Search results

  1. M

    Picha na stori za Loliondo- kwa Babu

    Hebu na tuyatafakari maandiko haya matakatifu: Ezek 47:12, Na karibu na mto, juu ya ukingo wake, upande huu na upande huu, utamea kila mti wa chakula, ambao majani yake hayatanyauka, wala matunda yake hayatatindika kamwe; utatoa matunda mapya kila mwezi, kwasababu maji yake yanatoka mahali...
  2. M

    Waislam Kigoma wacharuka, hawamtaki RC

    Walichaguliwa kwenye mkoa huo wa pembezoni kwa sababu ya dini yao. Hasa huyu mkuu wa mkoa ukiangalia nafasi aliyokuwa nayo kabla ni kama kukomolewa ima kwa sababu ya dini yake au mgogoro wa kimaslahi.
  3. M

    CHADEMA KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI KUPINGA UCHAGUZI WA UMEYA ARUSHA. (Mbunge apingwa)

    Taratibu mtatia akili na kujua mlikosea wapi!
  4. M

    JK atoa miezi sita CCM kutafuta sababu za kushindwa

    Sababu za ccm kushindwa ni:- 1. Maisha bora kwa kila fisadi TZ 2. Maisha duni kwa kila mlalahoi wa TZ. 3. TZ yenye neema tele kwa kila fisadi. 4. TZ yenye dhiki tele kwa kila mlalahoi wa nchi hii.
  5. M

    Je, Kikwete ni mdini?

    Kwa takwimu hizi mahiri unaweza kuwashawishi watu na hasa wale wanaofikiri uwingi wa vitu ndio umuhimu wake. Nime jaribu kuangalia wizara ambazo ni roho ya nchi zina watu wa dini gani, angalia fedha, ulinzi, mambo ya ndani wanaongoza hizi ni wa dini gani? Usikasirike kwa sababu ya watenda...
  6. M

    Mbelwa Kairuki ateuliwa kumrithi January Makamba Ikulu

    Du hii tena kali kuliko, sasa ni waulize nyie mnaojiata watoto wa mjini mnajua ule msemo wa muosha.........
  7. M

    Picha mbaya

    Labda ungetusaidia, kutoheshimiwa udhaifu huwa unakuwa unasababishwa na nani cameraman au producer?
  8. M

    DOWANS yaibwaga TANESCO; TZ kulipa gharama na adhabu Bil. 185!

    Watalipwa jumla TZshs bilion more information to come tu.
  9. M

    Kikwete ampokea Ikulu kijana aliyesafiri kutoka Geita kwa baiskeli kwenda kumpongeza!

    Nimekubali we kichwa. Nani alimshuhudia wakati ana anza safari yake ya kujipendekeza au makada wa propoganda hawakuwepo. Uso wake hauonyeshi kama ni mtu amechanganya baisikeli kilimita zote hizo. yawezekana alikuja na gari la ng'ombe mpaka pugu. Cheap popularity.
  10. M

    DOWANS yaibwaga TANESCO; TZ kulipa gharama na adhabu Bil. 185!

    Mafisadi wa tz watuambie kama hakuna hela za kutoa elimu na afya bure kwa walalahoi, hizo hela za kumlipa fisadi zitatoka wapi? Maana kwa hakika mafisadi wamejishisha hii kesi ili walipane.
  11. M

    JK na Shahada za heshima

    Kwa Mwl JK wakati ule watu wamepamba moto kumuita mtukufu, mh, nk alilitolea ufafanuzi hili na hasa baada ya kugundua kuwa watu wengi wanamuita hivyo ima kwa unafiki au kujipendekeza kwake na kuwaambia, asingependa watu wamuite mtukufu kwani mtukufu ni MUNGU, angependelea zaidi aitwe ndugu na...
  12. M

    Ridhiwan Kikwete: Mimi si fisadi

    Mungu huyohuyo ndie kasema aliye kuwa nacho atazidi kuongezewa sasa hapo vipi? Mimi ushauri wangu huu kwavile watoto wanaonyesha kupenda kufuata nyayo za wazazi wao basi mtoto wa mkulima afuate nyayo za mkulima na wa mwanasiasa afuate nyayo za mwanasisa. Hivyo basi mtoto Wa Mzee mwinyi awe rais...
  13. M

    Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

    Hii ndio inatuhakikishia jinsi walivyo kaa wakapanga mkakati wa kutumia kisingizo cha udini kuwa ndio kiini cha kushuka umaarufu wao. Angalia udini umeongelewa na kikwete, akafuatia zitto na sasa mmemsikia hamadi rashid. Hivi wote hawa dini gani? Halafu mtu unawezaje kudaganga jina lako watu...
  14. M

    Hili nalo halionekani tatizo kwenye Chama...

    Kwa wale tunaofanya mambo kwa kuya prioritise katiba ya nchi hii ndio msingi wa sheria nyingine zote. Hivyo basi priority hapa ni katiba ya nchi si za vyama. Naunavyo zidi kufafanua ndivyo unafojifafanua zaidi kuwa wanakutumia.
  15. M

    Hili nalo halionekani tatizo kwenye Chama...

    Naona hapa unataka kuonyesha kwa msisitizo jinsi unavyo tumiwa kuwatoa watanganyika kwenye masuala ya muhimu. Tunataka katiba mpya, tume huru ya uchaguzi itakayotupa rais tumtakaye sio rais wa tume, tunataka muungona wenye mariziano ya pate zote husika sio muungano wenye kigugumizi, tunataka...
  16. M

    Esoteric: Uhusiano wa Zitto, JK, Salim A.S, Ridhwan, Omar Ilyas & then some Islams?

    Ndio bwana hii ni katika kusubiria baraza la mawaziri ili tuanze harakati hizo.
  17. M

    Elections 2010 Sitta: Kutoka Uspika hadi Uwaziri; safari ya anguko inakaribia

    Sasa ana uhakika gani kuwa huo sio muendelezo wa kummaliza ambao ulishanza?
  18. M

    Nini malengo ya CUF

    Tunajua lengo loa kuu ni udini. Haya Malengo mengine yana lisindikiza hilo. Sasa lengo lao hilo kuu wamelifikia ua la. Mimi nitakuambia wamelifikisha pahala pazuri sana. Angalia walivyo fanikiwa na wajahidina wenzao ccm uone. Sawasawa?
  19. M

    Elections 2010 Sitta: Kutoka Uspika hadi Uwaziri; safari ya anguko inakaribia

    Alikuwa analiongoza bunge muhimili wa dola unao jitegemea . Sasa pamoja na kudhalilishwa kote huko bado ukawe AnsRable kwa Pinda hata kama ni maslahi yake binafsi, hapana, maana si ya wana urambo hatukumtuma akadhalilishwe kiasi hiki, na unyamaze ili ututumikie. Kweli kuna jamaa alishaniambia...
  20. M

    Baraza la Mawaziri, sura mpya, uchakachuaji unaendelea

    Hapa umetuambia kuwa wakati akiwa Foreign. Tunaomba utueleze hata baada ya kuwa rais na hasa pale anapoonyesha kila dalili kuwa anawachukia wagalatia. Tukizingatia Mbowe mgalatia. Kama huo uhusiano ulikuwepo na bado uko mimi nasema hivi utakuwa ni wakinafiki zaidi. Au wewe unaonaje hapo?
Back
Top Bottom