Search results

  1. D

    Natafuta kijana wa kazi kutoka Kigoma

    Habari za leo wadau. Natafuta kijana wa kulinda mji na kuweka msafi wakati wote kutoka kigoma. Awe; 1. MUAMINIFU, 2. mcha MUNGU 3. MKWELI na 4. MCHAPA KAZI KWELIKWELI Mshara ni Tzs 100,000/= kwa mwezi. Atatumiwa nauli ya kutoka huko kija huku. Naomba anitafute kwa namba hizi 0787998926...
  2. D

    Fundi mzuri wa kupiga plasta nyumba ya gorofa

    Wadau, natafuta fundi mzuri sana wa kiwango kwa ajili ya kupiga plasta. Site iko Kigamboni, Dar es Salaam. Please, weka namba hapa Asanteni.
  3. D

    Career opportunity at equity bank tanzania

    Equity Bank is the region’s leading Bank whose purpose is to transform the lives and livelihoods of the people of Africa socially and economically by availing them modern, inclusive financial services that maximize their opportunities. With a strong foot print in Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda...
  4. D

    KIWANJA TEGETA MADALE -MBOPO

    Nauza kiwanja maeneno ya Tegeta Madale- Mbopo cha ukubwa wa 40*40. Hakijapimwa, ila nyaraka za serikali ya mtaa zipo. Bei 18Million, maongezi yapo kidogo. Karibuni.
  5. D

    Karibu Kigamboni Mpya

    vyumba viwili tu, kimoja kiwe self contained, iwe iko kwenye uzio wake (stand alone), maji, umeme viwepo pia.
  6. D

    Karibu Kigamboni Mpya

    Mambo vipi mkuu?? kisota napata nyumba??
  7. D

    Nauza viatu vya culture

    kaka namba za simu basi uwe unaweka.. nahitaji ndala hizo leo leo
  8. D

    Rest In Peace Mr Baguma of JB Belmont

    Habari za kuaminika zilitufikia hivi punde ni kwamba mmiliki wa hoteli ya JB Belmonte, Ambassador Club, Savannah Lounge, maduka ya kutosha pale quality centre na kumbi za mikutano, bwana Justus Baguma (JB) amefariki dunia. May he Rest In Peace
  9. D

    Kenya declares war on Al Shabaab!

    Wadau...hali c hali huku....... Baada ya Kenya kuzindu Operation ya "LINDA NCHI" inayolenga kuwadhibiti Al Shabab kutoingia Kenya na Kuondoa utekaji nyara wa watalii huko mombasa na u-pirate pia,hali imekuwa c hali....mpaka jana milipuko mitatu imetokea ndan ya nrb,maeneo ya OTC na Mfangano...
  10. D

    Mfanyabiasha Mzamir afanyiwa kitu mbaya Uchina

    Mbona hiyo siku nyingi sana....nadhani toka January mambo yalikuwa yashaharibika.
  11. D

    What is it that we want in banking sector?

    Ni matumaini yangu kuwa wote tumesikia ujio wa hii Benki ya Equity,what are your views guys,mngependa watuletee nini kuboresha mfumo mzima wa benki TZ?nasikia Kenya wanafanya poa sana,having more than 6mil.customers. What i want to c is, 1.good customer service 2.low intrst rates 3.network...
  12. D

    Equity bank tanzania limited

    Equity Bank one of the most successful banks in Africa,currently operating in Rwanda,Uganda,South Sudan with its headquarters in Nairobi,Kenya is soon expected to expand its services in Tanzania,mainly:Dar,Mwanza and Arusha. We are looking to recruit on the following position: Branch Growth and...
  13. D

    Jeshi lilijua kuwa mabomu yangelipuka...?

    Habari za kuaminika ni kwamba, wanajeshi wa kambi ya Gongo la Mboto walitambua kuwa mabomu hayo yangelipuka hours before the action started, and wat they did ni kuhamisha familia na ndugu zao na kutoa taarifa kwa marafiki zao wachache (mmoja akiwa huyu aliyenipa taarifa hz, jina nalihifadhi) :mad:
  14. D

    Kauli ya Rais Kikwete juu ya milipuko ya Mabomu Gongo la Mboto

    Jamaa mi nahc c mzima wa akili,we huwez ukawa una-addres such a tragedy issue at the same time putn on a smiley face..anakuwa ka sh***aaa!
  15. D

    Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

    Kamanda wa polisi,Kova ametoa tamko juu ya mabomu yaliyolipuka gongo la mboto,na kusema ni ajali 2,na uchunguz unaendelea kufanyika!wa2 wa2lie majumban mwao
  16. D

    Iran hali si shwari

    Protests have begun 2take place in the capital of Irah,Tehran!atleast 1person has been killed and many injured..ths comes after the saga of Tunisia and Egypt,where their leader have bn overthrown by the "nguvu ya uma"...
  17. D

    Movie ya Shoga aliyecheza Tino

    True dat,it's ur right too!and no1 is forcing u 2accept them,wat am sayin is;2mekuwa 2nalifumbia macho kama vle halipo hli swala!2tambue,2kubali kama lipo,na TUKEMEE pia!
  18. D

    Movie ya Shoga aliyecheza Tino

    True dat,bt i wnt 2attract their attention
  19. D

    Movie ya Shoga aliyecheza Tino

    Mmeichek movie ya shoga ya Tino? Jamaa nampa big up sana, kwa kuwa kuna wanaume wachache wenye UTHUBUTU kama Tino, na GUTS pia!! It's hgh time we talk abt these things! Tusijifanye kwamba haya mambo hayapo! Bg up Tino!
Back
Top Bottom