Search results

  1. C

    Hatari: Mke amfumania mumewe akilawitiwa!

    Mshenzi mkubwa ww umeona wapemba na watanga ndio mashoga? kuwa na adabu na usitaje makabila wala rangi za watu. ww mwenyewe unaonekana huna adabu mshenzi mkubwa.
  2. C

    Kiasi gani mshahara IST (International School of Tanganyika) - Accountant nani anajua?

    wadau naomba mnisaidie IST mshahara kiasi gani?
  3. C

    Natafuta discs original za jembe la trekta

    Kaka habari, Njoo GMI (General Motors Investment Ltd) utapata hayo majembe quality kabisa. Tupo Pugu Road opposite na Pepsi kuna jengo kumbwa la vioo juu limeandikwa GMI na mapango madogo madogo yameandikwa Dewalt,new holland, peogeot n.k Namba ya simu ya muuzaji (sales person) anaitwa Farahani...
  4. C

    Mwingira amlaani mchungaji Loliondo!

    Mwingira yuko sahihi.
  5. C

    Elections 2010 Taarifa kwa makame na dr.slaa

    Hana ushawishi huo usijidanganye.
  6. C

    Elections 2010 Umasikini utaongezeka kama hatutafuti haki yetu ya kweli

    ilikujikomboa na umaskini kuwa mjasiria mali hata hilo nalo hufahamu na kampeni zimejaa tele. Badilika kuwa mjasiria mali ukitegemea raisi akuletee pesa hutapata ng'o.
  7. C

    Elections 2010 Damu isimwagike

    huna hoja nenda kalale
  8. C

    Elections 2010 Damu isimwagike

    Thinks twice, Slaa want to bring violence because he has to do like what Shujaa Seif Sharif did, he won but he decided not to compete which may cause killlings like previous years. Open your eye Bro/SIst
  9. C

    Elections 2010 Damu isimwagike

    Kwanini ufikirie unaibiwa kila siku? mawakala wenu wanafanya nini? ndio maana watanzania hatuendelei kwa kuamini uongo na uzushi.
  10. C

    Elections 2010 Dr slaa anataka hiki............

    mimi nashangaa sana kazi yao kulalamika tu, Chadema mnataka kuleta fujo. Ole wenu majaribu, mtakiona cha.................
  11. C

    Elections 2010 Damu isimwagike

    Jamani CHADEMA tunaomba msimwage damu kubalini matokeo kwani asiyekubali kushindwa si mshindani.
  12. C

    Elections 2010 Kwa hili chadema hamtaeleweka

    hawana data za kuosha kelele tu
  13. C

    Elections 2010 Dk. Slaa akataa matokeo

    kama akipata uraisi si kila siku watu wataachishwa kazi? unafikri kujiuzulu rahisi?
  14. C

    Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    kama huna cha kusema kamsaidie mkeo kupika
  15. C

    Elections 2010 Tafuteni mawakala wakweli na waaminifu

    Wakati rais jakaya mrisho kikwete anahojiwa na waandishi wa habari wakati wa kampeni 'live-itv' alisema: "kama kila chama kina mawakala wake vipi kura zinaibiwa?" ukiona hivo ujue hao mawakala ni bomu(hawafai) wana njaa hawajawezeshwa ipasavyo. Chadema kubalini kushindwa nchi iwe na amani
  16. C

    Abdulrahman Kinana: Who is he?

    hongera sana mkuu. Wajinga hao waambie
  17. C

    Abdulrahman Kinana: Who is he?

    Wakati ule anailetea sifa tanzania hamkujua kama si raia? Mnajua sasa? Acheni unazi na fitna nyie chadema.
  18. C

    Nimwonavyo Dr. Slaa (Maoni yangu)

    Ajabu.........................!!!!! Slaa ahamia chama cha mapinduzi. Mnamwita mpiganaji!!!!!!
  19. C

    Nimwonavyo Dr. Slaa (Maoni yangu)

    Acheni kujidanganya slaa hana mpango hana mpango.................x1000000000...........
Back
Top Bottom