Search results

  1. N

    Maswali ya papo kwa pao kwa waziri Mkuu

    wazp zuri sana. naamini mod atalifanyia kazi
  2. N

    RAIA MWEMA: Vigogo wajipa ardhi kwa fujo nchi nzima

    Hapo kwenyeRED color, wanatoa sababu gani, hebu tujuze ili tujue namna ya kuwabana
  3. N

    Vidonda vinamyima raha hata ya mapenzi

    Pole sana wewe unayesumbuliwa n huo ugonjwa. Mi naona ungemuona jamaa mmoja anayetwaDr. Isaac Ndodi, ni bingwa wa kutumia daw za asili kama matunda na mbogamboga. Amewasaidia wengi sana na huwa anakuja Mwanza. Unaweza kuwapigia Startv wakakuelekeza vizuri ratiba yake. Naamini ukimuona ukiwa na...
  4. N

    Mazao gani yanafaa kwa kilimo chalinze?

    Nmeshukuu sana kwa huo ufafanuzi. nana wewe una utaalamu wa kilimo. mimi pia ina eneo maeneo ya Kimbiji, ukipita kigamboni. mpaka sasa sijajua nilime nini. eneo lina unyevunyevu wa kutosha na kuna udongo wa mchangamchanga. natanguliza shukurani wana JF . vilevile sijajua misimu ya kulima.
  5. N

    Kuhatarisha usalama wa Taifa? Give me a Break!

    Habari hizi ni nzuri sana. nakushauri wewe mwenye wazo la kutafuta hiyo kazi nitafute nikufanyie assessment, huenda ukapata kama ukionekana unafaa.
Back
Top Bottom