Wakubwa tuna changamoto kubwa ya kupata wadhamini wa timu yetu ya mpira daraja la kwanza (Champions). Aidha waliotangulia kwenye mpira hawakuwa watu sahihi na wamevuruga hali ya hewa kiasi kwamba mpira kwa sasa unaonekana ni ligi kuu tu. Tunatokaje hapa maana kwa kweli khali ni ngumu na kuuza...
Mamaanaupiga mwingi mnooo na mtashangaa TZN itarudi pale ilipostahili kuwa miaka kadhaa iliyopita. Nchi inaongozwa kwa misingi na huwezi kuishi kama kisiwa kwenye dunia ya leo, lazima uwe na ushirikiano na wadogo na wakubwa. Uwekezaji mkubwa unaofanyika sasa tutaanza kuona matunda yake mwaka huu...
Lini serikali itakuja na mfumo wa kupokea taarifa kutoka kwa raia wema na kuzitolea ufafanuzi. Yapo mashirika ambayo yamefanya utaratibu huu na kwa asilimia nzuri matatizo mengi yanayofika kwa njia ya wazi yanafanyiwa kazi.
Kwa mambo kama haya ambayo kimsingi yanaikosesha serikali fedha...
Hapa kuna barabara ambalo kimsingi linahudumia watu wengi, na kwa wengi sana limekuwa ni msaada mkubwa kwa kuwawezesha watu kufika Buhongwa bila ya ulazima wa kupita mjini kati.
Siku za hivi karibuni linatumika sana hata na magari makubwa na ukweli ni kwamba litakuwa ni msaada mkubwa sana...
Hakuna aliyekamilika chini ya Jua. Kwa kweli mimi naona Mama anafanya vizuri na kazi zinaonekana kufanyika bila kelele nyingiiii.. swala la machinga limefanyika vizuri sana bila kelele, washirika wetu wa maendeleo wamerudi na tunaona miradi ikitekelezwa kama ilivyopangwa. Ukweli usemwe na...
Mimi nadhani asiangalie Morogoro tu bali aangalie nchi nzima. Kama tukiweza kufufua hata nusu tu ya haya yaliyofungwa amini ukusanyaji wa kodi utakuwa mara dufu maana ajira zitakazo zalishwa sio tu za viwandani bali hata sekta ya kilimo na usafirishaji itakuwa kwa kasi kubwa.
Kizuri ni kwamba...
Hili nalo liliishia wapi, nilimsikia waziri wa tmisemi majuzi aliiongelea barabara kutoka buhongwa, kishiri, igoma. Serikali ifanye kweli mambo yamewiva,
Kuruhusu chama kimoja kufanya siasa wakati vingine vimezuiwa na mwisho kuchangia pakubwa kuvuruga chaguzi serikali za mitaa na zinginezo kwa kuwahogofya wakurugenzi na watendaji wengine
Wakati ikulu ilikuwa inatumika kwa ajili ya vikao vya chama mlikuwa wapi. Tunaomba msitupangie. Mpo wengi sana lakini juhudi zenu ongezeni kiduchu angalau hata msikike kitaa maana mmechoka hamjaanza hata kazi mliyotumwa
Hizi chuki mnazojaribu kupandikiza na chochezi za kitoto mtashindwa tu. Mnachelewa sana kujua Tanzania ina rais wa kwanza jinsia ambayo hamkuizoea. Kazi zitaenda na kwa taarifa zenu hizi zama ni bora kuliko zote zilizowahi kuwepo. Mnajipitisha sana kwenye mitandao mkitafuta wafuasi mtajiju wenyewe..
Rais mama Samia will do much better, anatengeneza team ambayo atafanya nao kazi kwa pamoja. Hii unayoona ametangaza ni kuwa muwazi tu. Ina maana asingelisema wewe ungejuaje. Tujifunze kutofautisha na kuheshimu mamlaka. Mama atafanya vizuri zaidi maana hata huko unapopasifia naye alikuwa sehemu...
mkuu hii inaweza kuwa tafsiri yako. najua rais ana timu kubwa sana na wapo watafanya tafsiri sahihi ambazo ndo zitafanyiwa kazi. jamani tumpe ushirikiano 100%
Mkuu heshima yako, ila kwa uliyoyaona wewe umeyaona. Tuliyoyaona sisi nasi tumeona, tofauti zinaweza kuwa ni ndogo au kubwa lakini zipo. Jinsi yakuzielezea tutatofautiana. Ila kwa sasa na kwa siku nyingi sana, Rais anagusa pale ambapo wengi sana tulitegemea na furaha inayotawala sasa acha...
Big brains at work, mawazo mazuri sana nimeelewa kwenye kuweka misingi ili mfumo ufanye kazi, inawezekana mfumo ukajengwa kuanzia sasa na ndani ya miaka miwili ukawa umekamilika.
Natamani watawala wangekuwa wanapita humu kuona mawazo +ve na kuyaweka kwenye think archive zao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.