Search results

  1. L

    Sijui kwanini huwa simuelewi Vanessa Mdee?

    yaani katika mziki nisioupenda ni bongo fleva..bangi bangi tu
  2. L

    Serikali Kujiingiza kwenye Vicoba ni Kuua Uchumi wa Wananchi wa Hali ya Chini

    Tuwekee hizo sheria za vicoba zilizowekwa na serikali tuzione
  3. L

    Need to launch complaint against GSM GROUP

    ...hebu muacheni aeleze masahibu yaliyomkuta..usimuhukumu kwa makosa ya wahindi wenzake hio sio sawa....Suala la ajira ni maamuzi ya mwenye kampuni aajiri mtu wa namna gani...Na wewe fungua kampuni yako uajiri waafrika wenzako hakuna atakaekuuliza...
  4. L

    Si Real Madrid, Barcelona na Bayern Munich tena. Sasa ni Juventus, Man City na BvB

    mechi mbili barcelona goli zero...juve goli tatu... Basi juve wana bahati sana....
  5. L

    Si Real Madrid, Barcelona na Bayern Munich tena. Sasa ni Juventus, Man City na BvB

    mkuu, hebu nikumbushe mwaka jana juve na barca walivyokutana UEFA ... Barcelona alishinda goli ngapi..nimesahau kidogo
  6. L

    Aliyejiuzulu ubunge CUF, Abdalah Mtolea, aomba kujiunga CCM

    anaomba kujiunga ccm huku tayari kashavaa nguo za ccm.....hiii kali sana
  7. L

    Mrithi wa Mchechu wa NHC, kasi yake Usipime..

    hizo nyumba ilikuwa ni mipango ya Mchechu,....
  8. L

    Yanga itaongozwa na wana Yanga wenyewe na sio watu wa kuchaguliwa.... Stay Tuned

    Huyu mwakyembe, saria wanaivuruga Yanga makusudi... Wana Yanga tunamtaka Manji
  9. L

    Hoteli ya kitalii Arusha hali tete

    Mimi mbona hoteli yangu ina wageni wa kutosha, iko full booked mpaka mwakani
  10. L

    Naombeni msaada wa eneo la kufanyia biashara jamani

    Kwa mtaji huo, huna haja ya kutafuta eneo là biashara, we nunua bidhaa kama nguo, urembo, mwaga barabaran siku hizi machinga wameruhusiwa.....au fanya biashara ya kuuza kahawa inalipa sana
  11. L

    Kuna kila dalili taifa stars haitopata matokeo mazuri dhidi ya lesotho

    kama morali inasaidia timu zote zinazocheza uwanja wa nyumbani zingekuwa zinashinda maana zinach3za mbele ya mashabiki ,viongozi wao...kama hujui hujui tu hayo mambo ya morali ni uongo mtupu
  12. L

    Anapigiwa salute juu ya Korosho ndani ya Fly Emirates(Special Display)

    uko buguruni kwa mnyamani, unadai uko thailand,...emirates ndani haiko hivyo
  13. L

    Claudio Ranieri arejea EPL

    ranieri hana lolote atawashusha daraja
  14. L

    Kuna kila dalili taifa stars haitopata matokeo mazuri dhidi ya lesotho

    Huyo rais wa TFF , na waziri wanacheza namba ngapi?....hawana uwezo wowote wa kubadili matokeo
  15. L

    Need to launch complaint against GSM GROUP

    kama wewe ni lawyer basi elimu ya Tanzania ina shida...
  16. L

    Kundi la Hamas latangaza kusitisha mapigano dhidi ya Israel

    na Israel nao wanategemea kila kitu kutoka Marekani mfano chakula, silaha, ... jeshi la israel linamilikiwa na Marekani kwa asilimia 80... dah..haya maisha haya
  17. L

    Need to launch complaint against GSM GROUP

    wewe umeshawahi kuwapa ajira watanzania wenzako wangapi?
  18. L

    Wa-Africa tunashobo lakini hatupendwi ,I have lost my respect kwa Zionists wote

    ubaguzi ni fikra tu, ukishajihisi wewe ni mnyonge lazima uone unabaguliwa
Back
Top Bottom