Search results

  1. T

    KADI ZA CCM zACHOMWA MOTO UDOM

    Kuchoma moto ni kuonyesha hisia...........na bado! Ninawashangaa wabunge wengine wa ccm wanaimba amani eti amani ilindwe! amani ilindwe na mtu mwenye njaa......amabaye hajui jioni anakula nini!! wanaotaka amani ni wale ambao wanakitu cha kulindwa, wanamali walizowaibia wananchi! hivyo wanaogopa...
  2. T

    Sifa na tabia za wameru

    Mambo mnayokandia juu ya wameru si ya kweli..........mbona msiseme ni wachapa kazi wazuri? kwa taarifa hakuna watu/kabila linafanya kazi na kujituma kama wameru. Kingine ninachoweza kusema hakuna binadamu au kabila ambalo halina makasoro yaani hakuna aliyekamilika..........hata biblia (sijasoma...
  3. T

    Jenerali Ulimwengu amfananisha Pinda na mbwa wa PAVLOV

    Bwana Pinda asitudanganye yeye ni mtoto wa mkulima.......hivyo anatetea wanyonge.......hata kidogo! Watumisi wa serikali na Wabunge ambao wanaona mshahara hautoshi waachie hizo nafasi kwani kuna wengine wengi wako tayari kuzifanya bila ya kulipwa hizo posho!!
  4. T

    Mrema awaponda CHADEMA live Bungeni

    Hana jipya......njaa ndiyo inamsumbua, bado kitambo kidogo atarudi chama cha mafisadi - CCM, sisi watanzania tttadai haki zetu mpaka kieleweke........serekali hii haina huruma na watanzania, wanaangaliana wao tu, Mungu aliweka utajiri wa nchi hii kwa ajili ya watanzania wote nas si kwa ajili ya...
  5. T

    Wabunge Nyota!

    yote tisa Tindu lisu mi ananimaliza bwana, Mambo yake mazito hayawezekaniki kabisa!!!!!!!!!!!!!!
  6. T

    Meya Arusha

    hata mimi niliona jamani ilikuwa mbaya sana. sijui kwanni diwani wetu mzuri hivyo anakubali kudhalilika namna hiyo na wakati alikuwa anakubalika kwenye jamii sana tuna. shida inakuja baada ya kuchakachuliwa tu ninaimani angepata kialali umeya leo hii angefurahia kiti chake. ingekuwa vipi...
  7. T

    Meya Arusha

    Namsikitikia na kumuonea sana huruma bwana gaudens Lyimo..........hata mimi jana kwenye uwanja wa stadium arusha nilishuhudia alivyodhalilika.......baada ya watu wote meza kuu kutambulishwa na yeye akiwa meza hiyohiyo akaachwa.......ni aibu kwani Meya ni mtu mkubwa sana ndani ya manispaa. hili...
  8. T

    CHADEMA, anzisheni TV/Radio Station!

    TV, Radio na magazeti ya chadema ni muhimu.........tuko tayari kuchanga.
  9. T

    Kwanini CCM wengi mazuzu

    Bunge la jumamosi wk iliyopita kwenye kupitisha vifungo vya mswada wa Sheria ya mahakama ndipo niligundua wabunge wa ccm si watetezi wa wananchi ila ni watetezi wa chama chao na maslahi yao. Hata samwel sita naye alikuwa kwenye mkombo huo huo. Jemedari/mwanasheria kijana Tundu lisu mwenye...
  10. T

    JamiiForums Issues an Official Responce to CCM allegations: (Press Release)

    Mswada wa katiba mpya umeonekana una mapungufu makubwa baada ya wadau na washiriki kusema aliyeandaa mswada huwo hajui alichokuwa ana kifanya!! swali langu; huo mswada ulifikaje bungen kabla ya kupita kwa Mwanasheria mkuu na waziri wa sheria na baadaye kwa rais? haiwezekani wate hawa 3...
  11. T

    Tamko la waislam wa Tanga

    Hawa wametumwa si utashi wao...........Mungu awasaidie.
  12. T

    Godbless Lema ni mwanasiasa anayejiamini mno

    Wakina Godbless Lema tuko wengi........wengine tumenyamaza tu, siku tukianza hapatakalika hata hapo ulipokalia!! Viongozi wako mafisadi ndo wamefikisha taifa hapa lilipo....(nahisi hata wewe ni fisadi!!). Sasa kwa taarifa yako na mafisadi wenzako msiposoma alama za nyakati na mkazielewa basi...
  13. T

    Katiba Mpya chini ya saa 100!

    Kikwete ni jinsi gani unavyowadharau Watanzania........eti kwa kuwa wanataka katiba mpya basi umekubali kuwaridhisha unafanya unavyotaka ili mradi katiba mpya imepatikana hata kama haina maslahi kwa wa -TZ........hapo umepotea njia my friend, wa -TZ wanataka katiba kwa ajili ya maslahi yao na si...
  14. T

    Katiba Mpya chini ya saa 100!

    Ni bora tukutane na mabomu ya kutoa damu tukaokoa nchi yetu kwa ajili ya watoto na wajukuu wetu kuliko kuogopa hayo mabomu na watoto wetu wakaja kuendelea kuteseka na kufanywa watumwa ndani ya nchi yao............unafikiri hao waliyopigwa risasi na mabomu huko tunisi, misri, libya na ivory coast...
  15. T

    Katiba Mpya chini ya saa 100!

    Tatizo la viongozi wengi wa Kiafrika hawajui kusoma alama za nyakati na kama wanajua basi madaraka yanawalevia mpaka wanapoteza fahamu stahili!! angalia bwana gBagbo alivyobembelezwa aachie Ikulu akakataa.....mpatanishi Raila Odinga alimshauri aaichie Ikulu apate hifadhi halali na hifadhi ya...
  16. T

    Uhuru Kenyatta, Muthaura, Hussein Ally ndani ya ICC WAKISHTAKIWA KWA MAUAJI

    Tunaomba kesi iendelee huko huko the hague ili liwe fundisho kwa viongozi wa Africa..........kesi hizi zikiletwa kenya hakuna haki itatendeka kwani hawa jamaa wana hela balaa!! Nawashangaa baadhi ya wakenya wanalilia watu sita (wauwaji) ambao wako hai badala ya kulilia watu zaidi ya 1000...
  17. T

    Super shafti imechemsha, NIFANYEJE?!

    Nenda Samunge Babu akakupe kikombe......anasema ukishameza dawa unakuwa mwanaume sawasawa!!
  18. T

    Nilichosikia kongamano la kiisilamu arusha

    Viongozi wa waislamu wametekwa na CCM.......na sasa wanataka kuwabadilisha waislamu wenye nia njema ya kudai mabadiliko, Katika jina la Yesu Kristo hawatafanikiwa.........Mungu wetu yu HAI na Kusudio lake litasimama milele.
  19. T

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Gadafi siku zake zinahesabika.......haikubaliki na haitakubalika kuuwa walibya na silaha za kivita ambazo zimenunuliwa na kodi za walibya! Huu ni ushetani mkubwa! Libya ni ya walibya na si ya gadafi na familia yake..........hakuna marefu yasiyokuwa na ncha! Hili ni pigo moja bado mapigo kadhaaa...
  20. T

    Mtanganyika wa kwanza kuhutubia UN

    Mtanzania wa kwanza UN ni marehemu krilo J Ayo........sasa hivi ni marehemu.
Back
Top Bottom