Search results

  1. M

    Pigo jingine kwa JK: Mzee Mwinyi apigilia msumari suala la kuchinja

    Nani kakwambia kuwa CCM inadharau wazee? Mangula na Msekwa ni vijana? Haya Mwinyi kasema, nendeni mkatekeleze badala ya kukaa kulaumu chama chetu humu.
  2. M

    Sitta kupewa uwaziri ili amalizwe

    Hizi porojo sijui huwa mnaziokota wapi!
  3. M

    Karibu 47% ya wabunge kuwa si wawakilishi wa wananchi!

    viti maalum visingekuwepo huyo mdee angeanzia wapi?
  4. M

    Dr.slaa : Uteuzi wa kiongozi wa kambi ya upinzani chadema

    Mbowe vs Kabwe 10 rounds Entrance: Free Venue : Mjengoni Kazi mnayo
  5. M

    Elections 2010 Zitto kabwe kawasaliti CHADEMA kigoma?

    Na ndio maana Zitto alishaanza kutaka kuhama jimbo kwa kuwa alijua kule hapakaliki, bahati yake kapita...huko kwingine angepata aibu.
  6. M

    Elections 2010 Msaada tafadhali

    Ni nguvu na kazi ya ziada:):tape:
  7. M

    Elections 2010 Ushauri wa kizushi

    Tunaelekea ukingoni kwa hiyo kwa wale waliofurahi tumieni hii weekend kwa hilo ila tu Jumapili mpumzike, kwa wale wenye huzuni fanyeni maombolezo ila tu muinue tanga Jumapili, kwa msio na mwelekeo jichanganyeni kotekote... Cha muhimu Jumatatu wote tutoe 100% kwenye majukumu yetu. Hii ngoma...
  8. M

    Elections 2010 Wageni kwenye sherehe za kuapishwa wamealikwa na NEC na Kikwete?

    Tangu siku ya uchaguzi ilikwishapangwa leo ndio siku ya kumwapisha isipokuwa kama lingetokea tatizo kubwa sana. Sasa kwa sababu hapakutokea tatizo lolote la ajabu, maandalizi yakaendelea. Maandalizi hufanywa na wizara na sio ikulu. ASIYEJUA MAANA, HAAMBIWI.......
  9. M

    Elections 2010 Wageni kwenye sherehe za kuapishwa wamealikwa na NEC na Kikwete?

    Wageni hao hukaribishwa na waziri wa mambo ya nje anayemaliza muda wake kwa niaba ya rais. Kumbukeni hakuna wakati wowote ambapo nchi inakuwa haina rais. Kwa hiyo hata kama hiyo jana angetangazwa Slaa, wangekuja kama walivyokuja. Sio wageni wa Kikwete, ni wageni wa rais.
  10. M

    Viti maalumu (women special seats)

    ndio maana yake
  11. M

    Elections 2010 Ninayatambua na kuyakubali matokeo yanayotangazwa na tume

    Uteuzi wa CHADEMA viti maalum napo ni ufisadi mtupu, mtaanza kugombana kuanzia hapo....yetu majicho....
  12. M

    Elections 2010 Ninayatambua na kuyakubali matokeo yanayotangazwa na tume

    Unaona sasa, huyo jamaa yuko fiti. Kajilipie gharama za kulazwa Milembe ndugu.....
  13. M

    Elections 2010 Alichokiomba Dr Slaa ni kusitisha kutangaza matokeo, sio Umwagaji damu

    maneno yako yamejaa kejeli, dharau na matusi hasa kwa kina mama. Hivi ulizaliwa na baba yako au?
  14. M

    Elections 2010 Ninayatambua na kuyakubali matokeo yanayotangazwa na tume

    Hitler lived 65 years ago! We talk the present. Kila nabii (au hata shetani) na wakati wake..........
  15. M

    Viti maalumu (women special seats)

    haiwezekani, unaota wewe
  16. M

    Elections 2010 Ninayatambua na kuyakubali matokeo yanayotangazwa na tume

    Waambie @uwiano, au kama vipi mfanye kudeclare JF not for CCM supporters.......shame on you, eti great thinkers!
  17. M

    Elections 2010 Ninayatambua na kuyakubali matokeo yanayotangazwa na tume

    Kwani JF ni forum ya watanzania au ya wateule fulani? (tena wenye matusi lukuki). Kama jibu ni 1, jiheshimu ili tudumishe amani. Ikikosekana humu mktk web huko mtaani itakuwaje?
  18. M

    Elections 2010 NEC yakiri ilikosea matokeo ya Geita

    Katika hii error Kikwete alikuwa anapoteza zaidi ya Slaa
  19. M

    Elections 2010 Ninayatambua na kuyakubali matokeo yanayotangazwa na tume

    Sijatumwa na mtu ***** wewe! Au kakutuma nani wewe? Mnaniudhi mnapodhania dhania vitu na kuvifanya kweli. Mimi natoa maoni yangu halafu unasema nimetumwa. Utumwa ulikomeshwa tangu zama zile. Nataka kuanzia sasa wana JF mnijibu kwa hoja na si kwa maswali au kauli za ki-partisan ambazo...
Back
Top Bottom