Search results

  1. N

    Mahakama Kuu yampa ushindi Baba wa Mawazo, Mawazo kuagwa na kuzikwa kwa heshima zote

    Jamani saa zingine tunadai police, police, polisi polisi, wakati hao wanasalimu chini ya mamlaka!!
  2. N

    Elections 2015 Team Magufuli tukutane hapa tushangilie ushindi!

    Waacheni waandamane ooooh! CCM mbele kwa mbele.
  3. N

    Warning: Kwa mnaouza gesi za Oryx na Mihan, wajanja wamerudi mjini

    Daah! Asante sana sisi watumiaji wa mwisho/majumbani ndo tuna taabu.
  4. N

    ITV, mnatufundisha sheria za kuvunja ndoa zetu via dini zetu

    Usikute ni kipindi cha jana!!!!!????
  5. N

    Picha: Kijana wa Arusha aolewa na mzungu UK

    Pole sana mkuu!!!!
  6. N

    Kigogo wa CCM adaiwa kumnajisi mtoto wake

    Wanaume bwana!! Mmmmmm!!! Sababu 1. alihisi/ na bado anaendelea kuhisi mtoto huyo si wake! Alafu km kulikuwa na mvutano baina yao ameamua kwa makusudi kufanya hivyo. ( mama itabidi afunguke vizuri) 2. sababu za kishirikina ( apnde cheo, apendwe na watu na wamteyemekee km Mh Magufuli nk.. I...
  7. N

    Muuguzi akamatwa na dawa za serikali Shinyanga

    Itabidi afukuzwe kazi au asimamishwe kupisha uchunguzi!! Hapa kazi tu.. Wizi peleka.........!!
  8. N

    Mungu awe nanyi vigogo wa HESLB

    Hivi kuna watu wanasoma education wanakosa mkopo??! Mhhh pole sana daaah!
  9. N

    Sababu ya kizazi kushuka na tiba yake

    Teh! Teh teh teh teh teh!!!! Huuuuuuu!!!! Hii inaitwa thinking beyond the box!!!!
  10. N

    Wanawake: Kama unampenda mumeo, mpende na mama mkwe

    Daaah pole!!! Afu ungekuwa Mimi siku hiyo ningenunua chipsi na kuku mzima Nile nilale nisipike ndo ajue kuwa mie nae ni moto! Yaani angeisomaa namba.
  11. N

    Wanawake: Kama unampenda mumeo, mpende na mama mkwe

    Mkuu lakini sio wooote100% watakosa LA kusema, mwingine atasema ni hela za mwanae hizo unajidai nazo!!
  12. N

    Wanawake: Kama unampenda mumeo, mpende na mama mkwe

    Upopo una raha saaaana!!!Dawa ya mama mkwe ni vitenge tuuu akija Kurembea uau kutibiwa mpe kuku samaki na nyama tuu( akifika kwake km ana gubu anaanza kuwaambia watu kuwa mkwewe kamuachia njaa wao wanakula kuku tuu wakati Yy wanakula maharage na njegere) ! Na mwezi usiishe km mwanae yupo vizuri...
  13. N

    Wanawake: Kama unampenda mumeo, mpende na mama mkwe

    Upopo una raha saaaana!!!Dawa ya mama mkwe ni vitenge tuuu! Na mwezi usiishe km mwanae yupo vxr ampe hata ya bili ya maziwa.. Japo hawariziki!! Oiiiii!!!!iyaaaaaa!!!!!????
  14. N

    Wanawake: Kama unampenda mumeo, mpende na mama mkwe

    Mhhhh!!!! Acheni tu! Bado aanze kuhisi mwanae amepata pesa!!! Mhhhh ukivaa makenze ni shiiiidah!!
  15. N

    Dawa ya kunenepesha makalio

    Mwenyewe nasubiria majibu yake!
  16. N

    Tatizo nini? Ameota Kinyama cheupe pembeni ya uke, hakuna maumivu

    Pole mgonjwa/ muuguzaji.. Nimejikuta nikitoa tabasamu pana sana baada ya kusoma post kuwa ina picha lakini niliposoma comments ndo hoi kabisaa!! Nenda hospitali ukatibiwe mwaya.
  17. N

    Kojoleo la mwanangu

    Hakuna shida hapo jamani Nina mtoto wa kiume.. Nahisi inategemea na wingi wa mkojo na force yake! Yaani mkojo kidogo haurushi mbali lakini ule mwingi unakuja na force akikojoa unaona mkoja una speed kubwa( kwa saizi yake).. Mimi siyo doctor.. Maneno / mawazo yangu yanaweza kukosolewa.
  18. N

    Tanzia: Katibu wa madereva nchini afariki dunia

    Kwenye kabisa lako mch. Kuna watu wa kuzikazika na wa kuomba(omba) nk???
  19. N

    Tanzia: Katibu wa madereva nchini afariki dunia

    Anaweza akawa amefia hata sehemu hizo ila akiwa anauawa akasema "ee Yesu pokwa roho yangu!" Si wote wamwitao bwana wa mabwana watakaofika mbinguni.
  20. N

    Tanzia: Katibu wa madereva nchini afariki dunia

    Wewe Mchungaji una maonoo????? Tena Yale ya kupona mbingu na pepo!??
Back
Top Bottom