Search results

  1. M

    Kwikwi za huduma ya m-pesa; kulikoni?

    Mmiliki wa server za M_pesa yupo kenya, sasa voda fone wanunuzi wa leseni ya M-pesa hawawezi kuwa na jibu la moja kwa moja wakati kuikwa na tatizo la m-pesa. ili jua kuwa pesa zako zipo salama.
  2. M

    Hivi ni Mbowe au CHADEMA???

    wewe sajenti wa nyumbani kwako... Tatizo sio Mbowe...Ni sisi em... Tanzania imejaza vichwa BUPU kama wewe.....WakeUp!!!!!
  3. M

    Mh. Samweli Sitta: Waziri wa Afrika Mashariki Ameiasi Serikali ya CCM?

    Nadhani ni vyema ukatafakari kabla ya kuandika kinachotoka kinywani. Ishu ikipita kwenye Baraza la Maawaziri hua Halitoki nje.....kwa mmoja mmmoja..bali linakua msimamo wa serikali. Hivyo basi, Mh. Sitta , ngeleja na Celina Kombani wanatudhihirishia kua Sirikali yetu ni mbovu na ya kibanafsi...
  4. M

    Ni kweli Anna Makinda ni 'Mbabe'?

    Fisadi ni mtu anaechukua wake za watu....sikatai kua huyu mama kawekwa pale ila ni lazima na sisi tujue maana halisi ya neno FISADI
  5. M

    Elections 2010 Wananchi wa Rorya wanahitaji kuamshwa...

    Huwezi linganisha elimu ya form four na darasa la saba...
  6. M

    Elections 2010 Wananchi wa Rorya wanahitaji kuamshwa...

    kwa kweli inasikitisha kuona wananchi wananunua pesa kuliko maendeleo.
  7. M

    Elections 2010 Wananchi wa Rorya wanahitaji kuamshwa...

    kwa nini wakubali kutawaliwa na wasiokwenda shule??? waliekwenda shule wanashinda nje ya Jimbo la Rorya..hii haijaka sawa.
Back
Top Bottom