Search results

  1. R

    Elections 2010 Eti Sitta ataka uspika, asema anafaa, Kweli ataliweza hilli Bungo La 10

    Huyu Mama nafikiri haijui Demokrasia vizuri, kama angekuwa anaijua yeye pamoja na CCM wasingeweanyima wananchi demakrasia yao ya kuchagua Rais, nafasi ambayo ni nyeti sana kuliko zote, kwa kuchakachua inaonyesha ni kiasi gani demokrasia isivyoheshimiwa. Na ni wazi kuwa anasingizia demokrasia...
  2. R

    Elections 2010 Nini Maana ya kusaini Form za kukubali Matokeo ya Uchaguzi

    Katika sheria za uchaguzi ni kwamba baada ya matokeo kutoka kila mgombea anapaswa kusaini kukubali matokeo, nauliza iwapo mgombea hakukubali matokeo na kagoma kusaini nini kinafuata. Maana katika uchaguzi uliopita Dr. Slaa hakusaini yale matokeo na mchakato wa kuapishana unakendelea hiivi...
  3. R

    Elections 2010 Matokeo ya mwisho: JK aambulia 61.17%

    Hayo matokeo ukijumuisha na uchakachuaji, kweli Slaa alishind1%a kwa 6
  4. R

    Elections 2010 Ni aibu JK kushinda kwa 55% anataka atleast 75%

    Dawa yao hawa ni kuandamana kama tulivyopanga
  5. R

    Elections 2010 Zitto kabwe kawasaliti CHADEMA kigoma?

    Kumbuka pia watanzania wengi sasa hivi wamefugua amcho hawachagui vyama wanaangali anani atatufaa au nani kafanya nini kwao. Uliza siri ya Prof. Tibaijuka kushinda kwa kishindd. Ni matokeo ya kazi zake. ZInaonekana sio maneno tuu
  6. R

    Mandamano ya kupinga uchaguzi mkuu tanzania,kufanyika washington dc usa

    Tanzania pi atunafanya utaratibu kama huo wa kuwa na maandamano nchi nzima kupeleka ujumbe Duniani. Mtajulihswa taratibu zikikamililka
  7. R

    Elections 2010 NEC yakiri ilikosea matokeo ya Geita

    Dr. Slaa itisha maandamano Nchi nzima kupinga matokeo bila hivyo hakutakuwepo na somo watakalojifunza. Tunataka Dunia ijue kuwa wamechakachua kama walivyofanya IRAN, KENYA, ZIMBABWE na kwingine kwa madikteta kama hawa, Huu umekuwa utaratibu sasa wa CCM kuchakachua. Kukomesha ni kuingia mtaani.
  8. R

    Elections 2010 kAULI YA MWENYEKITI WA TUME IFANYIWE KAZI HARAKA.

    Dr. Slaa kama wasikii itisha maandamano nchi nzima ya kupinga matokeo tayari tunasubiri kauli yako. Tunataka tuwavue nguo wezi hawa
  9. R

    Hi, am a new member!

    Hi Big up Jamii forum for updates
Back
Top Bottom