Search results

  1. W

    Biashara hizi 15 zitakutoa 2021

    hahaha...!! hii nimeipenda sana, najiona hii naweza kuifanya.
  2. W

    Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

    sasa hapa hakuna ss hakuna chdm wote yametukuta.
  3. W

    Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

    hahaha.. tuko wengi.. pole sana wanamwaga ugali tunamwaga mboga. tukose wote.
  4. W

    Uchaguzi 2020 TCRA, hamuwaoni TBC wanavyopiga kampeni wazi siku ya Uchaguzi?

    yani hata kama anataka kuhubiri hadi asubh. kama walikuwa wataka wangefunga tu na chaneli zote. ibaki hiyo tbisi na chn10 hewani labda ndo tungesumbuka. by the way mwambieni anapoteza muda tumeshamilizana.
  5. W

    Uchaguzi 2020 TCRA, hamuwaoni TBC wanavyopiga kampeni wazi siku ya Uchaguzi?

    Kama kuna kete ccm wamekosea ni hapa hata kura yangu imehama asubh hii hii sababu ya hii mambo. potelea mbali.
  6. W

    Uchaguzi 2020 Nimebadili maamuzi, wacha watuone wajinga tu ila na mimi kesho naenda Kupiga Kura

    ...mkawaambie wajifunze ukimwaga mboga (na sisi tunabakuli la ugali) na sisi tunamwaga ugali.
  7. W

    Uchaguzi 2020 Nimebadili maamuzi, wacha watuone wajinga tu ila na mimi kesho naenda Kupiga Kura

    huu nao ni uongo...!! Mwenzangu unamtandao huko maana mimi nashindwa hata kupost biashara zangu na sijui hali hii ni hadi lini. Tena ndo unazidi kunitia hasira ngoja, ndo nakaribia kituoni. ntatoa hukumu yangu potelea pote!
  8. W

    Uchaguzi 2020 Nimebadili maamuzi, wacha watuone wajinga tu ila na mimi kesho naenda Kupiga Kura

    Waambie kwanza nduguzako wafungulie mitandao alafu tutakupa kura.
  9. W

    Uchaguzi 2020 Nimebadili maamuzi, wacha watuone wajinga tu ila na mimi kesho naenda Kupiga Kura

    hata mimi naenda sikuwa na mpango wakwenda lakisasa nakwenda sikubali
  10. W

    Uchaguzi 2020 Nilikuwa siamini, sasa nimeamini uchaguzi huu ni muhimu sana

    Sikuwa na mpango wakwenda kupiga kura leo lakini kwa hili walilifanya sisim. sasa nakwenda kupiga kura na ninajua ntakapoipeleka. Sikuwa na mpango wa kwenda kupiga kura leo lakini kwa hili walilofanya sisim. sasa nakwenda kupiga kura na ninajua kura nitakapo ipeleka. mambo gani haya?
  11. W

    CCM wameanza kuisoma namba kabla ya UKAWA

    Nakwakusema hivi inaonyesha UKAWA mmemkubali Dr.Magufuli
  12. W

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Lingine nimesahau utawala bora
  13. W

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Kama ungepata nafasi ya kushauri serikali ya awamu ya5. Katika eneo la 1.Kuinua kipato cha wananchi 2.Elimu 3.Ajira 4.Afya 5.Usafiri 6.Michezo 7.Kilimo 8.Rasilimali (Dhahabu, Almasi gesi n.k) 9.Ulinzi na Usalama. Au lolote ambalo unadhani litasababisha kututoa Tanzania na wananchi wake wote kwa...
  14. W

    Watanzania tunamsifia Magufuli kwa kuvamia maofisini?

    Lakini hebu tujadili kidogo kunamadharagani kama hakutakuwa na manaibu mawaziri??
  15. W

    Wizara nane kufutwa, nyingine kuunganishwa

    Wizara ya nini na nini na nini??
Back
Top Bottom