kwa watanzania kwa asilimia hamsini na si yale ya matumizi ya simu". Pamoja na mawasiliano kuwa muhimu tujiulize ni kiasi gani cha fedha kinachotengenezwa kwa watu kuwasiliana kwa maana ya kodi kinachokwenda kurekebisha maisha ya mtanzania...
  9. L

    Rais wa Tanzania kwenye uzinduzi wa Airtel

    Nani kasema hatufanyi kazi? Unajua kila anachofanya mwanajamii forum? Tukuulize wewe **** je lipi zuri alilofanya JK katika uzinduzi wa airtel? Rais makini hawezi kujishughulisha na mambo madogo kama hayo ana Makatibu wakuu wa wizara husika kwa nini wasifanye hilo kwa niaba yake? Labda ni...
  10. L

    Rais wa Tanzania kwenye uzinduzi wa Airtel

    Tunachokuomba Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kuwaeleza wawekezaji hususani Airtel walipe kodi na uwepo wako katika uzinduzi haina maana ya kwamba umefungulia mlango wa makampuni hayo kutokulipa kodi. Ninaomba vivile uwe mkali kwa wawekezaji ambao wanakuja kwa lengo la...
  11. L

    Je dr Batilda Buriani ataiweza Dar?

    Sababu zitakazofanya Batilda apewe nafasi ya URC Dar ni kwamba Mwana mama huyu yupo katika hali mbaya kifedha kutokana na mchakato wa kura za jimbo la Arusha. Madeni aliyonayo hayalipiki mwanangu. Si Masha, Diallo, Shamsa, Msola, Kimiti, Mzindakaya, Chiligati, wala Khatibu walio na shida...
  12. L

    Je dr Batilda Buriani ataiweza Dar?

    Unapaswa kuelewa kwamba CCM na Serikali yake haiangalii uwezo wa mtu katika utendaji bali kinachoangaliwa ni MASLAHI yagawanywe namna gani ndani ya wenye chama na serikali. Batilda ni mtu wa karibu kwa vigogo wengi wakubwa ndani na nje ya serikali ya sasa hivyo basi hatutashangaa endapo atapewa...
  13. L

    Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

    Zitto alishakuwa COOPTED na walanchi unategemea nini? Kesha poteza umaarufu siku njingi lakini pesa anazo. Jambo ambalo watu wengei wanashindwa kujua ni kwamba 'unaweza tu kuwa maarufu na kuheshimika pale unaposimamia haki na kujitenga na jambo lolote linaloweza kutia mashaka kwamba wewe ni...
  14. L

    REVEALED: Degree ya Waziri William Lukuvi ni feki!

    Ni kweli kaka wengi wa mawaziri wetu 2010-2015 ni madodoki tu hawana jipya. Jambo la kujivunia kwa baraza hili la mawaziri ni kwamba litatoa nguvu wa watu kuleta mabadiliko 2015. "Ukila na Kipofu Usimguse Mkono"
  15. L

    Elections 2010 Huyu ndio Raisi wetu akiwa Ikulu

    Ntemi, Kuunga mkono rais anayekejeli watu na kufurahia mateso ya watu wake ni jambo baya na lisilo na utu. Tujaribu kuwa na ruhuma na watu wetu ambao uwezo wao wa kuchambua na kufanya maamuzi ya kuwasaidia ni madogo. T-shirt na Kanga kwao ndicho walichoona cha kuwasaidia kwa Kikwete pia anajua...
  16. L

    Akina mama oyeeeeeeee!

    Haya Mambo ya Akina Mama na Uongozi wa Nchi yetu yaanagalieni kwa Umakini! Kuna mambo mengi nyuma yake. Huwezi jua raha za watu hizo?
  17. L

    Anne Semamba Makinda's Profile!

    Miaka minne chuoni badala ya mitatu.....hayo ni mambo ya supplementary na kurudia mwaka...tuachane nayo! Cha msingi atatenda haki bungeni? Taifa letu kupitia serikali yake lipo icu. Bunge ndilo linaloweza kulitoa icu kwa tiba kupitia serikali na hatimaye kulirudishia taifa letu afya na heshima...
  18. L

    Congratulatory message from eu president to kikwete

    "akukunaye mgongo anataka naye siku moja umkune mgongo wake" je pongezi hizo zinaifanya tanzania kuwa nchi ya kidemokrasia kwa mtazamo huo?
  19. L

    Regional integration where is it taking us

    JF members do you know the reasons behind fast tracking of regional integration across the world; EU, USA, ASIA, AFRICA (EAC, ECOWAS, SADC, COMESA)? Preparation for a single world government Single world Currency Then a number of nasty things will happen to the world; nations loosing their...
  20. L

    Germany Will Become Islamic State, Says Chancellor Merkel.

    "You made others your slaves, it is your turn to be slaves" You ruled over others it is you time to be ruled over" " you colonized others it your time to be colonized" You despised other it time for you to be despised" There is nothing new under the sun thinks keep on repeating themselves at...
Back
Top Bottom