Search results

  1. bajun

    Mashine za EFD sasa kutolewa bure na Serikali!

    ]sasa walionunua watarejeshewa pesa yao?##Ikiwa hivyo na raid aliepita arudi madarkan kama haliwezekani lililopita limepita tugange lililopo
  2. bajun

    Kwanini watanzania wengi wana majungu na fitina?

    Majungu na fitina sio kwenu tu india wapo
  3. bajun

    Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    Dawa ya mswaki pia inasaidia nyoa uciku alaf paka iwache mpaka asubuhi asubuhi unaonaoga haviji na kama vipo pia hupotea
  4. bajun

    Nahitaji kujua king'amuzi gani kizuri kwa ajili ya Sports Channels

    Mwl Mimi bado nasubiri lkn Siku zaenda
  5. bajun

    Itv na eatv kuanza kuonekana azam tv

    Mi niko Dubai naipataje azam tv
  6. bajun

    Msaada namna ya kutoka kwenye huu uhusiano.

    No waruhusu waje lakin waachekuwa maharage ya Mbeya , wajua kutaniana na mashem nikitu ya kawaida ila hawa wa dizaini hii huwa kama kumsukuma mlevi .
  7. bajun

    Jumatatu wapenzi wa Zitto tujitokeze kwa wingi

    Kweli tutazipiga ili lichama livurugike potelea mbali
  8. bajun

    Nani atatosha kuwa Waziri wetu wa Fedha baada ya kifo cha Dk. Mgimwa?

    Nnahasira nae huyu umeme shida bei juu yeye kimya tu
  9. bajun

    Msaada simu inakula pesa salio bila kutumia kitu

    Poa mkuu nntajaribu maana ilibidi nibadili simu nitumi kitoch kwa muda
  10. bajun

    Msaada simu inakula pesa salio bila kutumia kitu

    nntajaribu hivyo, nashkuru nikifanikiwa nitarudi
  11. bajun

    Msaada simu inakula pesa salio bila kutumia kitu

    nntajaribu hivyo, nashkuru nikifanikiwa nitarudi
  12. bajun

    Msaada simu inakula pesa salio bila kutumia kitu

    uko sawa kabisa nipe namna ya kuitoa basi kama wajua niingie wapi nitokee wapi?
  13. bajun

    Msaada simu inakula pesa salio bila kutumia kitu

    Huwenda ikawa automatic maana huwa najaribu kuitoa kwa kubonyeza sehemu ya kuzimia au kuwashia simu inaandika hivi End packet data conection intanet?nikibonyeza yes inaondoka kuna kialama kwa upande wakulia juu kinaondoka alaf haipiti dk kinarudi tena,sijui niende wapi kuiondoa hii update
  14. bajun

    Msaada simu inakula pesa salio bila kutumia kitu

    situmii intanet yaan naweza nikaiacha kama muda hivi ukiangalia salio limekula kidogo
Back
Top Bottom