Search results

  1. jino kwa jino

    FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

    Adhabu ilishaisha..... alikosa dhidi ya JKT na Police(FA)
  2. jino kwa jino

    Dube ni mnafiki, alicheza chini ya kiwango kila akicheza na Yanga

    Ndio hiyo match aliyodaka shikalo na tangu siku hiyo yanga hajawahi fungwa tena na Azam Pia alifunga match ya mwisho Kwa penalt iliyoisha Azam 2 yanga 3(Aziz [emoji2785])
  3. jino kwa jino

    Engineer Hersi ataifikisha Yanga mbali ana kitu (mkataba wa Hero)

    Uzuri hizi bodaboda ligi ikisimama wachezaji wataendesha kuongeza kipato cha club... Na hapa tuna mtaalam Clement Mzize atawafundisha wenzie
  4. jino kwa jino

    True story: Babu yangu kama mshikaji wangu (2)

    Hawezi endelea tena, utakuta wale wachawi washamfata DM wakampiga bit
  5. jino kwa jino

    Azam FC: Kocha mkuu ni nani, ni Yusuf Fabo au Bruno Ferry?

    Siyo kocha jina Bruno ni kocha msaidizi(ndani ya Azam club) ila kwa kuwa ana vigezo vinavyotambulika na TFF kuwa kocha mkuu dhidi ya dabo ndio maana kule TFF anatambulika kama kocha mkuu na dabo kocha msaidizi
  6. jino kwa jino

    Ngushi bye bye Yanga

    Sawa mtaalam wa lugha
  7. jino kwa jino

    Ngushi bye bye Yanga

    Club ya Yanga imemtoa mshambiliaji wake Kwa mkopo kwenda coast union ya Tanga Hadi mwisho wa msimu Hii itakuwa ndio kuagana mazima. Ngushi akijirekebisha makosa yake madogo madogo Bado ni mchezeji mzuri akipewa nafasi cost uniuon namuona akirudi kariakoo
  8. jino kwa jino

    MKASA: Ulaaniwe marehemu kaka. Alaaniwe Bibi Harusi wako pia

    Naona anawasimulia kwenye watsup.... hawa ndio wakupiga ban ya milele
  9. jino kwa jino

    Yanga wanacheza kwa papara, jazba na kukamia, hawajui mpira

    Lakini alikupiga 5... Nachoona Simba wengi zile 5 Bado zinawauma
  10. jino kwa jino

    Makamu wa raisi yupo wapi?

    Huyu mwamba yupo kweli kitambo sana sijamsikia
  11. jino kwa jino

    True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

    Alipigwa mikwara na wachawi anatoa siri
  12. jino kwa jino

    Nauza bag limejaa nguo!

    Muungisheni kamanda Hali ngumu sana sasa hivi
  13. jino kwa jino

    Simba wasusie hela ya goli ya mama

    Kula pesa ya mama inabidi utumie akili sana, ...
  14. jino kwa jino

    Kubadili jina kwa mwanafunzi wa kidato cha tatu

    kuna utaratibu wote mpya kwa sasa maana nataka nimbadilishe mwanangu jina yuko kidato cha tatu.....msaada Plz
  15. jino kwa jino

    Madhara ya kufanya mapenzi na mwnamke mjamzito

    mmenishambuli sana mi ni mjumbe tu na mawazo yenu yote nimeyafikisha
  16. jino kwa jino

    Madhara ya kufanya mapenzi na mwnamke mjamzito

    mke wa mtu kaachika na kabahatika kupendwa na mimba yake au yeye hana haki ya kupendwa, mbona mumewe anabanjuka nje na ana mke!
Back
Top Bottom