Hapana hapana Dr. Slaa alisema matokeo ya Rais ndio yenye matatizo na msimo wa chama Mbowe alisema hawayatambui.
Wabunge hawakuzungumziwa sio kimakosa bali kisheria zaidi, nadhani kuna hoja ya msingi hapa wabunge wetu wasipo sikiliza hotuba ya Mkwere wata ruhusiwa kuijadili? Hapo sina uhakika...
brooklyn
Acha polojo mtazamo wangu uko pelepale haijarishi alindika lini walaka huu kwa mara yakwanza. ukifanya kosa basi uendelee kufanya tena kwasababu una rudia? basi lako sipandi
@kereng'ende
:nono: Hili la uraia haliwezi kumfanya mtu aandike hivi ama sivyo nadhani ange kaa kimya kabisa.Kuna kitu kinacho msukuma kwenye nafsi yake na ndicho anacho taka kukitimiza.
Barua zanamna hii zinahitaji kuandikwa kwa watu wenye uwezo wakutafsiri fasihi simlizi vizuri vinginevyo sina uhakika aliye andikiwa barua hii na rafiki yake kama anamuda wa kuisoma na kuchukua maudhui yake nakuyaweka katika picha halisi.pia siamini kama ulimwengu analengo lakuleta mabadiriko...
Pascal,
Kama mtanzania wakweli hakika unajua kuwa uchaguzi umechezewa, hata kama hujafanya utafiti wakina utajua kuwa rais wa Tanzania mwaka huu haja ingia ikuru alie ingia ikuru anajua ameingia kwanjia gani.
Hivyo usitegemee Dr. Slaa anaye wakirisha watanzania ata hudhuria kutangazwa au...
Haya mambo yakulewa na sifa yamewaponza watu wengi sana akiwemo christopher mwana wa Mtikila, wakati wa vuguvugu lamagezi mwaka 1992 mtikila aliamsha watanzania na wakaamka kwakiasi chake.Baada yakuona anawafuasi tena wanao mbeba mabegani wakati wamikutano yake akalewa sifa akanza matusi sasa...
Unasema viongozi CDM wamekaa kimya? sijaelewa kabisa unamaanisha nini! unadahani inchi hii itakombolewa kwa kupiga kelele? tunahitaji mikakati madhubuti yenye mwelekeo wa kujenga na kukomboa taifa.Unadhani lyatomga kilimshinda nini pamoja nakuwa nawafuasi wengi kama chaema ya leo kwaidadi sio...
sidhani kama nibusara kuzungumuzia Chadema kuunda kambi ya upinzani wa kishirikiana na cuf,Chadema nichama makini cuf wamechanganyikiwa sidhani kama wazima kama kweli ni wazima basi wa subiri bosi wao mkwere atakapo tangaza baraza la mawaziri kama atawakumbuka akiwatosa hayo yatakuwa...
Hapa hakuna chakujadili wizi umeshafanyika kilamtu anajua hata aliye iba anajua kuwa tulio ibiwa tunajua, sasa tuambizane tunaanzia wapi natuna fanyanini? je tunakubali kutawaliwa na wezi? hiyo hapana hapana lazima tupambane
Wana JF naanza kwakushanga! halafu najiuliza hivi nikweli kiongozi mkuu wadini anaweza akateta na waumini akimtetea shetani? hakika shetani anaweza akawa amemtetea makuu mtu huyu hadi akamsahau mungu! Je waweza kuahidiwa mkuu na wezi na ukawasaliti watu wako kwakufichama chini ya mwavuli unao...
Kwaufupi CUF wanatambua process yote ya uchaguzi na kuapishwa mporaji kuwa prezida kamandivyo hivyo nilivyo wasoma nao nawa weka kwenye kapu moja na wachakachuaji wa demoklasia katika nchi hii haijarishi wamesema nini lakini kitendo cha kukumbatiana na mharifu ni ishara tosha kuwa na wewe nimharifu
Kama unahisi unamawazo mgando usijaribu kujadiri mada yoyote kabla ya kujadiri namnagani utajitoa kwenye tatizo lako lamsingi ulilonalo la kifikra.watu wanajadiri mambo mhimu wewe unazungumza habari za gharama? achana na gharama za kifedha (monentary cost) katika wizi huu ulio tukuta kuna suala...
Hatuhitaji kuongea tunahitaji kutekeleza, saa ya ukombozi ni sasa hatuwezi kukubali nchi yenye watu zaidi ya milioni 40 iamuliwe mambo yao na kikundi cha watu wasiozidi milioni 1.
Mabadiriko ya katiba ni lazima angalia uchafu unao jitokeza kwenye katiba ya jamhuri haitambui serikali ya umoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.