Search results

  1. F

    Wananchi waanza kuiogopa Chadema kama ukoma

    acha uongo wewe mbona unaongopa hivi jamani duh!,hata aibu hakuna?
  2. F

    Mtazamo wa jaji warioba na jaji mkuu kuhusu chadema

    huna jipya ww nyiendio mafisadi wenyewe
  3. F

    Uongozi CHADEMA unaua vipaji vya Wabunge-vijana

    hahahahaha...............................,hazina lazima ilindwe sio kama unavotaka wewe.
  4. F

    Uongozi CHADEMA unaua vipaji vya Wabunge-vijana

    inategemea na jambolenyewe sio kila kitu, unaweza kujikuta umekalia kaa la moto.sio kila kitu lazima kujifunza kwao,kwani chadema hakuna watu wakuuliza, mpaka wakaulize cuf na tlp au nccr.
  5. F

    Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

    Viherehere wapo kila mahali,kuanzia darasa la kwanza hadi chuoni,kila mtu atakubaliana na mimi kuwa kila mahali kuna visebengo,hata kwenye siasa.lazima kuna watu wanaotaka kuonekatana ni tofauti hata kama sio lazima,sasa zito anaona kafikia kileleni,lakini nadhani wataangalia namna ya kwenda nae...
  6. F

    Nimeshindwa, Nahama Chadema

    pole sana,maana hata yesu kuna watu hawakumwani,walikuja kuujua ukweli baadae sana akiwa ameondoka zake.nyie mmeshindwa mmkaamua kuiba kura,haitoshi sasa mmeamua kupandikiza sumu, weka ushahidi wa pumba zako hapa uumbuliwe, kama sio nyie wenye udini na hiliunalijua wala huna haja ya kutajiwa...
  7. F

    Nimeshindwa, Nahama Chadema

    huyu jamaa katumwa,na sasahivi hakuna mtu anayeweza kudanganyika.alaf wakati anachuka kadi hakuambia sasa mbona anakuja kuaga,kwanza huu mtandao ni wawajanja watu kama hawa sijui wanajichomeka humu kivipi,fukuza kabisa huyoo
  8. F

    Mhe. Warioba na Mhe. Augustino Ramadhani wakiri CHADEMA haikukiuka sheria

    Tena bora chadema wanatumia democracia zaidi,ccm mara nyingi wanapitisha tu na wakipitisha huo ndio unakuwa msimamo wa chama,sasa huyu zitto anadhani yeye ni muhimu sana ,aame tu chama kama hawezi kufuata msimamo wa chama ambao umeamuliwa na wengi
  9. F

    Mtazamo wa jaji warioba na jaji mkuu kuhusu chadema

    AAAA Denyo we ni noma jo, unajua Denyo humu JF kuna watu wanashabikia vitu kwa sababu wazazi wao ni ccm ,lakini ukweli siokwamba hawaujui,wanajua kila kitu kabisa.sasa waache ''wajifanye'' hawajui ukweli jo.
  10. F

    Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

    sawa kabisa,kama yeye alikubali kupiga kura basi anapashwa kuheshimu kura maana ndio uamuzi wa mwisho,au zitto anataka kutuambia waliokuwa hawatakikuingia bungeni waliibiwa kura.hahahaha......................., yeye kama nataka kwenda aende maana maandalizi aliisha yaanza long time nadhani sasa...
  11. F

    Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

    Unapopiga kura unasubi uamuzi wa mwisho na ndio utakuwa mtazamo na msimamo wa chama,huu ndio ukweli hata ccm wanapoamua maswala yao huwa kuna msimamo wa chama,mfano wagombea wa ccm walikatazwa kushiriki midahalo na huo ndio ulikuwa msimamo wa chama mapaka kampeni zilipoisha,hili lilikuwa ni...
  12. F

    Mtazamo wa jaji warioba na jaji mkuu kuhusu chadema

    Kwa wale mnaofuatilia habari, jana warioba alipoulizwa kuhusu mtazamo wake juu ya chadema kutoka nje ya bunge alisema'' kutoka nje wakati MTU mmoja anaongea siotati'' na hata hivyo chadema hawajakiuka kifungu chochote cha kanuni za bunge,vile vile Jaji mkuu nae alisema kwa jinsi anavyo fahamu...
  13. F

    CCM yahaha kuimaliza CHADEMA

    Jamani mambo yanafanywa kwa kuzingatia sheria na kanuni,sasa kama hawajavunja kanuni,sasa hawa ccm wanatakakuchomekea kwa kulalamikia nini,swala la kuondoka bungeni sio tatizo kabisa ilimradi hawajavunja kanuni,haijalishi wakati wanaondoka aliekuwepo ni raisi au nani. Amani ikivunjika...
  14. F

    Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

    Jamani unajua mtu akiishaanza kuitwa mheshimiwa anajisahau na kudhani yeye anakaa nje ya sayari hii.Bora ule wakati wa zamani enzi zile za Mwalimu-Kambarage,maana wakati huo viongozi walikuwa hawaitani waheshimiwa ,sijui hili neno lilianzia wapi,wakati ule viongozi walikuwakiitana NDUGU,kwamfano...
  15. F

    Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

    Sasa kama walipiga kura, maanayake zitto pamoja na wenzake walikuwatari kukubaliana na maamuzi au uamuzi ambao ungepatikana baada ya kupiga kura na huo ndio ungekuwa uamuzi wa mwisho na msimamo wa chama,sasa kama alikubali kupiga kura maanayake nikwamba alikuwa tayarikupokea matokeo na kufuata...
  16. F

    Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

    kazi kwelikweli wanazidi kuparaganyika huku wakiwapa ccm nguvu. tupo wengi tunaoweza kuimarisha chadema wala sio zitto tu, wakati mwingine ukiwa maarufu kwenyechama unaweza kutumia kama loop hole ya kupenyeza misimamo yako na sio ya chama,mbo ccm wakikaa hatu sikii wanayo yajadili,hata walipo...
  17. F

    Kwa Mbunge Wangu Halima Mdee

    Mwambieni huyo wakala wa ccm alietumwa ,sasa hivi hakuna mtu wa kumdanganya hatakidogo.
  18. F

    Kwa Mbunge Wangu Halima Mdee

    Jamani mbona walipokuwa wanatonja nje ya ukumbi wa bunge ,ccm walikuwa wakiimba kwakushirikiana na cuf tlp na nccr,walikuwa wakiimba ccm ccm ccm,huku wakipiga makofi kuashiria wanaunga mkono au wanakubaliana na chadema kutoka nje.kumpigia mtu makofi bungeni maana yake nini kama sio kukubaliana nae.
  19. F

    Kwa Mbunge Wangu Halima Mdee

    Jamani mbona walipokuwa wanatonja nje ya ukumbi wa bunge ,ccm walikuwa wakiimba kwakushirikiana na cuf tlp na nccr,walikuwa wakiimba ccm ccm ccm,huku wakipiga makofi kuashiria wanaunga mkono au wanakubaliana na chadema kutoka nje.kumpigia mtu makofi bungeni maana yake nini kama sio kukubaliana nae.
Back
Top Bottom